Kuna wimbo wa Esir - leo ni leo kuna mstari alikuwa analisifia hili gari je lilikuwa na vitu gani spesho?
Cc RRONDO na watalaam wengine wa magari pamoja na wadau wa mziki wa zamani kushuka 2010
Habari if! Naomba mwenye kumjua fundi makini wa kuniwekea fog lights kwenye gari yangu Toyota axio kwa Dar au Arusha , mkinifahamisha pia gharama nitashukuru , fog lights za round ( HID bulbs)
Msaada bei ya kubadili kadi ya gari ununuapo kwa mtu ni kiasi gani kubadili TRA?
MAONI YALIYOTOLEWA NA WADAU
Document wanazohitaji ni:
1. Mkataba wa kuuzina chombo cha moto.
2. Nakala ya...
Wataalam,
Nitumie bulb gani nzuri kwenye toyota vitz? Zilizopo zinawaka mwanga mdogo na zinanipa sana tabu usiku licha ya kusafisha vioo vya taa kwa mashine
Wazee wenzangu huku ninapokaa naona hakuna vifaa kwa ajili ya Car Diagnosis. Je, nahitaji vifaa gani hasa nifungue ofisi ya hivi na itanigharimu kama kiasi gani?
Mshanajr RRONDO Bavaria
Ndugu zangu wataalamu, nina mpango wa kufungua car wash business sasa nimepata changamoto ya mashine katika ununuzi.
Kuna mashine ya umeme nimekutana nayo dukani haina horse power ila ina 240...
Habarini wakuu,
Hivi ukipata ajali (ukigonga) na kuharibu gari lako na la mtu uliemsababishia ajali, ni taratibu gani za kufuata ili watu wa bima wahusike kucover gharama za matengenezo kama...
Wakuu habari za muda huu? Miezi kama 6 iliyopita, nilinunua benz kwa mtu. Gari ni Mercedes E280. Nilikagua chassis number vizuri na kujiridhisha umiliki wake. Nimekaa nayo vizuri bila tatizo...
Nimeshangaa kuona jinsi Magari ya mzungu yakivyokuwa na utofauti na Magari yetu ya kijapan,Jana nilikuwa nasukuma ndinga BMW 320i kutoka banana Hadi Kariakoo hakika kuna utofauti Mkubwa Sana na...
Habari wadau,
Kwanza kabisa niwe mkweli, sijui lolote kuhusu magari. Ndiyo naanza kupambana na mimi niwe na usafiri wangu.
Nataka kujua kwa kiasi cha milioni 10-15 naweza pata gari gani ya juu...
Wanabodi, naomba msaada wa hiyo gari, nataka kujilipua na katika gari za juu, naiona hii itanifaa, by the.way nimewahi kumiliki suzuki escudo lakini ilikuwa 4S.Mwenye kuijua hii gari hasahasa...
Tafadhali waungwana gari kuna mtu anataka kuniuzia gari iliyotajwa, kuna anayefahamu kuhusu uimara wake, upatikanaji wa spare na bei zake kwa hapa bongo aweze kunishauri kabla sijaingia mkenge...
Hivi karibuni kuna pikipiki mpya zimeingia zinaitwa lifo zinasifika kwa ulaji mdogo wa mafuta zina Cc 110 kwa wale ambao mmeshaitumia naombeni kufahamu
Upatikanaji wa spare
Uimara wake
N.k
Wadau wa jf ushauri wenu unahitajika aina ipi ya bajaji inafaa kwa matumizi ya biashara
Piaggio
Tvs
Bajaj
Re
Mahindra
N.k
Tupeane ujuzi kuhusu ulaji wa mafuta, spare pamoja na bei zake
habari za muda wakuu nakuja kwenye mada mojaKwaMoja mim ni dereva shida yangu kubwa bana nataka kujua vifaa vyote vya gar na jinsi vinavyofanya kazi au kama kuna wadau mnajua online mnimpe mwongozo.
Wakuu habari za weekend!
Nimefikilia niagize gari aina ya Volkswagen golf toka japani
nahitaji ushauri kidogo toka kwenu wadau wa magari maana mie sio mzoefu wa magari haya ya mjerumani.
1*Kitu...
Bugatti la voiture noire, inatajwa kuwa ndiyo gari ya gharama kubwa kuliko gari zote duniani, ikiuzwa kwa Dola 19 milioni za Marekani sawa na Sh43.7 bilioni.
Gari hiyo inayotengenezwa nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.