Habari wakuu
Jioni hii ya saa moja dereva wangu amenipigia simu kuwa gari la polisi wamegonga gari langu kwa kupiga pasi
Gari langu linalofanya kazi ya daladala kati ya mbezi na mlandiz jioni...
Wakuu wa jamvi habari zenu,
Naomba kuuliza tofauti haswa ya hizi engine mbili. Yenye turbo na isiyo na turbo zote zikiwa na Cc 1990. Nahitaji kufanya uchaguzi sahihi. Nafahamu Turbo inakula sana...
Habari ya mida hii wana Jf
Nina gari yangu Passo,jana baada ya mvua mvua hizi zinazonyesha hapa mjini Dar,mara taa ya check engine imeanza kuwaka,sielewi tatizo ni nini,nikajua labda nikiizima...
Nahitaji Tyres used ambayo toka itengenezwe haijafikisha miaka 5. Iwe haijachongwa. Size 235/70/15.
Ushauri wa kununua mpya kaa nao. Nmesema nataka used. So usilete habari za kike. Maana wadada...
Samahani sio mtalaam sana wa engine za magari, lakini nina Coaster boksi ilikua imepata hitlafu kidogo kwenye engine, wakati nafanya mchakato wa matengenezo kuna watu wanasema engine hizo ni za...
Mambo vipi wadau wa jukwaa hili, bila shaka kuuliza sio ujinga, mara kwa mara nimekuwa nikipita kwenye website za kuuza magari hasa za Japan kama vile "Be Foward" na "SBT".
Nimekuwa nikiona jinsi...
Yapata miezi 3 sasa nimekuwa nafatilia bei za magari hasa mitandaoni pamoja na kwenye yards mbalimbali ili kujua uhalisia wa bei.
Kitu ambacho kimenishangaza kidogo mitandaoni ni namna bei zake...
Habarini wakuu !!!!
Naomba kujuzwa hii engine ya 1hz ipo kwenye landcruiser lakini pia ipo na kwenye toyota coaster.
Je kuna uwezekano wa kutoa hiyo engine kwenye coaster halafu ikawekwa kwenye...
Poleni na majukumu ya kila siku
Mm ningependa kujua utofauti uliopo baina ya Gari lenye ccc kubwa lkn kwenye speed linasoma 180 na kuna kampuni ya Germany car unakuta lina ccc ndogo lkn kwenye...
Sheria mpya ya mwaka 2020 iliyowapa nguvu LATRA Kukatisha leseni ya tour kwenye magari ambayo wanahisi hutumika pia kukodishwa kwenye mashuguli na kadhalika gari aina zote za pickup family cars...
Nimevutiwa na hii gari kwa muonekano wake ulivyo wa kibabe.
Ningependa mnijuze kuhusu model yake, upatikanaji wa spare zake hapa Tanzania, ulaji wa mafuta, upatikanaji wa mafundi wake nk...
Ni kwa uhakika uliowazi kuwa kwa sasa Bodaboda waliowengi wanatembeza piki piki zao kinyume na sheria za usalama barabarani. Wengi wao hawana leseni Na mbaya zaidi hawana hata third party...
Habari wadau,
Nahitaji kubadili/ kuweka headliner ( inside roof) kwenye gari yangu Naomba kwa yoyote anaemfahamu fundi wa shuhuli hizi anisaidie plz. Thanks in advance.
Wakuu habari?
Kuna gari nataka kununua baada ya kuliona kwenye page ya dalali wa magari ambae yuko mwanza na gari iko mwanza, nilimpigia simu fresh tukaongea akasema inabidi nitume nusu ya hela...
Wakuu
Nimebahatika kupata gari hiyo Vitz old model miezi michache iliyopita, nimeona nije niulize maswali kuhusu hiyo gari mabosi mnaaita "babywoka"
1. Naweza kusafiri nayo from Dar - Mbeya non...
Nina Vitz ya mwaka 2000 yenye CC 990 nilichukua kwa mtu ilikuwa inatumia lita 1 ya mafuta kwa KM 5 nikapeleka kwa fundi gasket ilikuwa inavujisha oil inapeleka kwenye plug nikaweka mpya sasa hivi...
Mwenye uzoefu msaada nataka ninunue 1 kati ya hizi kwa round za mjini pia na kubana matumizi. Ipi itafaa kati ya hizi gari; Vits CC 990 na Vitz RS CC 1290 zinatumia mafuta kiasi gani kwa kila 1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.