Kuna mambo tumekuwa tukikutana nayo kwenye Internet kupitia vifaa vyetu, kama Simu Tablets, na Computer, unakutana na Notification inayosema hongera umejishindia Mf, Simu au Tv, n.k
Nam naomba...
Wakuu bado sijafanya maamuzi gari gani ninunue mpaka sasa ila nimekutana na Xtrail ya 2007....66000kms, 1990cc je spea na ulaji wa mafuta upoje? Bei 3000usd cif tra 6.9m tsh...mazagazaga mengine...
Naomba msaada gari yangu aina ya brevis nikiendesha inakuwa kama inajump rpm inapopanda kutoka 1 kwenda 2 lkn ikishafika mbili inachanganya vizuri tu na huwezi jua kama gari inashida lkn pale...
Range Rover inasimama kuwa ni Moja ya Best SUV Cars in the World. Na asilimia 90 ya Matajiri Duniani hawakosi moja ya Version za Range Rover zilizopo hapa Chini.
Binafsi nmefanikiwa kuwa na...
Kwa kawaida ninavyoenda Moshi na Arusha huwa natumia mabasi ya Dar Express, kiukweli vile visu viko very comfortable.
Je, Dar - Mbeya - Tunduma kuna mabasi ya Scania? Haya ya Mchina mtu unafika...
Habari za weekend watu wa Mungu,
Binafsi driving licence yangu ime expire December 2020, na ilikua na class ABD.
Hivyo nataka kui renew, sasa swali la msingi ni kwamba iwapo nita renew mwezi huu...
Nina magari mawili yameanza matatizo kwenye uingizaji wa gia. Gari moja ni NOAH SR 50 4WD tulitoa driving shaft ya mbele ikabaki kuvutia nyuma. Baada ya wiki mbili ikaanza kugoma kuondoka hata...
kuna shida nimeanza kuona kwenye gari yangu(merk x zio) ni kwamba nikiwa nimepak gari kwenye mteremko na kama nataka kurudi nyuma nikiweka reverse gear gari inaserereka kwenda mbele japo ni kidogo...
Salaam wadau,
Naomba kufahamu wapi nitapata used Spareparts za gari ya Toyota Carina specifically handle ya kufungulia tank na buti, raba za milango na taa ya nyuma.
Natanguliza shukrani kwa...
Habari Wana jukwaa?
Katika pita pita be forward nimekutana na hivi vi Suzuki bei yake imenishtuanilikuwa naulizia kuna kipi cha ziada mpka imepelekea kuuzwa bei kubwa? Naona Hadi crown,Subaru...
Wajuzi wa haya mambo msaada tafadhali, najua kuna madereva na wabobezi wengi humu maana Youtube hainipi jibu sahihi ambalo ni udumu(reliability) na ulaji wa mafuta
Hi,
Naomba msaada kwa anayefahamu. Naomba kufahamu roughly ni Diesel/Petrol kiasi gani naweza kutumia kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kwa kutumia Gari lenye Engine Capacity (cc) 3000. Aina ya...
Nilikuwa naangalia gari linalotumia mafuta kidogo, nikakuta prius iko top ten, sasa sijawahi kuliona hapa tz, kama kuna mwenye uzoefu nalo naomba anipe highlights zake, pamoja na ABC za hybrid battery
Pale opposite na mlimani city shopping center kuna vehicle /Car dealer.
Je, wajumbe kuna yoyote mwenye taarifa nao maana nataka nimuelekeze mtu kwenda kununua gari. Wasije kuwa na majanga yao!
Wakuu nimerudi tena naomba ushauri kuhusu Toyota Rush. Niliwahi kuandika kuwa ni nataka kunua rush, lakini mambo yalikuwa hayajakaa vizuri nikaahirisha lakini sasa hivi nipo tayari.
Najua Toyota...
Habari wakuu.
Hivi ukinunua pikipiki used kwa Mtu ,ni vitu gani mhimu inatakiwa kupewa na kukabidhiana baada ya pesa, ili kujilidhisha ni ya kwake kweli siyo ya kitapeli.
Hii ni kwa usalama...
Mimi leo nitaongelea kamapuni moja tu inaitwa NIKKYO ambayo imenipa huduma nzuri mimi na marafiki zangu. Nimesha agizia marafiki zangu watatu kwa kupitia kampuni hii ya Kijapani ijulikanayo kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.