Habari wana jamvi, baada ya kupambana nimeamua nijipongeze kwa kutaka kununua gari ya ndoto yangu ambayo ni Nissan Murano, sasa nimekuja hapa mnisaidie kabla sijafanya maamuzi. Uimara, ulaji wa...
Wakuu naomba kuuliza kazi ya fan ndogo kwenye rejeta ya toyota noah,kazi yake nini na je inawaka pamoja na injini au inawaka baadae, kila ninapowasha gari yenyewe haizunguki, sijui tatizo nini?
Habari,
Nataka kununua gari aina ya Toyota Avensis 2.0 D-4-D, hii gari inatumia mafuta ya Diesel. Kuna mtu ana uzoefu na hizi gari. Pia kuna mtu ameshawahi kununua hii na anayo. Nilikuwa nauliza...
Habari za jioni watu wa mungu poleni na mihangaiko ya siku nzima,
Hivi ni sahihi kwa gari yenye cc 1790 kula mafuta kiasi hcho au ni gari yangu tu,maana juzi nlikuwa na jamaa yangu anadai ni...
Habarini wajameni,
Baada ya kuhangaika na bei za Noah show rooms hatimaye nimenyoosha mikono.maana bei imepanda sana.Nimefanikiwa kukutana na gari hii BF na muonekano wake ni kama Noah ila...
A lucky 25 customers received Tesla’s redesigned Model S “Plaid” at an event hosted by CEO Elon Musk in Fremont, California on Thursday night.
The Silicon Valley automaker has billed this new...
Wakuu wajuzi wa JF,
Naombeni mnishauri mimi na wadau wengine watajifunzia hapa. Mwaka jani niliagiza Chaser GX 100,C.C 2300 ya kuanzia maisha,kiukweli nilikurupuka sana wadau.
Wese...
Habari zenu wanabodi? Ni matumaini yangu kwamba kila mmoja humu ndani yuko salama kabisa.
Lengo kubwa la hili bandiko ni kwamba mwezi huu natarajia kununua gari kwa kuagiza gari toka nje ya nchi...
Hii gari nimeipenda sana ilivyo na nafasi ndani, siti zake za nyuma zinaweza kulala kuongeza nafasi ya mizigo. Bei zake ni za kizalendo sana, nadhani kwa class yake ni gari ya bei nafuu kuliko...
Wadau niende moja kwa moja kwenye mada,baada ya taa ya low fuel kuwaka,je noah old model reserve tank yake ni lita ngapi? au inaweza kutembea km ngapi ndo gari izime..
Habari za wakati huu tena Dada na Kaka zangu, ni jioni nyingine tena ya siku ya Jumapili ya tarehe 20/06/2021 ambayo mimi Binafsi ni mzima Afya natumaini pia hata nyinyi mko salama.
Acha niende...
Wakuu kama mjuavyo vyuma vimekaza Kiukwel. Nafikiria kujiongeza kwenye biashara ya Taxi je Toyota Premio (pichani) inafaa kwa shughuli tajwa? Ulaji wake wa mafuta, spea n.k. natanguliza shukrani...
Habari za Asubuhi wakuu.
Gari yangu Volkswagen polo 1.4L ya mwaka 2006 imekufa “oxygen sensor” naomba kwa wajuvi wanisaidie wapi naweza kuipata na bei ni kiasi gani.
imeandikwa hivi
NTK JAPAN...
Wakuu leo nimepata majanga na oil sample ikapasuka, naomba kujuzwa gharama za kuibadilisha (gari ni subaru impreza), au kama inawezekana kuchomelea kuziba hilo tundu naomba kujuzwa.
Asanten
Jamaa yangu amepata crack (ufa) kwenye kioo cha mbele cha gari (windshield). Anasema inazidi kuongezeka (kurefuka)
Je, kuna repair ya cracked windshield kwa uhakika? ama ni hamna namna tena...
Kuuliza si ujinga,
Kuna gari moja ya home ilikuwa na radio yake ya sony kwa bahati mbaya radio ile ni kama tuliuziwa mbuzi kwenye gunia ilipata damage...
Point yangu iko hapa kwenye radio hizi...
Wakuu poleni na mjukumu, Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nina kausafiri nilikapata kwa mbinde long time ago Sasa naona mwendokasi wake ni wakusuasua naomba kujua Kama kunauwezekano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.