Naomba kujua bei ya oil ya gear box ya Toyota sienta,
Pia nikiwasha gari nyakati za asubuhi au injin inapokuwa imepoa huwa inatoa muungurumo wa juu kana kwamba nimekanyaga mafuta... Kisha baada...
Nimebuni pampu ya kuvuta na kisukuma maji kwa ajili ya mifugo kiilimo nk isiyotumia mafuta Wala nguvu ya umeme nimeifanyia majaribio na umeonesha mafanikio makubwa inatumia mawimbi ya ziwani na...
Wakuu wasalam
Bila kupoteza mda majuz nilikua kwenye kijiwe kimoja kukaibuka mjadala mzito sn juu ya gari za mjapan na mjeruman hasa kwenye suala la matumiz ya mafuta
Wapo waliodai mjeruman...
Nininahitaji hii gari kwani nimeambiwa kuwa ni economy na spea zake hupatikana kirahisi sana, kwa kifupi management sio mbaya wanavyodai.
Nisaidieni jamani wanajf nisije juta baade
Nahitaji...
Wadau nina swali, wengi mmeshasikia kwamba usikimbilie kuzima gari ikiwa gari imetoka kufanya safari ya umbali mrefu.
Katika pitapita zangu mitandaoni, nimeona hili angalizo likiwekwa kwa gari...
Niaje watalaam wenye jamvi lenu? Kama mnavyokumbuka, nilipata ajali na ka baby walker kangu wiki kadhaa zilizopita, basi nimepata mtu nikamsukumia kama kalivyo kwa bei ya hasara, sasa nimeongezea...
Habari wakuu naombeni kuuliza je kwa mfano nikawa nimeagiza gari yangu toka nje na imefika bandali ya Dar. Vipi kuhusu ghalama na process zakulitoa gari zinakuaje?
Salaam wakuu,
Nimeona changamoto kwenye gari manual ya petrol ambapo ikiwashwa inatoa moshi mweupe kwa bomba la moshi na pia wakati huo huo mafuta yanalika sana, inaweza kuwa ni shida ya kwenye...
Habari zenu wadau Nina Generator yangu Kampuni ya Boss baada ya kuifanyia Marekebisho imewaka tatizo linakuja nnapo iwasha ina Jiongeza na kujipunguza Less yenyewe hivyo haitulii katika Hali moja...
Wakuu wangu wa JF heshima mbele, nina Jambo nilikuwa naomba kuuliza kwa ushauri wa kitaalamu nikiamini jukwaa hili ni la manufaa na limesaidia watanzanzia wengi. Baada ya salamu naomba kuelezea...
Wakuu nahitaji kununua matairi ya gari ni yapi yaliyo Bora Kwa uimara. Mimi ninafikiria Bridgestone but kuna mengine yenye caliber ya Bridgestone na bei ipo chini kigodo! Mwawazo yenu ktk hili
Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam wamedai Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Lusubilo Mwakabibi ametumia ubabe kuilazimisha kamati ya zabuni kununua gari la mkurugenzi, Toyota Land...
Habari Wakuu!
Naomba msaada wa kiufundi kwa IST kutorejesha coolant kwenye rejeta kutoka kwenye reserve tank ambayo imekuwa ikimwagika baada ya kujaa. Nimejaribu kubadilisha kifuniko cha rejeta...
Habar wakuu, Jana nimepata shida kwenye gari baada yakutoka kuosha niliiwasha vizuri nikaondoka nikapaki, Sasa baada yakupaki nawasha gari inawaka inakaa sailensa vizuri kabisa lakini lakini...
Kuendesha gari la manual sio ngumu sana kama baadhi ya watu wanavyodhani, linapokuja suala la kuendesha gari la manual ni mchanganyiko wa usanii na sayansi ya mikono na miguu kwa pamoja. Save hio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.