Hizi gari zote mbili nazipenda sana kwa mwonekano na hata ground flour yake iko vizuri but Naomba kujua ipi ni nzuri kwenye Rough road.
Inayo perform vizur
Stability yake
Durability yake
Endapo...
Habari,
Huwa naona baadhi ya magari yameandikwa hilo swali nyuma yakifuatiwa na namba ya simu,huwa wanamaanisha nini?
Na nani anatakiwa kujibu hilo swali na nini lengo la kuweka namba ya simu...
Jamani natafuta air mass sensor ya Nisan serena make ya 1997. Nitapata wapi au mwenye nayo tuwasiliane inbox tuyajenge.
Air flow sensor for NISSAN SERENA (C23M)
1992–2001 2.0 16V, Petrol SR20DE ...
Habari za wakati huu wakuu, poleni kwa majukumu na misiba tunayopitia kama Taifa.
Niende moja kwa Moja kwenye maada yangu, ninataka kuuza Baby walker yangu ninunue gari nyingine yenye uwezo wa...
Habari wadau,
Nimekuwa natafuta watu ambao wanaweza kufanya car tuning Dar es salaam. Nina lexus is200 yangu nimekuwa nawaza kufanya upgrade, nibadili machine niweke nyengine kisha nifunge turbo...
Mimi si mjuzi wa upande huu lakini najua tunao wabobezi hapa.
Jamaa yangu anauliza ajiweke wapi pazuri zaidi kati ya Gari hizo tajwa?
Ufafanuzi wa faida na hasara zinazozitofautisha hizi...
Huwa nashangaa sana. Kila ninaponunua gari huwa nikiangalia spear tyre lazima nikute kidogoo!
Kwann wajapan wanatuwekea spear tyre huwa viduchu kuliko matairi halisi ya gari?
Maajabu sana.
wakuu naomba msaada wa kujua tatizo ninagari yangu Toyota sienta inakula mafuta hlf bahati mbaya fuel gauge kwenye dashboard ukiweka mafuta haipandi wala kushuka inaonyeshaa bar moja tu hata uweke...
Wajuzi tafadhali mtuambie nataka kufanya uwamuzi,
Nafahamu kuna kampuni kadhaa za uagizaji magari hapa nchini zikiwemo Beforward, autocom Japan, Sbt n.k. Naomba wajuzi mtuambie kampuni ipi ni...
Habari za muda huu ndg zangu, naomba mwenye kuyajua hayo magari nliyoyataja hapo anipe ushauri Ni lipi imara na bora kwa matumizi.
Toyota WISH
Toyota IST
Hii ni sawa kwa gari lenye 1290CC, kutembea 220 KM, mjini na AC ikiwa ON kwa mafuta ya elfu hamsini, Rafiki anauliza hii no sawa au kuna tatizo mahali.
Hili gari kwa familia kubwa nalipenda.
Naomba kujua madhaifu yake katika:
- Safari ndefu Dar to Mwanza
- Ulaji mafuta
- Kwenye barabara ya vumbi
- Bei yake yard
Naombeni msaada.
Ligi ni mzuri sana haswa kama mnaelekea sehem moja nimekuja nimekuja na utafiti mdogo hapa kuhus nani alikuwa mbabe road trip kwa mwaka Jana.
Land cruiser kama kawaida yake hana mpinzani huyu...
Habari za mdaa huu wadau,
Mwenye uelewa kuhusu Nissan Hardboy anisaidie kujua
1. Kama ni gari imara hasa kwenye barabara zetu za vijijini
2. Ulaji wa mafuta
3. Upatikanaji wa spea na mafundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.