Wakuu kwema?
Anahitajika fundi wa refrigirated truck gari ipo Mabibo Dar es salaam. Kama kuna fundi humu anicheki PM au la kama kuna member anajuana na fundi yoyote mzuri kwa kazi hizo naomba...
Habari za kazi wanandugu. Kazi iendelee ila irekebishwe kidogo maana tozo na ugaidi vimezidi.
Twende kwenye mada.
Mimi nina uzoefu kidogo kununua magari kutoka Beforward, kwa mara ya kwnza...
Hello team Magari ,naombeni ushauri wenu ,nina mpango wa kuagiza hii Suzuki Jimny sasa sijajua ni ipo Bora Kati ya Manual Transmission au Automatic transmission msaada wa ushauri please
Habari
Gari inapokuwa kwenye mwendo nikaachia accelerator bila kufunga brake halafu nikikanyaga tena gari inastuka. tatizo ni nini. hali hyo haionekani ikiwa gari inaanzia kwenye kusimama.
Asante
Uzi huu nimelenga engine za petrol.
Kwenye engine za petrol kuna misfire za aina mbili.
Aina ya kwanza ni ile inayosababishwa na Rich mixture. Yaani mafuta yanakuja mengi sana kuliko yale...
Wakuu wasalaam!
Natarajia kuagiza hili gari hivi karibuni kama mambo yatakaa sawa!
Bei zake nakuta ziko juu kidgo kuanzia 9M hadi 15M kwa site ya befoward kabla ya kodi ya tra.
Naombeni ushauri...
Hii gari iko vizuri kwa kila kitu
- Good fuel consumption
- Comfortability
- Speed
- Muonekano
- Price (ina range kati ya 12.5 hadi 14)
Gari unique sana (japo inashare spare parts na baadhi ya...
Hatimae mfalme wa 4*4 imara kutoka Japan amekuja kivingine ikiwa ni toleo jipya na muendelezo wa 200 series,,, hi ya sasa ni completely re-design iitwayo 300 Series!
Wasifu wake:
Imeboreshwa kwa...
Wakuu igweee
Nina gari yangu fuso tani 20 imepata ajari pale mitaa ya Kibaha
Sasa nataka kwenda kunyosha na nimeambiwa na watu gereji mzuri ziko Moshi
So kwa watu wenye uzoefu tafadhari sana...
Wanajamvi naombeni msaada,
Natafuta user & instructions maual ya Toyota Noah, road tourer 2000, nimejitahi ku google lakini wapi, msaada kwa mwenye nayo au anaejua ntapata wapi.
au nitumie pdf inbox.
Wakuu hivi karibuni natarajia kununua chombo cha moto (piki piki)
Mapendeleo yng ni kuwa na piki piki aina ya boxer,lkn naziona zipo tofaut tofaut,zingne nasikia zinaitwa mdomo wa mamba..
Kwa...
Wataalaamu wa magari,
Sikiliza audio ya silencer kama nilivyoirekodi kwenye engine ya Toyota IST. Kuna mlio wa 'kugonga' hivi kwenye engine.
Asubuhi napowasha gari hamna shida, silencer inakuwa...
Kwa mara kama ya tatu nimeendesha crown athlete but this time nimekwenda umbali, model yr 2009, nimetoka nayo Mwanza nikaingia Mara (Sirari) nikavuka boda nikaingia Kenya kwa jamaa yangu...
Naitaka hii show alikuenayo plz anicheki ni ya Volkswagen polo batan zote zinafanya kazi issue tu show imevunjika njoo inbox fasta kama kuna muuza speak aje Au anaeijua Bei yake hii.
Gari yangu aina ya toyota liteace ya dieseli ina toa muungurumo mbaya na kutoa moshi.
Pia taa ya check engine inawaka. Fundi wa kwanza akasema tumeweka mafuta machafu hivyo tusafishe tank. Fundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.