Wakuu habari,nauliza ili nipewe mwanga hapa,naitaji kusafiri kutoka mwanza kwenda morogoro kwa pikipiki sanlg 125 cc,je wataalamu wanisaidie hapa nifanyeje ili nifike vzr na hii pikipiki? Ni mpya...
Wakuu nisiwachoshe kwa maneno mengi
Nimekutana na gari inauzwa nikaielewa kwa muonekano wake wa nje kwakweli.
Ni Toyota Camry, Engine 2AZ, 1600cc, Petrol.
Naomba ushauri wa mwenye uzoefu na hizi...
Msaada wakuu
Gari inapiga alarm kama kuna mlango uko wazi. Ila milango yote imefungwa. Nikiiwasha kwenye dash body inaonesha mlango uko wazi. Nikiwasha taa hiyo alama kwenye dashboard inatoka.
Wakuu habari nilipewa pikipiki ila sijui namba ya pikipil( plate number) ninayo engine number tu kwa anyejuwa jinsi ya kuipata either online au kwa njia yeyote ile..
Nmeziona hizo gari sokoni lkn hiyo Audi ni cc3000 ikanitisha.Subaru ni cc 1900.Sasa naomba kujua ni ipi gari bora kati ya hizo ktk:
1.utumiaji wa mafuta
2 perfomance ya injini ktk barabara ya lami...
Samahani wadau, najua humu kuna wataalamu wa masuala ya magari. Ka.a mada inavyojieleza hapo juu.
Nina mpango wa kununua gari ndogo "sedan" na katika pitapita zangu kweye page ya Be Forward...
Poleni na Majukumu ya kila siku.
Changamoto niliyonayo ni jinsi gani ya kupata fundi/gereji nzuri ya nissan hardbody hapa dar ambayo imepack kama miezi sita.Hapo awali ilikuwa iko poa tu,tatizo...
Wakuu habari naombeni ushauri na maoni yenu kuhusu hii chuma ya mwingereza maana inanivutia na ndo gari ya ndoto yangu msaada Wa uimara wake pamoja na changamoto zake ukizingatia Mimi ni mkulima...
Jaman habrini,
Hebu niulize, Gari yangu mwenzangu aligonga ukuta, Akapeleka garage moja classic yenye ubiana na watu wa bima.
Meneja akamsahur garama ya kutengeneza ni kubwa abt 1.5mil so atumie...
Hello wadau, nimesafiri kimkoa kikazi nimefikia kwa ndugu yangu ana gari tatu na kaniruhusu niwe nazunguka na Sprinter ila kwa bahati mbaya battery yake mbovu.
Naomba mnijuzeni betri nzuri ya...
Msaada wapendwa chakufanya TV yangu ya gari nikiweka video ina play halafu inaniletea message kama hii:
THE SAKE OF SAFETY, DRIVING BAN VIDEO.
Naomba kama kuna mtu aliwai kukutana na ujumbe kama...
Naomba kujua nini kimesababisha gari yangu aina tajwa hapo juu imekuwa na tatizo la injini kutoa joto kali kias cha bati lote linalozunguka injini kuchemka sana hata kuwafanya abiria kushindwa...
Za muda huu..
Natumia gari aina ya Vitz old model gari hii ina tabia ya kuwasha taa nyekundu kuashiria kuwa temperature ya gari iko juu pindi jua linapokuwa kali sana na hali hii inapelekea gari...
Gari langu linakuwa na mtetemo pale ninapokanyaga mafuta ili lianze kutembea kawaida hali hii hutokea pale gari linapokuwa kwenye speed ya 0 mpaka 20km. Naombeni ushauri ndugu zangu. Asanteni
Mimi ni muumini sana wa bidhaa za total na kwa upande engine oil huwa natumia 5w30 ile ya galon la gold, sasa kuna hawa jamaa wa liqui mol huwa wanatangaza sana oil zao na ninashawishika kuanza...
Hii issue imenitokea mara mbili.
Mara ya kwanza nilikuwa naendesha gari Pasaka kwenye mvua na tope kali sana. Ile gari baada ya Pasaka nili ipark kama wiki moja hvi bila kuiendesha. Siku natoka...
Wakuu leo nimezunguka kutafuta pikipiki tajwa hapo juu katika Joni hili la karaha na maraha nimeshindwa kupata wenyeji wananiambia kuwa hazipatikani kwa Sasa, swali je mchina ameshindwa kuzalisha...
�
�
Representative Personal Contract Purchase finance example
On The Road Price
£39,580.00
49 Monthly Payments
£399.06
Customer Deposit
£2,750.00
Amount of Credit
£34,440.00
Total...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.