Nimepata ajali baada ya kumkwepa bodaboda nikakosa muelekeo nikagonga mti uliokuwa pemben ya barabara.
Mafundi naomben makisio ya gharama ya kutengeneza hii gari, Taa mbili za upande wa kulia (juu...
nimeendesha gari kwa takribani saa 1:30,nikapaki kama masaa 2,nikiweka tu funguo na ku turn ufungu mara ya kwanza tu,inawaka taa ya air bag,nikaendesha kama saa moja na nusu na nimepaki...
Siku ya leo nimekutana na jamaa kazini,alikuwa anawasimulia wenzie jinsi alivyokuwa amechacha sana,na akaamua kuchukua gari yake ya noah,na kwenda tabata dampo,wakatoa masega na akapata...
Habari wakuu,
Katika pitapita zangu nimekutana na spark plugs za vichwa vitatu na muuzaji anaona kuwa ni nzuri kuliko za kichea kimoja.
Wataalamu na wazoefu wa Mambo haya naomba kupata uzoefu...
HAbar Wadu mpo pouwah!
naomba kupata Abc za hiyo mashine maana last week nimetoka nayo Songea ndani huku Vijijin ni full OffRoad to Dar chombo inatembea mno With Navigation feature.
Previously...
Hii button wengi wanaiona ila hawajui kazi yake au jinsi ya kuitumia.
Kazi yake ni kushikilia mwendo usibadilike.
Yaani ukiwa 60kph ukiibonyeza mwendo unasimamia 60kph bila wewe kukanyaga mafuta...
Habari wadau,
Kwa magari ya sasa mengi huwa kuna option ya kutumia cruise control.
Kwa uelewa wangu ni option ambayo inapatikana kwenye gari na unaweza kuset speed ya gari kutembea kwa mwendo...
Habari wakuu!
naomba msaada kwa wataalamu wa magari kuhusu gharama za kuagiza honda accord 2002,CIF $ 4000,Ushuru itakuwa tsh ngapi na costs zingine za bandarini,pia ningependa kujua upatikanaji...
Habari wakuu, samahani naomba msaada nina subaru impreza ya 2008 cc1490, 70,000km. Kwenye dashboard inaonyesha ulaji wa mafuta ni 8.6km/l na pia nikicalculate manually range inaangukia kwenye 8...
Wakuu habari za weekend,
Sio siri nimejibana sana kununua ndinga nikiamini kwenye kuanza kujenga. Nashkuru nimepata kapango cha kujihifadhi na nimeamua kuvuta ndinga. Kabla sijavuta mchuma...
Naomba ushauri wataalam. Nina bajeti ya Tsh 11.4 milioni nahitaji gari ya kunisaidia kwenye shughuli za mbalimbali. Kwa sasa nijihusisha zaidi na kazi ya udalali wa mifugo minada ya mkoa wa...
Wadau heshima zenu, natumaini mu wazima wa afya na poleni na majukumu ya kulijenga taifa..
Naombeni kufahamishwa gereji nzuri iliyopo mwanza ambayo naweza kwenda kupaka rangi kipasso changu...
Gari imepinduka upside down. Baada ya dakika 10 hivi, gari ikanyanyuliwa ikakalia miguu sawa.
Kupima oil, dipstick ikasoma very low (under 'L').
So oil (almost yote) imepotea haimo kwenye sempo...
Habari wataalamu
nimenunua Suzuki carry(Kirikuu)
Mara ya kwanza ilikuwa njema sana lakini baadae ikaanza shida ya kula oil baadae ikazungusha mkono. Fundi akashauri tununue injini t.nikafanya...
Wataalam wa vyombo vya moto naomba kujulishwa, kwanini wanatumia kuhesabu kilomita ili ufike muda wa kufanyia service chombo cha moto, kwasababu kinachofanyiwa service sehemu ni injini ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.