Wakati kampuni ya toyota ikipamba moto kwa kutengeneza magari madogo yasiyokuwa na matumizi makubwa ya mafuta kampuni zingine kama benzi Nako hawako nyuma.
Kampuni ya benzi Ina ist yake inaitwa...
Mfano Toyota Noah road tourer na super extra lymo,zote injini ni 3sfe-sr40, je inawezekana gari moja hapo ikawa imara kushinda nyingine? Wakati zote model ya injini ni moja.
Msaada wataalam.
Habari za usiku wana jamvi,
Nakuja kwenu kuomba msaada kidogo gari aina ya IST ghafla tu kioo cha mlango wa dereva hakipandi lakini vingine vyote vinapanda na kushuka naombeni msaada wenu.
Nchi ya Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizobarikiwa kuwan na rasilimali ya gesi asilia.
Tanzania inakadiriwa kiwa na gesi ya trilion 57 futi za ujazo (57 tcf) huko Mtwara na Lindi.
Mwaka 2012...
Naomba kujuzwa kuhusu TOYOTA Raum second generation (2004/6) ,nimeingia kwenye mitandao ya kuuza magari Japan kwa USD 1500-1600 ni CIF,nikaingia kwenye kikotozi chetu M5.3na ushee total ikaja kama...
Gari yangu automatic transmission, inapobadili gia ,unatokea mshituko flani hivi. Au unapoingiza gia ya kwanza lazima kishindo fulani kitokee. Naomba msaada tatizo ni nini?
Leo baada ya CAG Kichere kuwasilisha ripoti ya ukaguzi wa hesabu za serikali, Mh Rais alipata nafasi ya kutia neno.
Mh Rais ameona hakuna ulazima wa magari kukaguliwa hapa nchini. Ameona umuhimu...
Habari wakuu,
Naomba kujuzwa hiyo model hapo juu. Faida na hasara zake kuanzia kwenye engine, body, comfortability na kadhalika kwa wale ambao wameshawahi kuimiliki.
Ahsante sana.
Salaam Wadau,
Kama kichwa kinavyojieleza, kumekuwa na mfululizo wa hayo Magari kwa hapa Bongo(TZ) kuteketea kwa Moto(Kuungua). Tatizo ni nini? Binafsi nimepoteza sana Mvuto na hayo Magari...
Kwa yeyote aliyewahi kumiliki hii gari msaada naomba kufahamishwa dondoo muhimu kuihusu hii ndinga maana kwamuonekano kama naielewa sana nanipo mbioni kutafuta usafiri nahii naipigia sana...
Habari zenu, tumeshuhudia jinsi teknolojia ya magari yakibadilika kadri ya miaka inavyozidi kusonga. Magari ya zamani mtu alikuwa anaendesha utafikiri anapigana na mtu kiasi kwamba nguvu itumikayo...
Umetimia mwaka sasa tangu ninunue gari yangu hii ya kwanza. Babywoka safi inanitosha, 1290cc engine 1KR.
Tangu ninunue hii babywoka nilikua sijawahi kukaa na kufanya 'cost-analysis' upande wa...
Mimi ni kijana mwenzenu nataka kununua gari, na katika kupitita pitia kwenye mitandao nimekutana na aina hii ya gari TOYOTA RAUM, na nimeipenda na na nataka kuinunua, ila kabda sijafanya hivyo...
Habari wakuu zangu!
Mimi ni kijana nimekuwa nikitamani kumiliki ka usafiri, Tamanio langu ilikuwa ni kumiliki Toyota Premio 2005 ZZT 1.8L yenye taaa tofauti na zile model za 2001-2004 .
Sasa...
Habari wakuu!
Mara kadhaa nimeona hizi gari ghafla zikiwaka moto na kuteketea,nimeona vyema Sana kuleta mjadala hapa wataalam watujuze tujue chanzo chake haswa huwa nini?
Leo tena nimeona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.