Wakuu naomba kufahamu kitu kimoja kwa anaye jua, hiviusajili wa hizi plate number ukoje?
Mfano unaweza nunua gari ukaifanyia usajili safi kabisa ukapewa mfano DPT then ukiingia barabarani unakuta...
Kwenye baadhi ya thread wana JF wamelalamika kuwa gari hii vipuli vyake ni ghali!!,Je kuna udhaifu mwingine wa gari hii? ikiwa utazingatia service kwa wakati? Nataka niagize gari hii kwa ajili ya...
Jaman wadau, Nahitaj kununua gari aina ya Mitsubishi Outlander ya mwaka 2009 toka japani, nimetokea kuipenda kuliko gari yeyote aina ya SUV hapa mjini, ila sijui kuhusu uimara wake kwa barabara...
Wakuu natanguliza shukurani za dhati kwenu,
Pia nakuja na ombi juu ya kuifahamu kiundani hii gari ndogo toyota belta maana nimejichanga nataka kuwa na kausafiri .... lakini kabla ya kuchukua...
Ndugu zangu natafuta engine yakichina yenye nguvu naspiidi kubwa sijui ni ip nataka kumodify pikipiki yangu aina YA Honda cb125 maana spare original zimenishinda
Nahitaj mnishaut ni pikipiki gan nzur kwa ajil ya kuzungukia mizunguko yng ya kawaida tu na si ya biashara..na nahitaj iwe angalau sport kiaina..
Asanteni..
Wakuu shwari?
Naomba mwenye taarifa zaidi kuhusu haya mabasi ya Kimotco Express. Kuna ndugu yangu amekata tiketi kwenye basi hilo kutoka Arusha kwenda Mbeya, nauli TSH 55,000. Kwa wale ambao...
Niliona matangazo yao nikawa interested sana na bidhaa zao ingawa ni ghali kidogo, nikanunua oil yao 5W40 ile ya bei juu na filter zao za gulf, nikafanya service nikaanza kupiga route za kufa mtu...
Naomba msaada kwa Jiji la Mwanza penye garage nzuri ya magari madogo. Gari yangu aina ya Toyota Brevis inaniwashia alama ya check engine ikiwa kwenye mwendo nikisimama na kuzima halafu nakuwasha...
Wadau naomba kuuliza kwa bajeti niliyotaja naweza kupata Toyota Van Guard.
Ushauri unaruhusiwa cause mimi sio mtaalamu wa Magari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninayo Toyota Spacio New Model, ni cc 1490 ya mwaka 2004, ingine 1nz-fe.
Kwa mwenye ujuzi naomba kujua hii gari inaingia lita ngapi za transmission fluid.
Naomba msaada katika ili wadau ili...
Hii ni starlet ya 1993 kwa hizi awamu ya tano kununua hii gari ni kama kufunga nayo ndoa.
Imagine hiyo starlet hapo chini ina usajiri wa DQR na anaiuza 6M sasa kwa usawa huu kweli kwenda kununua...
Mimi nina gari lenye auto gear box, lakini lasumbua sana sijui tatizo nini, mara ya kwanza nilipoiweka baada ya kuiondoa ile iliyokuwepo ilikua inabadilisha gia bila shida kwa sasa ina kama km 700...
Habari wadau,
Nimenunua nissan xtrail cc 2500 kwa mtu, ni modeli ya uingereza imetembea kilometa 136,000
Nilivonunua tu nilijaza full tank, cha ajabu nimetembea kilometer 200 taa ya mafuta...
Nmeziona hizo gari sokoni lkn hiyo Audi ni cc3000 ikanitisha.Subaru ni cc 1900.Sasa naomba kujua ni ipi gari bora kati ya hizo ktk:
1. utumiaji wa mafuta
2 perfomance ya injini ktk barabara ya...
Habarini wanajamii,
Nataka kununua Nissan Terrano ya 2000 Diesel. Naombeni uzoefu wenu kuhusu gari hili, hasa kwenye ubovu na matatizo yake common, maintianance nk.
Natanguliza shukrani...
Wakuu habari,
Gari tajwa hapo juu ilikua na nguvu sana ila ilianza kuua nosel moja ikawa na mis, sasa nikabadili nosel na ikawa poa kabisa.
Jana imeanza tena mis plug no moja haichomi vizuri na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.