Habari wakuu
Swali dogo sana. Hivi toyota zinazotengenezwa Japan zinaingiliana spea na zile zinazotengenezwa Indonesia? Kuna toyota niliagiza kutoka Indonesia sasa kupata kioo cha nyuma imekuwa...
Wakuu habari ya leo,
Kuna dhana kuwa gari za kubebea mizigo kama kirikuu na zile mini canter hazitakiwi ziwe automatic,ni lazima ziwe manual.
Hii ikoje kitaalam na je ni kweli magari ya...
Haya ndugu zangu wataalam wa mambo wap ntapata Body la subaru legacy mana nimezunguka gereji nying bila mafanikion.
Bei iwe ya kuelekea mwezi mtukufu jamani.
Wakuu habari za jumapili.
Ndugu hawa jinsia ya KE ni watunzaji sana wa vyombo vya moto kuliko sisi wanaume. Mfano sister yangu alinunua gari toyota ist 2015 ni namba C lakini mpaka sasa imesimama...
Habari wadau nimeleta mzigo wa vifaa vya Ford Ranger na Puma Landrover.
Baada ya kuona Ford Ranger zinavyosumbua hasa mfumo wa Mafuta niliona ni business opportunity na kuagiza mzigo Uturuki...
Mfano
Kenya train zao za SGR max speed ni 120km/hr haitumii umeme.
Tanzania max speed ya SGR tuna ambiwa ni 160km/hr hii utatumia umeme.
Morrocco train yao (LGV) max speed 320km/hr hii inatumia...
1)TOYOTA FJ CRUISER
Hii hapa hata ukiniwekea v8 au hummer bado hautaniconvice kuiacha, Toyota FJ cruiser ni gari fln hivi matata ambayo miaka michache baada ya kutengenezwa(2007) ilipata mauzo...
Matairi au magurudumu ni miongoni mwa vifaa muhimu sana ktk vyombo vya usafiri kama baiskeli,pikipiki,gari,ndege na aina mbalimbali za mitambo au mashine nyingi ili kuweka urahisi zaidi ktk...
Kwa wapenzi wa hizi gari kuna plani kuileta upya mtaani ambapo mwaka 2019 au 2020 Landrover defender itarudi mtaani. Land rover defender ilianza kuundwa mwaka 1983 mpaka uzalishaji wa aina hii ya...
What you are about seeing and reading about is the Costliest Car in the World, The Buggati Lat Voit Nor, it's Value, it's Features and the Only human being walking the earth that owns it.
It...
Habarini za majukumu ninagari aina ya Toyota Celica ilikua inasumbu kabla tatizo la kuchemsha Nika badili injini.
Ila toka nimefunga mpya maji hayakai kwenye chupa kidogo Cha maji Ila haichemshi...
Nahitaji tyre za GOODYEAR (efficient grip) size 185/65r/15 88H. Genuine product from South Africa.
Manufacture year iwe kuanzia 2020 or recent.
Dar hazipo! Mwanza pia hazipo! Sijajua kwa Arusha...
Kila siku teknolojia inakua kwa kiwango kikubwa na imekuwa na manufaa mengi kwa wanadamu. Ukuaji wa teknolojia umepelekea urahisi katika kufanya mambo magumu kuwa mepesi. Hili limechangia katika...
Kuna teknolojia ipo kitambo ya kuendesha magari na hats mitambo mingine kwa kutumia maji ambapo kifaa hufungwa kuunganisha tenki dogo la maji na injini ya gari.
Kifaa hiki hutenganisha elements...
Kuna mshkaji wangu anauza gari mitsubish pajero kama hili. Naitaka kwa 3m. Nimeuliza mafundi nikaambiwa inaingia engine ya hiace . Maana engine za pajero pasua kichwa.
Kama kuna mtu anaelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.