Crown ni gari ya maajabu sana, unaweza kukaa na genge lako la wajuaji mkaiponda sana mkaiita yebo yebo mara inaua, gari ya Taifa na kuisengenya saaana, Ebwana eeh ile umetoka tu kwenye kikao cha...
Habari za muda huu,
Pamekuwa na thread nyingi sana za watu kuomba ushauri/ elimu hasa kwenye suala zima la budget halisi/ kamili ambayo mtu anahitaji kuwa nayo kuweza kumiliki gari.
Kwa bahati...
Dah nimeanza kujifunza kitu. Kuna muda mtu unamuona anapita na kausafiri kake especially hivi vibaby walker, ukasema ameyapatia na ile hali hapo hiyo route anapokwenda akikosa anachokifuata basi...
Aisee kuna wizi unafanyika kwenye magari. Mafundi wasio waaminifu wanakata exhaust na kuremove unga unga uliopo kwenye exhaust (bomba la moshi). Inasemekana wanauuza huo unga kwa watu wnaorexycle...
Bila shaka umewahi kujiuliza 'injini ya ndege za abiria inafanyaje kazi? Na huenda hukupata majibu!
Ukiendelea kusoma,utapata jibu la swali hilo, Kwanza, hebu tuone sehemu za injini ya ndege...
Huyu jamaa nimemsikia BBC ana pikipiki ya kuchaji. Zinapatikana madukani au ni ya kujiundia?
=====
Anthony Kapinga
Pikipiki ya Bw. Kapinga
Ifahamu pikipiki inayotumia umeme ambayo wengi...
Habari wanajamii! Pamoja na ushamba wangu leo nimekutana na hii habari kuwa kukata kona ya kulia kwa baadhi ya magari kunapunguza unyonyaji wa mafuta, nimebaki naduaa maana nimeshangaa kampuni...
TAIRI
Ni sehemu ya nje ya guruudumu
Sasa sababu zinazo athiri matairi ya magari zinawezakua:
Namna ya ujazaji upepo. Unapojaza upepo kwenye matairi in sharti uangalie usijaze kupita kiasi...
Wanabodi habari,
Kwa heshima zote naomba kujua ipi ni njia nafuu ya kupata gari bora kati ya kununua hapa bongo au kuagiza nje ya nchi maana natarijia kununua gari hivi karibuni.
Naomba...
Nahitaji kununua batery mpya ya gari N50 naomba ushauri ipi ni batery bora. Matumizi yangu ya gari ni mara chache huwa naiacha bila kuiwasha hata siku 3
Nipo vijijini, nimemaliza chuo 2018 ualimu nilisota mwaka 1 nimesaidia fundi beba zege gafla nikapata mchongo private japo salary inasua sua Lakin nashukuru Mungu
Mwaka huu nikajiongeza na kamera...
Injini moja ya Boeing787 Dreamliner inasukuma tani moja na robo ya hewa kwa sekunde ikiwa katika full power.
(Hesabu inasema, inachukua takribani miezi isiyopungua mitatu kwa binadamu wa kawaida...
Wakuu habari ya wikiendi....
Napenda kufahamishwa kuhusu bima ya gari ya siku 7. Niliwahi kusikia mtu unaweza kukata bima ya siku ya 7 kwa gari lako. Naomba kufahamishwa kama ni kweli na je ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.