Wakuu kwema?
Nimejichangachanga nimepata 5.5m kuna mhindi nilisoma nae chuo anataka kuniuzia Toyota fielder ambayo ni plate number A, plan yangu nilitaka hasa Ist, Sienta au Rav lakini bajeti...
Habari wadau..
Gari limeisha bima leo na niko bush hakuna ofisi za kampuni za bima.. nataka ninunue online kwa sim banking..
Ila najiuliza sticker naipataje? Maana kesho narudi mjini sitaki...
Habari wakuu.
Kwanza nikiri wazi kwamba mimi ni mpenzi mkubwa sana wa magari ya zamani.
Yaani nikiyaona barabarani huwa napagwa hasa likiwa bado kwenye hali nzuri kimuonekano na kwa imani yangu...
Nimesoma baadhi ya review kuhusu magari yenye injini ndogo nikakutana na vitu ambavyo kidogo vimenistua.
Hapa nazungumzia gari hasa zenye cc 650cc hadi 1000cc lakini kipaumbele ni hizi za 660cc...
Habari zenu wanajamvi.
Nina pikipiki yangu aina ya SANLG huwa naitumia tu katika mizunguko yangu ya hapa na pale ila sasa nina dharula nitakaa nje ya hapa home kama mwezi na wiki mbili hivi...
Habari za leo wanaJF
Joto, au kiasi cha joto ni muhimu sana kwa mashine na mifumo kama vile kwa viumbe hai. Kunatumika vifaa na sehemu maalum za kutekeleza kazi hii ya kudhibiti joto la mfumo...
Tunaoendesha vigari vya Kijapani esp. Toyota tunabezwa sana humu ooh gari mbaya, mbovu, haziko stable na blaah blaah nyengine. Ni sawa ila zinatibika kwa wepesi bila kuua account bank.
Kabla...
Ndege kumwaga mafuta angani kitaalamu #FuelDump au #Jetsoning ni utaratibu wa dharura unaofanywa na rubani kutoa mafuta nje ya tanki za ndege ikiwa angani.
Mara nyingi ndege kubwa na za kati zina...
Tunataka kusafiri na toyota noah,old model cc1990 kutoka dar to kyela mbeya, tuandae kama sh ngapi ya wese na vitu gani vya kuservice kabla ya safari na speed iwe ngapi ili kuserve mafuta...
Nina kagari kangu kanatatizo kwa muda sasa, ninapokua naendesha halafu wakati niko kwenye mwendo kuna wakati engine inakua kama inajipinguza speed (Rpm) na nikiachia accelarator pedal gari inakua...
Nataka kununua toyota Noah, 2wd,1990cc, sasa kuna, Field tourer, Road tourer, Super extra limo, Exurb, kwa wazoefu ipi ni nzuri kwa, kula mafuta, kutulia barabarani, muonekano wa board nje na...
Habari wakuu
Nilikuwa na wazo la kununua Toyota IST kwaajili ya mizunguko yangu ya kazi, lakini ghafra mawazo yangu naona yanabadilika na kuhamia kwenye Subaru impreza ...nimetokea kuipenda hii...
Habari wadau, naomba ushauri..
Nina Toyota Harrier model ya 2005 inakita kwa sauti (banging sound) nIkipita kwenye shimo bila kupunguza speed. Yani hata kama si speed sana. Sauti inatokea sana...
Katika kufanya diagnosis na kurekebisha matatizo mbali mbali kwenye magari. Asilimia kubwa ya gari nilizokutana nazo ni gari za japan mathalani gari za toyota japo nishakutana pia na gari za ulaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.