Wadau naomba kuelewa nimekuta gar imemwaga coolant mpaka imeanza kugandamana wakati inakuja toka japan haikuwa hvi,je hili ni jambo la kawaida au niende Garage...natanguliza shukrani
Rejea kichwa cha habari nataka kusafiri kutokea Dar es Salaam hadi Arusha kwa gari ya Subaru Impreza cc1490 je naweza kutumia lita ngapi za mafuta?
Nawasilisha
Habar wakuu,
Nimefanikiwa kupata ka bbywalker kangu. Bahati mbaya nimekuta kina yyte size 14 sasa napend sana zile tyre kubw kubw je kwa Toyota Allex nawez weka maximum size ngap ili niwe...
Habari za asubuhi Wana JF. Ni Imani yangu kua mko wazima wa afya katika kusukuma hili gurudumu la maendeleo. Kwa wale wenye hitilafu za kiafya Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi.
Nakuja kwenu kuomba...
Salamu sana ziwafikie wapendwa wana JF
Naomba kujuzwa japo kwa undani Kati ya haya magari mawili na sifa zake TOYOTA LAND CRUISER vs NISSAN PATROL
aksante.
Kipato cha chini... ila IST nimeweza kuimudu vyema service & maitanance.
IST ndo gari yangu ya kwanza kumiliki, ni mwaka mmoja sasa. Napenda speed, and stability matters a lot!! Ni mtu wa long...
Je, ni gari yenye matatizo gani? Ulaji wa mafuta, upatikanaji wa speya, anatembea vzuri kwny barabara zetu? Kwa used bei zake kwa madafu zinarange vipi?
Naomba msaada, nimeona mtandao nikaipenda...
Habari zenu humu ndani! Ninampango was kuagiza toyota premio ya 2003 ZZT 240. Ila kuna hii gari SUBARU IMPREZA ya 2008, cc 1490 . naona inanunuliwa sana kwa sasa hapa kwetu tanzania kiukweli nami...
SABABU ZA INJINI KUCHEMSHA na MADHARA YAKE
Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari.
1. Maji ya kawaida haswa yenye chumvi yasiyo na Coolant. Hii inaweza tengeneza kutu ambayo hua kama tope...
Miaka mitano-saba kurudi nyuma Nissan Xtrail ilikuwa ni gari ambayo watz wengi hawakuikubali sana ikilinganishwa na gari kama Toyota rav4, na ijapokuwa Toyota rav4 ni gharama kwa maana ya bei...
Matamanio yangu nikumiliki gari aina tofauti na toyota kwasasa japo kipato changu ni chakati yaani chakawaida. Navutiwa sana nagari hizi, Mitsubishi Outlander, Volkswagen tourage na Honda...
Habari!naomba kujua Uzuri wa Suzuki swift sport yenye engine ya M16 with manul Gearbox pia Mazaifu yake.
Ahsanteni nawasilisha.
Suzuki Swift sport
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.