Wakuu habari mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa hii forum ya magari japo siyo mchangiaji. Nna gari yangu Toyota Allex jana kuanzia juzi taa ya oil nyekundu kwenye dashboard imekuwa inawaka na...
Nmeanza kuwa mpenzi wa Prado sasa maana haya matoleo ya mwaka huu ni balaa tupu!
Unahitaji kuwa na $70,000 bila kodi kuibikiri mwenyewe yani 0km.
Ngoja niendelee kujichanga.
Wakuu habari ya wikiend...
Ngoja niende direct kwa mada. Kuna jambo nmeliwaza nikaona nililete huku jf kwa wajuzi wa mambo. Wakati wa usiku madereva hawawashi taa ndani ya gari lakini wana drive...
Habari wadau,
Nimelipata sehemu hili kuwa maji yanayotoka kwenye AC za maofisin na majumbani ni bora zaidi na yanasaidia kupoza vizuri injini ya gari vizuri zaidi.
Wajuzi mnijuze.
Asante.
Picha za landcruiser 300 series zimeanza kuonekana huku wadau wakikasirishwa na muonekano mbaya wa gari huku wakilaumu kwamba wameua lengendari 200 series alafu wamekuja na utopolo.
Wengine...
Wakuu habari ya hili jukwaa, ni mara yangu ya kwanza kupost hili jukwaa natarajia ushirikiano mzuri kwa siku zijazo. Mada ya leo ni kuhusu kujua kufanya kitu kinaitwa "mapping car radio" kama...
Wakuu habari za kazi nina shamba langu mahali baada ya mavuno, nina ndoto ya kununua gari ya mzigo isiyozidi tani 3 ambayo itaniingizia kipato kwa kubeba mazao ya wakulima na mazao yangu kupeleka...
Anaitwa Frank Darko ni mwanafunzi wa chuo kutoka nchini Ghana Ameweza kutengeneza baiskeli inayoelea juu ya maji.
Ni mwanachuo anayesomea maswala ya Graphic Design ndani ya Tarkoradi Technical...
Habari za Muda huu wadau.
Mimi nina gari aina ya BMW X3 kwanza ninapotembea barabarani zaidi ya spidi 60 mpaka 80 lina shake sana mpaka ile vibration naisikia kwenye Sterling.
Lakini inapofika...
Natoka zangu Moro naenda Dodoma na vitz yangu ila napitwa na kila gari[emoji26][emoji26]....
Ikija rav4 inapita, ikija Ist inapita, likija basi linapita ukishindana nayo unaishia kujichosha tu...
Je, ushawahi kupigwa tochi ambayo huielewi? Yaani umefuata vibao vyote vizuri kabisa lakini unafika mbele unaoneshwa picha kwenye 50kph zone imepita na 85kph au zaidi?
Twende pamoja. Kawaida...
Wasalaam wataalamu.
Aisee nina ki-gari changu aina ya Chevrolet Optra Lt 2.0 hivi majuzi kimeanza ku-misbehave kina washa taa ya Check Engine halafu kinanakuwa kizito kuchanganya mfano ninapokuwa...
Ninataka kutafuta pikipiki kwa ajili ya bodaboda na kutembelea pia.Ninataka kufahamu je ni pikipiki gani ya kichina ambayo angalau ina ubora kiasi kati ya hizi
Fekon
SanLG
King Lion
T better
Wadau habari,
Mwezi uliopita kupitia STB JAPAN niliweza kuagiza gari tajwa kwenye tittle from abroad bahati nzuri imefika ipo bandarini so kuanzia this week ntaishughulikia malipo yote bandarini...
Habarini wapendwa kwema!!! Nina gari yangu aina ya Toyota corolla fielder shida kubwa kila nikiiwasha inawaka halafu inazimika nikirudia tena bado inazimika, ila ukiiwasha halafu ukaikanyangia...
Wakuu habar zenu.
Hivi kati ya lubricant/oil kati ya kampuni ya TOTAL na CASTROL ipi ni nzuri na ipo juu ya mwenzie? Hapo namaanisha quality. Naona watu wengi wanatumia total kuliko castrol.
Ipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.