Gari ni Specio New Model
Tatizo ni kwisha kwa coolant ndani ya siku mbili, yoote inakuwa ndani ya rejeta.
Kuhusu rejeta haichemshi ila unakubidi uweke maji kila siku au baada ya km 45 - 50 Tatizo...
Service za Magari Ni kitu muhimu Sana katika kuhakikisha usalam wa gari yako,wewe mwenyew na wengine.
Bahati mbaya sana huku kwetu service huwa tunazifanya kwa mazoea ndio maana sio ajabu gari...
Ndugu Wasomaji
Tunafahamu wapo baadhi yetu hununua au kumiliki magari na baadaye kufanya mabadiliko kadhaa. Mabadiliko hayo yanaweza kuwa madogo tu kama vile badiliko la rangi (ambalo kimsingi...
Hii ni Audi A3 2.0 TSI Hatchback ya mwaka 2010. Nimeifanyia Diagnosis kama kawaida ina error codes kibao (Zaidi ya Faults 50).
Sasa katika kwenda kutest waya za mojawapo ya sensor ambayo...
THE MOST ADVANCED LX EVER
Connect to more with Amazon Alexa* compatibility. And see more with nearly 360 degrees of visibility. Inside, the Lexus LX offers indulgences like Mark Levinson®* audio...
Nimeona/shughudia mojawapo ya ndege zetu hapa Tanzania ikiwa imepaki na katika kutizama vizuri nikaona chini kwenye tyre wameweka kigogo cha mti ili ndege isirudi/kwenda. Je, maana hizi ndege nazo...
Salaam!
Naomba Msaada kwenye hilo. Gari unapopiga Starter linakuwa moto unafika ila haiwaki.
Muda mwingine Kesho yake au muda mrefu umepita Ukiwasha inawaka.
Naombeni Kujuzwa kwa wale waliowahi...
Hyundai Genesis car
Genesis is a new luxury brand that was created in 2015 as Hyundai's upscale spinoff. The first EV from Genesis will be the 2022 Electrified G80 sedan, set to launch by the...
Hii gari nimeiona kwenye facebook groups
Ni Alphard ila mimi sijawah kuiona alphard ya hivi [emoji23]
Hii gari sura yake inachekesha jamani tuache utani.
Wanajukwaa habari, naomba msaada wa hzi spare za gearbox gari yake ilikua ma shida hivo baada ya kwenda kwa fundi kuicheki wakakuta hivi vifaa ni vya kubadilisha.
nock sensor, shift gear na...
Habari ndugu,
Nimejaribu kupita kwenye website mbali mbali zinazouza used cars kutoka Japan nimekutana na gari aina ya Toyata Pixis Epoch na imenivutia hasa kutokana na ulaji Mdogo wa mafuta...
Habar wakuu poleni namajukumu,
Kama kichwa Cha habar kinavoeleza hapo juu nimepata fuso namba A nataka kuinunua..nataka kujua kwa fuso namba A naweza kudumu nayo kwa miaka mingap.
Wakuu habari za asubuhi,
Tafadhali naomba msaada nilikuwa naendesha Suzuki Carry (kirikuu) lakini ghafla ikawasha hiyo warning light kwenye dashboard. tafadhali naomba kuelewa hiyo taa...
Hello habari zenu,
Aiseeee nahitaji manual book ya hii gari, Nissan Dualis 2009. Nimeingia mtandaoni nahisi nimekosea chimbo za kupata. Ila najua JF hakuna linaloshindikana. So nimeona nije...
Watu wengi wanaendesha gari za kijapani. Hivyo hiyo sticker huwa inakuwa na maandishi ya kijapani. Lakini kwa gari za wazungu, hiyo sticker inakuwa kwa kiingereza.
Umewekewa tahadhari kwamba...
Nikiwasha inaleta upepo wa moto... hot air badala yabaridi shida ni nini wakuu. pia gari ilikuwa na tatizo kKuchemsha nikatoa thermostat naomba msaada.
Ushauri wenu muhimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.