Habari zenu,
Nipo na project yangu kufanya engine conversion ila sasa nimekwama njiani. Nimeweka engine ya 2jzge non vvti kwenye gari, siku za mwanzo, mafundi walifanya wiring na wakajaribu...
Habari za wakati huu wana JamiiForums.
Nahitaji kununua piki piki aina ya HONDA CBR 125R ya mwaka 2019 au 2018 with specs liquid cooled and tubeless tyres.
Je Naweza pata hapa bongo? Au Kama...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Sisi wamiliki wa magari ambayo ni brand tofauti na TOYOTA tunapata changamoto nyingi sana ambazo zinapelekea wengine kushindwa kuyahudumia magari yao na...
Kama kichwa kinavyojieleza. Nimeagiza gari japan, na inatarajiwa kufika tar 7 Nov.
Document zilishafika kama week moja iliyopita nikampa agent kwa ajili ya clearing, aliniambia gharama ni laki 2...
Salute JF.
Toka nakua nashuhudia magari ya kijapani Land cruiser V8 yenye rangi nyeusi yakitumika zaidi na viongozi wa ngazi za juu Serkalini kuanzia ma DED hadi ngazi kubwa kabisa ya Rais.
Hivi...
Wakuu Habari.
Kuna gari hapa, Toyota Runx inasumbua kidogo AC. Hafu ndio mchezo wake kila baada ya miezi kadhaa.
Mara ya kwanza nilipeleka kwa fundi akasema hakuna leakage. Akajaza Gesi. Hapo AC...
Wakuu Kuna hiz gari kutoka Korea kusini Kama Kia Sportage iko halmashaur moja kanda ya ziwa ilikuja na km elfu 60 kwa sasa inasoma 100,000 na point mi nataka kuagiza gari moja matata sana kia...
habar wadau,
nina gari aina ya starlet, nlinunua kwa mtu, muda kidogo umepita, injini yake iko poa, ila katika cylinder head katika vile vimrija kama pameungwa na bigijii ngumu hv,(nahis gari...
Nina gari ya Toyota Corolla 111 INA tabia ya kupasua hizo oil seal,hii ni Mara ya 3 inapasuka na kuvuja oil yote sema uzuri naistukia maana taa ya check engine inawaka nyekundu nikipaki nakufungua...
Hello ndugunina tatizo nahitaji mnisaidie,
Nna Gari yangu Toyota premio ambapo imekuwa ikitetemesha mguu unapopunguza mwendo hasa ukiwa kuanzia speed 60
Tatizo hili limedumu kwa miez miwili sasa...
Kwema ndugu zangu?
Gari yangu ni runx inagonga sana mguu wa kulia wa mbele nikiingia rough road. Nimepeleka kwa fundi akasema nibadilishe shockup lkn bado inapiga kelele yani inagonga sana...
Naombeni ushauri kujua ni engine gani za Toyota chini ya cc2000 ambazo hazisumbui na spear zake ninapatikana kwa wingi na kwa bei rahisi? Wengine wanasema ni 5E kama za Toyata Raumu na wengine...
Msaada wakuu, maana nishatembea mwaka mzima, uwa namwaga Oil ya Engine tu..
Pia service gani nyingine natakiwa kufanya maana chombo bado hiko Poa, si mnajua ki gari cha kwanza wakuu, kwaiyo mambo...
Gari ilipata ajari, engine inawaka kama kawaida, hub ya nyuma kushoto imeng'oka na bodi ndiyo kama hivyo. Zipo gereji wanaweza kulirudisha gari kwenye muonekano wake wa awali? Msaada tafadhali...
Ndg wapendwa naomba kusaidiwa juu ya tatizo nililokumbana nalo kwenye gari aina ya nissan vanete, gari hii ilikuwa nzima lkn kumetokea miss ambayo imeshindikana kutoka chanzo ni kwamba pale...
Msaada nawezaje kununua gari online kutoka Japan ikanifikia Tanzania? Je, ni njia salama? Naweza kufanikiwa? Kwa maana naona gari mtandaoni ni gharama ndogo sana ukilinganisha na zinavyouzwa...
Members nimetokea kuipenda hii gari muundo wake nataka kumuagizia wife nauliza kwa yoyote mwenye kuijua vema
Je, kwa mazingira ya Tanzania itafaa?
Spear zake upatikanaji wake upoje?
Kuna mafundi...
Wakuu wangu nawasalimu.
Naomba kujuzwa Garage Gani nzuri isio na usumbufu ambayo naweza peleka kiatu changu kilicho pata ajali na kukipaki home Kwa zaidi ya miez kadhaa kwa ajili ya kujichanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.