JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari! Naomba kufahamishwa tairi za ukubwa gani zafaa kuinyanyua juu Toyota Raum ya mwaka 2005. Nitafurahi pia kama nitapata taarifa za bei zake na wapi naweza kuzipata Dar es Salaam.
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Wataalam wa hizi kazi nataka nimchukulie wife Nissan Dualis baada ya kukaa sana kwenye Toyota. Je, wajuvi mnasemaje kuhusu uimara na ubora au udhaifu wa hizo gari?
2 Reactions
29 Replies
7K Views
Kwa anayejua hili atusaidie.Maana unaweza uliagiza gari Japan mwaka jana.Kumbe matairi yake kule yakawa yalikaa miaka mitano ndio ukapata wewe
0 Reactions
9 Replies
14K Views
Eti kuna Tatizo lolote naweza Pata kama nikibadirisha gari rangi bila kupitia kwa traffic na TRA.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wakuu, Rejea kichwa cha habari hapo juu, Napenda kujuzwa kwa wale ambao wanajua na wameshawahi kutumia Aina ya gari Subaru impreza 2007 ni cc 1500 napenda tufahamishane juu ya ulaji wa...
1 Reactions
37 Replies
23K Views
Kwema wadau?,mimi binafsi n mpenz wa gari zenye uwazi kwa juu (sun roof), Naomba kujuzwa kama hiz aina zina changamoto zozote ktk hilo paa,km inshu za kuvuja na mengineyo,je kuna namna ya...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu kwema? Naulizia kwa anaeyajua vzr haya magari anisaidie vitu kama vile: 1. Upatikanaji wa vipuri 2. Matumizi ya mafuta 3. Uimara wake N.K Kuna ofa nimeipata nataka nijilipue na hii family...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimeingia Leo alibaba nimeshangaa Sana kuona trekta yanauzwa bei ndogo Sana je hizi ni bei zake au Kuna kitu kingine kinaendelea,, mwenye uzoefu pls anijuze.... Nimeambatanisha na picha
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za majukumu waungwana, Kuna kitu huwa najiuliza sana kuhusu engine zenye Twin Turbo (Turbo mapacha au turbo mbili) huwa zinafanyaje kazi, nimejaribu kuchimba hadi google nmepita youtube...
1 Reactions
53 Replies
9K Views
Habari za jioni wakuu, Ninafikiria kuigiza gari aina ya Nissan pathfinder Japan lakini kabla ya hapo naomba mnisaidie kujua kama haya magari yana matatizo na pia spare Zake upatikanaji na cost...
2 Reactions
31 Replies
8K Views
Naomba kuuliza, nimepaki gari aina ya Carina zaidi ya miezi 4 bila kuitumia. Je, kuna shida kuipaki muda wote huo?
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Hii inatokea kwa magari mengi sana Unakuta umeenda kituo cha mafuta Watoa huduma mara nyingi sana wanafanya makosa na kukuwekea petrol kwenye gar ya diesel au diesel kwenye gari ya petrol Gari...
6 Reactions
28 Replies
10K Views
Wadau kuna mtu aliniambia unaweza kununua engine ya 4cylinders na gear box yake ukaweka kwenye gari ya 6cylinders mfano mark ivi gx 110, je inawezekana? Msaada tutani
0 Reactions
5 Replies
4K Views
nauza Toyota cami iko vizuri sana ila changamoto gia Box gari ipo sawa sana kwakuwa kabla tatizo gari aina safari sana mara nyingi inapaki mimi naishi mkoani gari ipo dsm kama upo interested...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za humu wakubwa, natumaini mnaendelea vyema na kampeni za siasa. Shida yangu kubwa naomba ushauri wa kitaalamu kuhusu gari tajwa hapo juu. Nataka kununua townace kwa ajili ya kufanyia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JF naomba kujuzwa Moshi mwingi kwenye gari aina ya Rav 4 unasababishwa na nini? Na ili kuondoa hali hiyo kifanyike kitu gani?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu salaam Nimefikia kuuliza hivyo mara baada ya kuacha gari yangu aina ya Gx 100 Cresta vvti engine, kwa muda mrefu sana ila sasa nikarudi rasmi nianze kuitumia. Nilibadilisha oil zote na...
1 Reactions
19 Replies
8K Views
Habarini wakuu.Tunajua watu wengi wamepoteza wapendwa wao kutokana na ajali za barabarani.Wengi wamepata ukilema kisa ajali,ndoto zetu nyingi zimezimwa kutokana na ajali za barabarani. Nimeona...
22 Reactions
14 Replies
3K Views
Habar wana JF. Kulingana na wizi uliokithiri katika jamii zetu imenivutia kutaka kujua je KADI FEKI za vyombo vya Moto hususa Ni Pikipiki utazifaham vp..?!! Kuna fununu kadhaa watu wanadai wezi...
1 Reactions
5 Replies
7K Views
Nina Toyota harrier sasa inafanya ndivyo sivy kabisa kwenye braking system.Tatizo lilianzia kwenye kuwaka ( blinking) taa ya overdrive.Lakini gear zinabadika kwenye mwendo kama kawaida.Sasa...
0 Reactions
4 Replies
990 Views
Back
Top Bottom