JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu habari za asubuhi Mimi nna Starlet ambayo ni Manual Transimission. Gari iliisha clutch plate nikabadilisha. baada ya kubadilisha likarudi kwenye hali yake lakini gia zikawa zinaingia na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hii gari naona haipendelewi sana na raia hapa town ila its one of the best looking car from Toyota. Looks sick when equipped with them 22"s. Nikifika 40's i wish to be rolling on this one SUV...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha. Ni wapi naweza pata engine ya 1HZ iliyo katika ubora mzuri. Pamoja na swala hilo la ununuzi, pia ningependa kufahamu mambo yafuatayo juu...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Naweza kusema Toyota ameanza kurudi kwenye mstari wa kutengeneza vyombo vya uhakika baada ya kutoka kutufyatulia uchafu kadhaa kati ya miaka 2012-2017 hapo. Wale designer wa gari ambazo...
34 Reactions
359 Replies
54K Views
Habari kutoka mtandao wa chunichi.co.jp unaeleza kuwa gari za Sedan Toyota Crown zimefikia ukomo wa utengenezaji wake baada ya kutoa updated version ya mwaka 2021. Sababu kubwa ya kufikia ukomo...
14 Reactions
308 Replies
30K Views
Wakuu kuna huu mjadala wa matumizi ya magari ya kifahari kwa viongozi wetu haya ma V8 Tangu napata akili huu mjadala nimeukuta ukijadiliwa. Sasa hebu wanaojua tujadili gharama zake hasa manunuzi...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Wadau , Naomba kujuzwa kama nahitaji kukata insurance ya gari nahitaji kuwa na document au kitu chochote mkononi kama card ya gari etc, au naweza tu kwenda kwa broker au insurance company...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
habari zenu wana ndugu, nimejichanga changa nimenunua ka passo kwa mtu lkn cha kushangaza kinakula mafuta vibaya nikiweka mafuta lita 5 natoka kimara to tegeta nakurudi inakua imeisha mafuta...
0 Reactions
53 Replies
16K Views
Wiki iliyopita niliamsha IST yangu kwenda Kahama, safari ilikuwa tamu, japo nimeumia sana kuona napitwa njiani kama vile nimesimama, japokuwa nilikuwa nakanyaga mafuta mpaka mwisho! Nimeumia...
21 Reactions
121 Replies
12K Views
Jana nilipaki gari yangu mahali kama dakika tano hivi nikashuka kununua matunda. Kurudi nawasha gari inatoa mlio krrrrr lakini starter haipigi. Kifupi haikuwaka. Hangaika sana pale. Nikasema si...
3 Reactions
18 Replies
5K Views
Wadau naomba kuulza eti ni ipi gari expensive kwa ivi karibuni kat ya izi tatu. #fearrari #bugatti #ramborghini Sent from my ACCESS55 Pro using JamiiForums mobile app
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Wadau nina swali.Kwa sababu gani magari mengi yakijapani speed mwisho180 kmh tofauti na mgermany mengi ni 240kmh au 260kmh.benz ndogo yenye cc 1800 utakuta nayo 260kmh.kwa sababu gani??
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari, Hapa majuzi Mungu amenipa baraka katika shughuli zangu nimepata chochote kitu ambacho kilitosha kununua gari ndogo ya matumizi yangu binafsi familia na kazi zangu Nimenunua gari yangu...
2 Reactions
38 Replies
7K Views
Heshima yako mkuu; Ningependa kufaham gharama ya Kubadili na kuboresha mwonekano wa gari yangu kwa ndani (kuweka cover,na macapert )pamoja na kupulizia rangi.je itani cost kama bei gani vile...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Haya ndio magari ninayo yakubali kuliko magari yoyote iwapo ningekuwa nina mihela kwenye yadi yangu yasingekosekana.Ninapenda magari mapana yenye body kubwa na pia yale imara na magumu ambayo yapo...
6 Reactions
29 Replies
5K Views
Wakuu Habari Nimefikiria nimeona nifanye maamuzi ya Kununua Gari online kutoka Japan. Sihitaji Kupitia Kwa hawa blockers Kwasababu Lazima watanipiga Pesa Sio Chini Ya 5,000,000/= Naombeni...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Heshima Kwenu Nyote Wakuu, Nilikuwa nataka namimi niende nikapaone Pemba tarehe tajwa hapo juu. Sasa naombeni muongozo kwenye mambo yafuatayo; 1. Je, naweza kutoka Unguja siku ya J3 tarehe...
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Naomba kufahamishwa jinsi ya kujiunga na chuo cha DMI kwa kozi fupi,muda wa kozi na gharama za ada
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naomba ufafanuzi wa kina kuhusu sifa za hii gari kimoja baada ya kingine... TOYOTA IST 2003 black NCP60 1.3F L Edition AT 1300 cc AC FF87 57000 km Natanguliza shukrani...
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Wakuu kwa wale wapenzi wa magari tofauti na ya kijapani kumekuwa changamoto za upatikanaki wa spea zake ukilinganisha na magari ya kijapani , tupeane location wapi pa kuzipata hasa kwa wenyeji wa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom