Leseni yangu ya udereva imekwisha muda wake.
Je, naweza kuihuisha bila kwenda ofisi za TRA?
Namaanisha kuwa; je naweza kuihuisha kidijitali?
Mambo yapi yanahitajika?
Ukitizama tambo za mashabiki wa yanga juu ya ujio wa bus jipya huko mitandaoni ni jambo linalotatanisha na kustajabisha sana.
Sote tumeona picha zao wanazotumia huko mitandaoni ni tofauti na...
Nimenunua mwaka jana niliagiza.
Tatizo lililopo ni kuwa nikiwa katika mlima gari inapush kwenda spidi zaidi wakati hiyo hali haikuwepo. Niliipeleka kwa mafundi wa kompyuta wakanipa quote ya...
Wakuu Kwa DHATI naomba mwenye kuijua vema hii gari, Mafuta inatumiaje,(Lt per km), Spea zake, AC (how good it is), kwa kifupi faida na hasara zake kwa hii gari.
Naomba saana,
Mwishowe kwa Mil 9.5...
Wakuu nimetoka kuipenda hii gari lkn nasikia Zina shida Sijajua ipo wapi hii shida,,hata hivo naomba ABC ya hii gari cc 1750 injini 1zz,, AC ipoje?Spea zake na utulivu barabarani,pia kwa 9 m...
wadau nimependa hili gari la nissan fuga nataka kuagiza.
je kuna mtu ana experience nalo kuhusu ubora wake.
nataka lenye cc2500 hope mafta litakuwa linakula kama mark x au brevis ya cc2500.
Naomba...
GENERATOR AND AIR COMPRESSOR SOLUTION
We dealing with:-
■Generator
☆Selling generator Used and New
☆Preventive and Breakdown maintenances
☆Generator installation
■Air Compressor
☆Selling Air...
Wataalam habari za asubuhi.Jana kuna jamaa yangu kanunu tyre za gari aina ya LING LONG Size 185/70/14R0 Kuna mahali zimeandika 1221 muuzaji kamwambia hizi ndio mpya za mwaka huu je ni kweli...
Kuna watu wanafikiri BMW X6 zile za beforward ndio toleo pekee la bmw x6.
Imefikia watu wanaanza hadi kuipambanisha x6 na v8. Inabidi tuelewe kwa nini huyu mnyama ana heshima na vyeo kibao huko...
Msaada kwenye tuta,
Gari Toyota Harrier, Taa ya Battery inawaka kwenye dashboard ( charging system warning light) hii kitu inasababishwa na nini?
Pia namba ya kurekebisha. Gari inawaka bila...
Wana jf msaada tafadhali ...NIKIWASHA PIKIPIKI ASUBUH inatoa moshi mweusi kidogo kisha moshi unatoweka kabisa inarudi kwenye hali yake ..nini tatizo...nipo njombe kwenye baridi
Tatizo linajitokeza...
Habari za asubuhi ?
Swali ya yote kampuni ya Nissan ina toleo la gari linaloitwa Nissan Murano likiwa katika mfumo wa suv.
Je yapi ni mazuri ya hii gari na kwa nini mtaani ni gari adimu licha...
Salaam,
Kama yupo anayejua ninakoweza kupata: Honda All Season Antifreeze/Coolant Type 2
Ninaomba nisaidie. Ni muhimu sana niipate, nip Dar ila kokote ndani ya nchi ninaweza agiza...
Habari zenu!
Kuna dhana,exaust kutoa matone ya maji kwa baadhi ya Gari unapowasha (Cold Start) kwamba inaashiria uzima wa Engine.
1. Je, kuna ukweli kwenye hii dhana?
2. Nini kinasababisha...
Wakuu habar zenu
Niende kwenye topic moja kwa moja me n kijana naenza maisha sina elimu sana na vyombo vya usafir ila kuna hz pik pik aina ya honda click nataman kununua kwa ajil ya trip town na...
Wajumbe naomba ushauri, Kuna watu huwa wanashauri kuwa unapokarbia kumwaga/kubadili Engine Oil basi uweke Engine Oil Flush dkk chache (wkt Gari inawaka) kabla ya kubadili Engine Oil, inasemekana...
Je, nikweli sikuhizi plate namba D zinachongwa tu kihuni hata kama gari lilikuwa namba B. Inabadilishwa na kuwa namba D ili baadaye ikauzwe kwa Bei ya juuu?
Naomba ufafanuzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.