Habarini swali langu kwenu wakuu kuna gari (basi) inatatizo mmoja, wakati upo bararbarani inafanya resii kwa mida tena hapo unakuwa huwezi kuikantrol kwa jambo lolote.
mpaka iyachie wenyewe, na...
ipo kwenye yali nzuri,full ac. ni pajero io 1999 inauzwa kwa sh. mil 6.5 . mwenye uhitaji ani pm. inapatikana dar es salaam kwa yeyote atakayetaka kuiona
Wakuu nimepita pita huko kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na hii ajali aliopata mkurugenzi wa halmashauri ya tarime Leo maeneo ya ikungi singida, dereva pamoja na afisa maendeleo wamefariki...
Tusaidizane kutunza Roho zetu, Maisha yetu, tuombeane heri na mema katika Matumizi ya Vyombo vya moto, leo tuzungumzie "Gari".
Pata Elimu ya Mambo 10 ya Kuzingatia
Kabla na Wakati wa
Kuendesha...
Wakuu nahitaji ufafanuzi kidogo kuhusu hivi vibao vya speed barabarani.Mfano umeshamaliza kibao cha speed 50 baada ya hapo unatakiwa utembee na speed ngapi (Gari ndogo) maana mabasi najua yana...
madereva wa siku hizi wamekua wakuda sana yani hadi kero.
Ngoja kwanza tutambue ukuda ni upi.
1. Upo barabara kuu hamna matuta wala kizuizi chochote lakini wewe unaamua kuendesha 30 kmph (sio...
Wakuu, heri ya mwaka mpya.
Kwa leo nataka niyajue kiundani haya magari.
Mama watoto kalazimishwa ni lazima achukue moja kwa mkopo huko kazini kwake kutokana na nature ya KAZI yakeke na nafasi...
[emoji828]️Unawezaje kukumbuka sehemu uliyo-pack gari au kifaa chako kwa kutumia Google Assistant
Hakuna kitu kibaya kama kusahau sehemu uliyo-pack gari/kifaa chako lakini kwa bahati nzuri kama...
Mafundi au yoyote mwenye utaalam na hizi gari zetu ndogo naomba kujua oil nzuri ya kutumia kwenye engine....
Mara nyingi huwa natumia hii hapa vip ni nzuri hii.
habari wadau me cjawahi kumiliki gari ila nafatilia sn magari, kuna hii aina ya Toyota vista, zipo chache sana barabarani ni gari nzuri yenye space, cc 1990, custom ndani, muonekano mzuri., ila...
Wakuu nahitaji kuongeza seat za gari tajwa hapo juu siwe sita au 7 kwa ajili ya watoto kukaa Mana ninafamilia kubwa wapi naweza mapata mafundi was kufanya hyo kaz kwa dar.gari Subaru Forester ya...
Habari wakuu,
Natanguliza Pole kwa wahanga wa Ajali ya Treni uko dodoma! Kwa wenye uelewa naomba afafanue mtu sio kiziwi ila tu anaUpungufu wa kusikia kwa kiasi flani mtu uyu anaweza kukidhi...
Heri ya mwaka mpya #2021
Napendezwa sana na magari ya SUZUKI jinsi yalivyo kimuonekano, zaidi yanaonekana ni imara na yanaendana na Mazingira magumu japo sijawahi endesha gari za Suzuki.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.