Wakuu naomba kujua kiundani juu ya hii gari bei, upatikanaji wa vipuli pamoja na ulaji wa mafuta nimetokea kupenda bajeti yangu ni 20milioni je naweza pata?
Habari wana jamii forum, nasikia wachina wanapaka rangi vizuri sana magari na kurudisha katika hali yake ile ile na ubora ule ule wa gari lako.
Je kwa Dar wanapatikana wapi?
Ni kweli wako vizuri...
Mitsubishi rosa 4m51 namba zake ni drp.
1. Gari hizi huwa na changamoto gani hasa kwenye injini?
2. Je ni gari nzuri kwa biashara. Mfano kutoka manyoni hadi dom mjini. Km 240 go and return
3...
Hivi Kati ya Suzuki Escudo na Toyota RAV4 old model kama unaanza maisha,,gari ipi inafaa katika maana ya ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spare parts na ustahimilivu wa mazingira
Habarini wadau,
Poleni na purukushani za tozo na mengineyo, Naombeni mnijuze ubora na udhaifu wa gari tajwa hapo juu nipo katika harakati za kutafuta gari la juu yani (suv) na kwa budget niliyo...
Habar wanajamvi,
Je, Kutengeneza gari ambayo haijatumika miaka takribani mitano. Kufix injini mpya na vipuri vingine ambavyo ni chakavu..HIYO GARI ITAKUA DURABLE?..haitasumbua kila siku...
Habarini wana jamvi naombeni kujua gharama za kutoa gari aina ya Toyota ist badarini baada ya kuwa nimelipa kodi ya TRA, kuna tozo gani nyingine za ziada na bei zake zikoje?
Habari za leo wadau!
Naomba msaada , gari yangu aina ya Wish taa ya oil inawaka moja kwa moja. Imeshabadilishwa vitu vingi hadi fundi kanyoosha mikono.
Naomba wajuzi mnisaidie ifanyiwe nini tena?
Kwenye usafiri wowote kunaweza kutokea hatari au dharura yeyote..Nakumbuka nikiwa Kwenye safari fulani ya gari moshi ilitokea sintofahamu ndani ya mabehewa abiria wakawa wanataka kwenda kutoka nje...
Zamani nilipokua naona watu wakimiliki magari na mimi nilikua na pikipiki nilijiona dhalili sana na mnyonge.
Nilikua naona wenye magari kama watu waliopendelewa sana, na wenye pesa, lakini gari...
Pole na kazi wakuu!!
Mafundi naomba munisaidie nipo kijijini huku Nina pikipiki aina ya TVS changamoto yake Ni kwamba inasumbua kuwaka. (Napiga kiki mpaka nachoka)(Ukisukuma inawaka) hata ikiwaka...
Wakuu Kama kichwa Cha habar kilivyoeleza hapo juu nategemea pia kuinunua gari yamzigo 124L kichanja inayoweza pia kuwekwa bodi bomba zakupachika ikawa na matumizi mawili kichanja na Ile wanasema...
Habari ndugu zangu,
Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu na haya magari (Hino, Isuzu na Mitsubishi Fuso) nahitaji kufanya biashara ya bus la abiria kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine i.e Iringa to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.