Ni mkoani kabisa, hakuna lami ni full vumbi... Gari ipi kati ya hizi itafaa kwa mazingira hayo?
Pia waweza recommend models zingine zinazofanania muundo huo wa SUV for convenience.
Subaru ya...
kati ya kampuni hizi za tairi za china,ipi ni nzuri wadau,kuna BOTO,SAILUN NA LINGLONG-zote bei ni 145,000/kwa pisi,nichukue kampuni ipi?nataka pisi 2 za mbele,205/70R15.
jaman wakuu,kwa wataalam wa magari,hivi kuisha kwa breki kunaweza sababisha high rate of fuel consumption? Hasa kwa automatic cars ndogo kama ist,vitz,duet n.k. Plz naomben jibu
Ukienda kufanya service ya brake huwa unarekebisha au kubadili nini?
Je, umewahi kubadili Brake fluid?
Inashauriwa kubadili Brake fluid kila baada ya miaka 2 au 48,000Km (Lolote litaloanza kati...
habari wadau?
Katika kuperuzi kwenye site mbalimbali zauuzaji wa magari online nimekutana nahizi gari za wakubwa Toyota land cruiser V8 model ya 2017
Befoward wanataka kiasi cha pesa ML:109 na...
Habari za muda huu wakuu,aisee jana gari yangu ilichemsha so nmefanya overhall,shida inakuja kweny spare zake nmetafuta mbeya nzima nmeambulia kimoja tu(ring piston).
Nahitaji vifutavyo
Ring...
Wakuu, wataalamu wa magari naomba kufahamu kiundani kuhusu hii gari Nissan Juke ya 2011 ina 1490cc, kwanini Bei yake iko juu sana (23 Million) na wakati ina muonekano mdogo kama wa IST?
Wakuu kwema,
Sijawahi kumiliki ndinga ila nimejichanga nataka nianze na starlet glanza wenye kuijua gari hii wanisaidie uzuri na changamoto zake tafadhar.
Hii ni Toyota Carina, usukani unakuwa mgumu halafu oil kwenye steering power unaisha maramara , huyu fundi akaniambia steering power imekufa ,nikaamua kununua nyingine tatizo liko pale pale.
Pili...
Wakuu salama? Bila shaka acha niende kwa mada,
Kutokana na kuendesha gari tofauti tofauti, manual na automatic nimegundua hili.
Gari ikiwa na wese full tank au hata ikiwa kwenye half tank ukiwa...
Habari Wadau,
Gari yangu ni Honda fit inatoa mlio wa gu gu guuuu ( non metal clucking) mguu wa mbele kulia hata kwenye speed ndogo kwenye barabara yenye vishimo shimo.
Nimebadisha Shocks zote na...
Katika pita pita zangu nimetokea kupenda gari hizi
1. Toyota Voltz
2. Toyota Ractis 2011
Naomba pros and cons za hizi gari.
Mimi shughuli zangu ni hapahapa mjini, sina safari za mbali.
Zote...
Habari wakuu,
Kuna kibaby walker niliagiza, sasa kimefika. Nimeongea na kampuni ya clearing wamenipa hizi gharama ukiachana na kodi ya TRA ambayo naweza kuona kwenye system ya TRA, ningependa...
Wadau poleni na majukumu.Nina Suzuki Escudo Cc 1590.Matatizo ya gari hii yananichanganya Sana.Kwanza gari inachemsha Sana,Haina nguvu na Sasa inakula mafuta balaa Lita moja kwa km 2.
Pia Sasa...
Nikiwa napita pita Befoward kuusitua umasikini nimekutana na hili gari likanivutia kwa mwonekano wake
Wajuvi wa magari nipeni somo kidgo kuhusu hili gari, linafaa kibongo bongo ukizingatia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.