Wakuu Kwa DHATI naomba mwenye kuijua vema hii gari, Mafuta inatumiaje,(Lt per km), Spea zake, AC (how good it is), kwa kifupi faida na hasara zake kwa hii gari.
Naomba saana,
Mwishowe kwa Mil 10...
Naomba kujua namna inavotumia Mafuta engine hiyo ktk Premio New model ya kuanzia 2002-2005,, kwa DHATI uzuri wa engine (faida na hasara na mazingira ya kwetu,,
Barikiwa ndugu yangu.
Nina ndugu yangu anataka kuingia kwenye hii sekta ya usafirishaji mizigo hivyo nikaona ku share swali hili kwenu.
Je inachukua muda gani hadi ku qualify kuendesha lori.
Pia anataka kujua faida...
Wanabodi.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Natafuta tyre cover ya gari aina ya RAV 4 kill time, milango 5. kwa yeyote anaye uza au kujua zinapo patikana naomba anifahamishe!
Asante.
Wapendwa kama kichwa cha habari kinavyoeleza,naomba kujuzwa kwa undani,kiutalaam nini matumizi ya gia position L na no 2,wakati wa kuendesha gari za automatic mfano toyota noah.
Ilikuwa asubuhi jamaa wanakwenda kazini, huyu mwenye jeep srt akiwa anarekodi kwa bahati anakutana highway na benz amg ,mustang, ligi inaanzia hapo.
Kiukweli bongo hakuna barabara za kiwango kwa...
TOYOTA WISH AU IPSUM?- Kama alivyouliza mdau kwenye group
Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari
Ipsum za zamani zimeadimika, hivyo ntaongelea ile mpya kuanzia miaka ya 2001.
Toyota Ipsum...
Habari wakuu, nina Nissan Dualis ya 2010. Pindi ukikata kona inakuwa inagonga.
Wiki iliyopita nilikagua CV Rubber boot na mojawapo ikawa imekatika. Nikaenda kwa fundi akaisafisha CV joint na...
Habari zenu wakuu.
Hizi siku mbili battery ya gari (IST) imenisumbua mno, bila shaka muda wake wa matumizi umekwisha.
Kwa sasa sina pesa ya kununua battery nyingine kureplace hii...
Kuna vuta naona inaendelea kwenye forums mbalimbali kati ya wapenzi wa Toyota Land Cruiser dhidi ya wapenzi wa magari ya kimagharibi.
Hapa nitaweka videos chache tu, wakishindanisha nguvu, uwezo...
Wadau poleni na hongereni Kwa pilika za maisha ya hapa duniani ,. Nimekuja kwenu Kwa mara ya Kwanza niombe ushauri na mawaO yenu wwnye uzoefu wa magari Nimeetokea kuipenda Sana Toyota Kwa kuanza...
Habarini,
Gari yangu rav 4 injini manual 3s inavuma mguu wa mbele kushoto ma kuna wakati inaacha nimenadili bearing wapi,naombeni msaada kwa hili tatizo.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipita kwenye miji mingi hapa Tànzania katika Tax kumi utakazoziona basi angalau 6 zitakuwa ni Toyota Carina.
Je, gari hizi zimetengenezwa maalumu kwa ajili ya biashara hii? Imefika sehemu hata...
Kwa mda mrefu nimekuwa nikijiuliza, hivi ukiwaaha air condition husababisha gari kutumia mafuta zaidi kuliko usipowasha au,wajuz kujen hapa mdadavue kwa faida ya wanajamii forum
Dave Sihoka, kulia, (mwenye mavazi rasmi ya mbio za magari) Zambian international rally navigator akiwa na Joab Ambukege Kakuyu, dereva wa Lori kutoka Rungwe Mbeya aliyefika DAR es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.