JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Vits Rs ya milango mitano inahitajika,Bajeti yangu Tsh 6M. Mwenye nayo tuwasiliane. WhatsApp Tuma picha biashara ifanyike 0712672949
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kelele nyingi mitandaoni zinazodai chuma kipya cha Daiaond ni feki, nikaamua kuingia mtandaoniili ili nicheki facts maana watalamu wanasema "No research, no data, no right to...
7 Reactions
21 Replies
6K Views
Kwenu wadau wa JF hivi gari feki ndio huwa zipoje? Zinafananaje? Na je ni hatari katika matumizi? Nimepata wakati mgumu sana wa kuzielewa gari feki. Na je kama zinaweza kuhatarisha maisha ya...
1 Reactions
4 Replies
979 Views
Salam wakuu, Direct to the point, hii funguo ya Mazda yangu nilienda kuchongesha funguo, nikafanikiwa lakini tatizo hii inafungua milango tu, haiwezi ku-turn on ignition. Kufuatilia nikaambiwa...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Mwaka 1998 nlipanda gari ya jamaa yangu. Benz akanishawishi sana siku hiyo twende Morogoro na gari yake akaoneshe ndugu zake ana Mercedes Benz. Hapo kabla nlienda naye ila tulitumia gari yangu...
10 Reactions
55 Replies
4K Views
ZIJUE GARI 6D17 Mwaka Nigari ya mwaka 1998 lakin bado ipo vizuri na inafanya vyema kabisa katika tasnia ya ubebaji mizigo na haijawai kutuangusha katika hilo. Cubic centimeter (cc) Ina 8200 cc...
1 Reactions
0 Replies
945 Views
Nasikia kuwa Gari linapopata ajali iwapo lina bima kubwa no lazima kuandika barua. Naomba kufahamu barua inakuwa inahusu nini na inaandikwa kwa nani?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habarini za kazi Nina Gari yangu ni Fuso Super great, ilikuwa na shida ya kukosa nguvu ikitembea Kwa kilometres kadhaa. Sasa fundi amekuja kupima akasema kuna baadhi ya sacket kwenye...
0 Reactions
0 Replies
621 Views
Wadau salaam kwenu, Kwa sasa bus la Sauli ndio linaweza kuwa bas linalokimbia sana barabarani (dhania) kwa Tanzania. Nnafikir na Mfalme Zakaria wa Mwanza Musoma hatoshi, naona tunaanza taratibu...
8 Reactions
121 Replies
25K Views
Naomba MSAADA: Baada ya kubadilisha injector nozzle zote engine imekosa nguvu, na bado check engine lamp HAIWAKI__ Nikitumia mashine ya Diagnosis (ANCEL) fault code P1922(switch on engine off) na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za majukumu ndugu zangu nauliza wapi naweza kupata engine ya peugeot 504 sr saloon plus gear box yake used well mantained in a good condition na price niko moshi Chombo ya mangi imelala...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Kila mtu na kila siku tunakutana na hizi gari huko barabarani, makampuni, watu binafsi na hata taasisi za serikali wanatumia, je wanajua kuwa NCAP wamelipa score ya sifuri kwa kuwalinda walio...
9 Reactions
39 Replies
6K Views
Image: Source Who doesn’t love train journeys? There would be very few people who don’t like to travel through train. It is the most cheapest and comfortable transport to reach your destination...
6 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya woga mwingi dhidi ya magari ya BMW ila hali sasa imebadilia naona wapenz wa baby walker wengi wamehamia kwenye BMW series 1. Nini siri ya haka kagari spea sio adimu tena na wamepunguza...
4 Reactions
71 Replies
16K Views
2.unapimaje transmission fluid ya gear box,je wakati engine iko on au imezimwa kabisa,msaada jamani.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Nimeona magari ford expore na ford escape yana bei nafuu na hata kodi yake sio kubwa sana. Kwa wenye uzoefu na hizi gari vpi kuhusu uimara wake, utumiaji wa mafuta , vipuri na...
0 Reactions
43 Replies
11K Views
Habari za majukumu ndugu zangu nauliza wapi naweza kupata engine ya pegeout 504 sr saloon plus gear box yake used well mantained in a good condition na price niko moshi Asante sana.
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Tofauti ya Harrier na Rav 4 Old Model 1. Uundwaji na Moboresho Harrier iliundwa baadae miaka ya 1998 ikadumu mpaka 2002 wakati Rav 4 iliundwa miaka ya 1995 ikadumu mpaka 1999. Hivyo Harrier...
15 Reactions
20 Replies
9K Views
Bado watu wa Subaru tuna tatizo na genuine parts hasa mpya, natafuta brake shoe OG za forester sh5 2008 , nipeni machimbo wakuu. Pale Kinondoni 0-60 zipo chache na sio zote.
2 Reactions
3 Replies
837 Views
Wakuu salama? Juzi nilipata crush ikapelekea rim kuvunjika na tairi kubast, ila nikasikia kuna wataalam wanaunga rim inakaa vzr tu. Swali langu ni kwamba Je? Ikiungwa inafit vizuri kabisa...
5 Reactions
91 Replies
8K Views
Back
Top Bottom