JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Salaam, Natafuta Air compressor kuanzia lita 100, kama unayo nichek Pm tufanye biashara chap!!
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Mwenye uzoefu na gari tajwa hapo juu, naomba anitajiechangamoto zake. Nataka kununua miongoni mwa gari hizo. Najua humu wapo wazoefu na ambao wamewahitumia miongoni mwa gari hizo. Nawasilisha
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanabodi napenda kujua gharama ya kioo cha mbele cha Brevis kwa Mwanza na Kahama au hata Dar.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Edit: Moderator naomba edit Hyundai sio KIA. Katika kuzurura mitandaoni nikaonana na Hyundai i40 ya mwaka 2015. Hyundai nimeziona ona Tanzania so sikua na wasiwasi kuhusu mafundi na spare...
5 Reactions
10 Replies
908 Views
Naomba kuuliza maswali haya kwa wenye uzoefu wa magari. 1.Tyre ukiichukua mpya ukaifunga ukaitembelea au hata upaki gari yako uani inatakiwa idumu miaka mingapi ndio ubadili?Hata kama kashata zipo...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne ( 4 ) tu toka yatengenezwe (Sio toka uyafunge kwenye gari lako).......Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka...
4 Reactions
2 Replies
4K Views
Kuna tofauti gani kati ya 4WD na AWD
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu kuna habari naomba ufafanuzi,huwa natumia castor oil kwenye gari yangu ndogo Toyota Isis ila kuna fundi anasema hiyo oil ni maalum kwa magari yenye turbo haifai kwa gari yangu na akaniambia...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu salam zenu, Kwanza niwashukuru kwa kuniongoza na kunipa elimu kwenye kuimport gari nilifanikiwa kupitia enhance auto. Good news na expect mwezi huu itakua ishawasili kwa bandari. Sasa...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Niko nchi fulani ambako kuna salvage cars. Nia yangu ni ku deal na spare Tanzania, hivyo nafikiria kusafirisha haya magari hadi Tanzania na kuyakata ili kupata vipuri. Kutenganisha vipuri nikiwa...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenye bampa la mbele nahitaji pesa mfuko wa shati. 0713099309.0748001009.mbez beach
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana JamiiForums, hivi kwani maisha mazuri kaumbiwa Kiduku Lilo tu? Hata mimi napenda niendeshe gari kali ya Mjerumani VW Polo, yaani. Amaizing (hili neno hata sijui tafsiri yake). Haya...
20 Reactions
69 Replies
6K Views
Nombeni ushauri nahitaji kununua Gari, IPI bora kati ya Nissan xtrial vs Toyota Allion
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Chuma hiki Hyundai Azera 2017-2021 Nina matarajio within 5-7 years kua na usafiri huu wa chuma hiki hyundai azera Baada ya kuifuatilia nimeona machache kwa wadau kama haya hapa Kwanza ni sport...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu poleni na kazi, Hivi ni sahihi kuosha eneo la engine la gari kama inavyoonesha pichani? Maana hiyo gari ilikuwa inaoshwa ili sehemu ya engine ionekane inag'aa. Lengo ni kuuzwa ili...
2 Reactions
24 Replies
6K Views
Wadau, ninaomba ushauri wenu tafadhali. Nikiwa na bajet ya around a maximum of 17m, ninaweza kununua gari gani ya kutembelea ya kawaida tu ambayo priority ni 4wd maana sehemu ninayoishi kuna...
1 Reactions
47 Replies
11K Views
Toeni ushauri inahitajika moja kati ya hizo hasa ubora/ugumu, utumiajiwa mafuta, kuhimili mikiki yeyote kwa jamii zetu za kiafrica
2 Reactions
46 Replies
10K Views
Ukiitaja tu Toyota Brevis kila mtu atakwambia hill ni jini. Linakunywa mafuta mengi, vipuri vyake bei juu na havipatikani kwa urahisi. Atakushauri ununue IST au magari mengine madogo. Sasa naomba...
1 Reactions
106 Replies
26K Views
Habari wakuu.Mwenye ujuzi na hizi gari mazda demio katika ulaji wa mafuta,maintanance,spare zake na uimara wake tafadhali anijuze kabla ya kununua. Ahsanteni. Mazda Demio
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Nimepata mashaka makubwa sana baada ya kutizama hizo kilometre na usajili wa gari yaani gari imesajiliwa muda mrefu lakin imetembea km chache sana nika muuliza kulikoni gari inausajili wa BAC wa...
6 Reactions
75 Replies
11K Views
Back
Top Bottom