JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari wakuu, Nimeona gari beforward nimependa na nataka kuagiza. Ishu inakuja sasa gari CIF yake ni 3585 USD lakini TRA wao wame calclualte kwwa CIF ya 2709USD. Hapo calculation ya mwisho...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Nina Mitsubish PAJERO IO ACTIVE FIELD EDITION 4G93 1.8 L Engine. Ninejaribu fanya Diagnostics kutumia Machine mbalimbali lakini inaonekana ECU yake inachagua machine ya kusomea. Ni wapi naweza...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nina milioni tano nataka kuagiza gari japan la kutembelea naweza kupata gari aina gani?na gharama zote zisivuke milioni sita??? Msaada ndugu wenye uzoefu.
5 Reactions
111 Replies
35K Views
Wakuu habari ya mwaka mpya. Ndugu zangu wa hili jukwaa pendwa naomba msaada wenu kuna garage hipo hapa Mbezi Beach karibu na Juliana huku chini Africana. Nilipeleka gari kwaajili ya service za...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Gari inayopaa yenye uwezo wa kuruka kwa zaidi ya futi 8,000 (sawa na mita 2,500) na kukimbia kwa kasi ya zaidi ya 100mph (sawa na km 160 kwa saa) imeidhinishwa na kupewa cheti cha kuiruhusu...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Naomba ushauri, nimezoea kuendesha automatic sasa juzi nimepata manual Vitz. Kila nikisimama kwenye foleni hapa dsm foleni ikiachia gari inazima, nilidhani ni technical problem lakini fundi...
7 Reactions
60 Replies
9K Views
Habari, TESLA ni kampuni la magari ya umeme inayomilikiwa na tajiri namba moja duniani Elon Musk, imeondoa feature ya dereva kucheza games huku akiwa anaendesha gari. Tamko la kuondoka kipengele...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau hapa na chuo kabisa cha ME, Naomba ushauri ni njia gani ambayo naweza kufanya alarm system isinyonye betri. 2. Kuna kifaa cha kufunga kwenye gari betri isinyonywe na system nyingine ya...
1 Reactions
1 Replies
618 Views
Wakuu, heshima kwenu. Nafahamu kuwa technolojia inabadilika na kuboreshwa kila leo, kuhusu Security Systems za magari, ni ipi ambayo ni current and the best? Ahsanteni.
2 Reactions
34 Replies
6K Views
Kumekuwa na ongezeko la wimbi la wizi wa magari hasa jijini DAR ES SALAAM. Kwenye groups za WhatsApp hazipiti siku kadhaa linaletwa tangazo kuwa Kuna gari limeibiwa. Magari ambayo yamekuwa...
4 Reactions
15 Replies
5K Views
Jamani eeh...mim hii gar kwa wakat huu ndo my dream car...nataka niipate nii pimp kiwe convertable...yaan naipenda hii gar jaman Anaejua napoweza pata kwa bei nzur na hali nzur....sjui nikaweke...
12 Reactions
51 Replies
6K Views
Hawa jamaa ningependa tuwachambue kitaalamu ni yupi mkali kuzidi mwingine na kwa nini? Maana ubishi mtaani umekua mkubwa yaani mtu akipeleka gari yake sehemu moja na mwingine kwingine wanaishia...
3 Reactions
30 Replies
8K Views
Sina haja ya kueleza mengi. Mtakumbuka mwanzoni mwa mwezi huu nilikuja hapa kueleza kuwa nina nia ya kununua gari kutoka kampuni ya wauzaji SBT japani. Ni mara ya kwanza kuagiza ktk kampuno hii...
8 Reactions
109 Replies
15K Views
Ni landrover Defender
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za mchana wakuu? Nimekuwa nikifatilia uuzwaji wa magari hasa katika page za instagram na facebook za madalali, baadhi ya thread humu jamvini na hata katika majukwaa ya minada kama kupatana...
1 Reactions
68 Replies
47K Views
Kwanza nikiri kuwa humu JF nimejifunza mengi sana. Mungu wa mbinguni awabariki sana ninyi nyote mnaojitolea kuhudumia watu kwa kuwapa maarifa mbalimbali. Naomba kujua hayo niliosema hapo juu...
5 Reactions
126 Replies
13K Views
Naomba ushauri wana Jf, Hasa mnaomiliki gari aina ya Vitz pamoja na Passo. Madereva wazoefu pia wa magari mnaweza kunisaidia kunipatia ushauri. Nina 5M, je ninunue gari gani (second hand) Kati ya...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Salaam wanna jamvi Msaada Kama kuna mtu anafahamu mafundi waliobobea kwenye gari za Honda CRV, sio DT Dobie hawa wetu aw maanisha maana hao wengine mfuko hauruhusu, nimegundua kwa baadhi ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nawasalimu pamoja na mko bize kufuatilia kesi mbali mbali zinazoendelea kwenye mahakama mbali mbali naomba ushauri wenu kwa wazoefu ninatumia subaru impreza kwenye mizunguko yangu ila hivi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
MAJINA YAMAGARI YA TOYOTA NA MAANA ZAKE. Kampuni ya Toyota ilianzishwa na mtu anayeitwa toyoda na si Toyota kama wengi wanavyofikiria . mwanzo ilikuwa ikijulikana kwa jina la katakana . kampuni...
23 Reactions
49 Replies
11K Views
Back
Top Bottom