Habari kaka na dada zangu.
Kama kichwa kinavyo jieleza. Ninaomba msaada kwa yoyote anae fahamu website ambayo naweza kupata PAR yaani Psychometric Assessment report. Nimejaribu web moja ya South...
Heri ya mwaka mpya wana jamvi,funguo ya gari imeharibika aina ya suzuki splash,nimejaribu kwenda kwa maduka mawili matatu wote wameshindwa sababu ni suzuki na Kuna duka posta barabara ya samora...
Kwenye masuala ya Technology China inakimbia kwa kasi ya mwanga.
Yafuatayo ni makampuni makubwa ya Electric Vehicles in China
1. Xpeng
2. NIO
Haya ndio makampuni makubwa yanayotengeneza EV nchini...
Habari wadau?
Nataka nibadilishe haka ka IST kangu nataka nichuke Ipsum New Model kwa ajili ya uhitaji wa Family Car. sasa kwa wenye uzoefu naomba kujua kama Ipsum iko vizuri ubora wake na hata...
Namiliki babywoka jamii ya IST, Swift, Honda Fit au Passo.
Asubuhi napowasha gari au mfano gari nimepaki mahali muda mrefu, nipokuja kuwasha gari si inakuaga P?
Okey, sasa nashika gear lever...
Hii gari ina 3UZ-FE V8 engine
Ina cc4300 [emoji3][emoji3] hapa tu ndo linatisha maana [emoji618] ni balaa
Ina toa power up to 300bhp
Wazee wa mwendo kama holyman,Extrovert,Purezeiss etc hii...
Amani kwa wote.
Natafuta kununua pikipiki used ya honda 110 kawaida au ikiwezekana ile yenye special gear. Dar au moshi/Arusha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya gari hizi. Ungependekeza ipi kuwa ni bora ya nyenzie.
Bwana mdogo anahitaji kununua gari ambayo ataweza kuwa anatumia Dar mara moja moja na pia kusafiri nayo mikoa ya Jirani kama...
Heshima zenu wakuu
Mara nyingi naona watu wakijaza magari yao full tank kwa kuinua tairi la nyuma upande wa tank ili lijae zaidi ya pale pump ilipokata mpaka yanaonekana karibu kumwagika na...
Wakuu
Baada ya kupata bahati ya kuwemo katika magari aina tofauti tofauti, makubwa na madogo lakini kubahatika kuendesha umbali mrefu kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, kitu kimoja nimekuwa...
Habari za asubuhi naomba kujua kwa wale watajuzi wa magari gari yangu aina ya. Carina 7A inakosa nguvu mliman
Ukiweka d kuna sauti inatokea kwa mbele kabla ya kutembea na livasi lia hiyo sauti...
Wakuu habari za jioni. Hongereni na pasaka
Namiliki Gari Toyota Rav 4 A.K.A Miss Tz Ndugu yake na Vanguard ya 2005
Nilipata Shida ya pump kufa toka hapo hii gari imekua changamoto kwangu simply...
Habari Wakuuu. Hivi karibuni nimeshuhudia magari makubwa kwa madogo yakiwa yamebafirishiwa mfumo wa engine badala ya kutumia diesel/ petrol na kifungiwa mtungi/mitungi ya gas. Swali langu naomba...
Jaman msaada gari yngu toyota rav 4 vx old model 1999 naona haipo sawa kwenye ulaji mafuta
Nikashauriwa niendeshe izime then niweke mafuta kidogo kwa ajili ya testing
Nikaweka mafuta ya 10,000...
Naomba msaada wa ushauri nataka kanunua gari moja wapo kati ya Suzuki every au Suzuki jimmy, Je! ipi ni nzuri zaidi kwa maana ya matumizi ya mafuta, bei na uimara wa gari.
Ahsanteni sana.
Anaefahamu vizuri haya magari anipe fununu je yanafaa kununua? Oil consumption yake vipi?masafa marefu inatoboa? Speed yake ikoje? Na je spea ni rahisi kupata?
Sent from my SM-A305F using...
Thread ya namba za mafundi magari wazuri kama unasafiri kwenye highway hasa msimu huu wa sikukuu.
Naanza na fundi Musa +255782147140, ukiharibikiwa kati ya Nzega na Igunga muendeee hewani...
Ni kwamba badala ya kuzunguka kwa kutumia nguvu ya umeme wa betri, starter hii hufanya kazi kwa kuzungushwa kwa mkono kwa sekunde kadhaa kisha nguvu ya mzunguko huhifadhiwa kwenye spring, kisha...
Habarini wakuu,
Nina gari yangu coaster, inakula tairi upande mmoja hatari, nimejaribu kufanya wheel balance bado mambo ndio yale yale, mafundi fanya hivi mara hichi mambo ni yale yale naombeni...