Msaada kwa anayejua kampuni nzuri ya basi Dar to Arusha, inayosafirisha mizigo kwa usalama na kwa muda sahihi, na ofisi zao zinapopatikana, nina mzigo kama kilo 10 unahitajika haraka sana ufike Arusha
Nimetoka Airport nikawa nimeingia mandela road nimekamata hii barabara mpka riverside mbele yangu Kilikuwepo kigari kidogo aina ya Suzuki Swift. Aiseee huyu jama kakiwekea Uongo fulani hiki kigari...
Habari wadau..
Naomba kwa wajuaji wanijuze gari gani inafaa apo kwa ss watu tunaohitaj kumiliki gari kwa mara ya kwanza.
NB: Nataka kununua kwa mtu mkononi so ukinambia na maelezo ya kuzingatia...
Kama kichwa kinavojieleza, mwenye uzoefu na hizo gari naomba msaada kujua
1.fuel consumption
2.upatikanaji wa spea
3. Uwezo wa kuhimili barabara ya vumbi
Wadau, nina Toyota Hilux model KUN125 ya mwaka 2015.
4WD ilikuwa haijatumika kwa zaidi ga mwaka, then siku ilipotumika, iling'ang'ania kwenye 4LO, Baadae ikanasuka but kkawa ina blink 4LO MIL, na...
Habarini wakuu?
Kwa kufahamu kwamba baadhi ya wateja wetu wamekua na majukumu mengi jambo linalosababisha kukosa mda wa kutosha kupata msaada wa karibu katika hatua za kuagiza gari, na kwa...
Hello Wana JF.
Naomba kuuliza mbona hii Gari aina ya Toyota Rush Ni ghali sana kuanzia ushuru wake na kununulia pale Japan?
Cc zake Ni 1300 na Ni Gari kadogo sana sana. Naomba mwenye kujua...
Wakuu naomben msaada gari yangu inamisi sana mbaka mliman inashindwa kupanda ata kimlima kidogotu inataka tambalale na mtelemkoni nilijalibu kwenda garage mafundi wakalekebisha ila baada yawikitu...
Habari wana Jamii Forum, naomba wenye kujua hili wanisaidie. Nimebadirisha rejeta ya gari yangu baada ya iliyokuwepo kuwa inavuja sana, niliunga sana na ikachoka kabisa, na hii niliyoweka ni mpya...
Habari wakuu?
Napenda hili gari Toyota RAV4 1998 ila nimeshindwa kutofautisha kati ya RAV4 J V na RAV4 L V. Naomba mwenye uzoefu wa kujua tofauti ya hizi gari ni nini, nataka kujua ili nikanunue...
Ndugu zangu habarini
Nataka kununua gari lakini nipo dilemma lipi nichague kati ya hizi mbili kulingana na maisha yetu, uimara ,upatikanaji vifaa pamoja na uzuri.
Baada ya kuchuja nimepata gari...
Wakuu,
Naomba Mdau yoyote mwenye User Manual (Mwongozo wa Mtumiaji) gari ya aina ya Toyota Probox anisaidie. Nahitaji soft copy ya mwongozo huo. Waweza attach hapa.
Asante
Toyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga...
Ndugu zangu habari zenu nyote...
Mimi natafuta garage au mafundi bora kabisa wa bodi kwa ujumla wake kwa maana ya kunyoosha na kupiga rangi upya + engine katika jiji la Mwanza....
Nimepata taabu...
Wakuu salama? Kuna gari nataka ni import imesimama sana nmeipenda ni toyota ist ila hapa sijapaelewa kwenye picha. Mafundi nielewesheni shida ni nini? Nisije nunua gari kumbe mbovu.
Kwenu mafundi.
Wakuu leo asubuhi, gari iliniletea usumbufu, tatizo ni steering kuwa ngumu sana kama naendesha fiat, na kwenye dash board likatokea neno P/S hapo tatizo nini.
Nifanye nini?
Wakuu, naagiza gari hapa kutoka Japan, Harrier tako la nyani ya 2008 kwa usd 5700, km 61k, je nilipie ama napigwa.
Naomba uzoefu wenu kwenye hili.
Ahsante
Wakuu nawasalimu katika jina la jukwaa hili.Nina changamoto fulani ambayo ningependa mnisaidie katika haya masuala ya uendeshaji wa magari ya automatic.
Mimi sina mda mrefu tokea nijifunze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.