Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nina katoy kangu aina ya starlet carat ninachokatumia katika misele ya hapa na pale. Nilikikwara kwa mtu, ila changamoto kubwa ikawa ni ulaji wa...
Habari wana jf wote,
Leo naomba kuuliza waliowahi kumiliki au kutengeneza gari aina ya Isuzu bighoun kujua yafuatayo:-
1. Uimara wake.
2. Matatizo yake/magonjwa yanayosumbu
a mara kwa mara.
3...
Mambo vipi wadau... Alhamis iliyopita nilienda mjini na gari wakaja watu wa tarura wakanipa risiti ya kulipia ilikuwa na control namba lakini cha ajabu mpaka leo imegoma kulipia kila nikiweka...
Habari,
wakuu hii taa 4WD ina maana GANI maana haitaki kuzima kabisa, sasa inafika mwezi mzima nimebonyeza kila batani lakini wapi?
Nikiwasha kuvuta tairi zote 4 hiyo taa inazima zinawaka...
Wakuu habari za humu ndani kama kichwa kinavyojieleza hapo wale waliowahi kumiliki pikipiki. Ana ya shineray tupeni uzoefu wenu kuanzia changamoto zake ,ulaji wa mafuta, uoatikanaji wa spare zake...
Kwa upande wa Denso naona wamebase tu kwenye magari.
Ila NGK wao wamebase kwenye vitu vyote vinavyotumia engine za petrol kuanzia magari, generators, pikipiki, boats, mashine za kukata nyasi...
Piston ni sehemu ama kifaa mojawapo katika engine ya gari ,ambacho hutumika kudhibiti hewa na mafuta ndani ya cylinder.
Pia kutoa nguvu itokanayo na kuungua kwa mafuta kupitia connect rod hadi...
Nilikuwa na Rav 4 short chasis Ambayo kutokana na matatizo mbalimbali niliiuza toka january mwaka huu, nina familia na kwa sasa naona changamoto kubwa kukosa usafiri, kutokana na hilo nilianza...
jaman naomba ushauri kuna gari aina ya AUDI A3 ya mwaka 2010. natarajia kuimiliki nimeipenda sana lakini nataka nijue je ni gari ambazo hazina matatizo?
Na je spea zake zinapatikana kiurahisi...
Wakuu wapenda magari kwema...?
Wazee mnaionaje hii chuma aliyoleta Azam ,inafika pesa ngapi za madafu bongo? Na ina vitu gani spesho kulinganisha na bus zetu pendwa Golden Dragon, Youtong, Scania...
China imekuwa sehemu kubwa ya vitu vingi vinavyo zalishwa na kusambazwa duniani ila hawa watu washukuru bila nchi za ulaya na mataifa makubwa kuogopa ujila wa mishaara mikubwa kwa ajili ya viwanda...
Watalaamu wa magari ya Toyota naomba kujua tofauti ya aina ya magari hayo toka ukubwa wa injini, ulaji wa mafuta, uwezo wa kubeba abiria, uimara wa gari na kadhalika pia bei yake kwa gari la 2009...
Wakuu naitaji hii spea fundi kasema inaitwa cabin booster ,
Kwa mtu yeyote ambae anajua bei yake na wapi naweza kupata kama ni mpya au used then anidm tafadhari
Niko Dar es salaam
1. Swali: Chombo cha moto ni nini?
Jibu : Ni chombo kinachotumika katika usafirishaji ardhini, ambavyo ni pamoja na Magari, pikipiki na bajaji.
2. Swali: Nikitaka kununua gari kwa mtu taratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.