JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu Heshima Kwenu, Naomba kufahamishwa kidogo kuhusu hii gari,kwa upande wangu naona ni gari nzuri kwa muonekano ni ndoto zangu kuja kumiliki hii gari, maana naona haizungumzwi sana katika hili...
5 Reactions
6 Replies
6K Views
Wakuu salama, Kwa Mwenye ujuzi na magari haya mawili yote yawe Yana Sifa zinazofanana kwa mana production year engine capacity na mileage ipi ni gari bora zaid? Toyota mark X Toyota brevis
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau amani iwe kwenu. Nina swali dogo tu ningependa kupata ufafanuzi ili kuongeza uelewa. Ni kwanini Oil Pressure Light inakuwa on kwa dakika 2 hadi 3 wakati wa kuwasha gari hasa gari inapokuwa...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari wa jamii naomba kufahamu kuhusu gari kudondosha maji kwenye bomba la moshi haswa asubuhi nikisha iwasha ila baada ya saa 1 inakata hii inatokana na nn Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
29 Replies
16K Views
Wakuu naombeni msaada gari tajwa hapo juu mistubishi rosa 4d34 ina tubo, inachemsha vibaya, nimebadilisha kila kitu unachokijua wewe mpaka nikaambiwa nibadilishe cilinder head nikabadilisha, na...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Natumai wote tu wazima. Naomba kueleweshwa katika hili, hivi AC katika gari inakula mafuta sana? Au ni wastani tu? Majibu yaliyotolewa na wadau Mkuu kwa kifupi jibu halipo straight foward. AC ya...
1 Reactions
31 Replies
14K Views
Wajameni naombeni kujua uimara wa zile glass roof za kwenye gari kwa mtu ambaye ashawahi kutumia, nimeagiza ka-Dualis kangu ka 2009 moja ya specifications zake kana glass roof Sasa nimekaa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari za leo? Naomba wataalamu wanisaidie hili. Gari rav 4 killtime ina vibrate sana kwenye usukani na hasa ikiwa silent utadhani trecta. Niliipeleka kwa fundi akasema labda engine...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari wapendwa, naomba msaada wa kupata fundi mzuri au ushauri juu ya tatizo linalonikabili kwenye gari. Natumia gari aina ya toyota premio engine 1NZ,gari yangu ina tatizo la kugonga hasa...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Msaada wakuu, nahitaji kubadili matairi kwenye gari aina ya NISSAN XTRAIL, nataka kufunga size 225/70 R16 au 215/75 R16, madhumuni iwe juu kidogo, je itafaa? Na ni ipi kati ya hizo itakayo nifaa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nawasalimu, Mimi bwana tokea ka gari kangu kaingia hapa mjini Dar es Salaam sikuwahi badilisha tairi zake. Nilikwenda mkoani kama safari nne hivi na tairi ya mbele kushoto ikapata slow...
0 Reactions
28 Replies
11K Views
Habari wakuu! Nina Mil 4, nahitaji Gari ya kutembelea siyo ya mizigo. [emoji1314]Gari iwe na Cc kuanzia 990 hii iwe kuanzia namba C. [emoji1314]Gari kuanzia Cc 1200 siangalii namba sana ila iwe...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Pasipo kujali swala la BEI, naomba tujuzane kulingana na experience ni matairi gani imara zenye kustahimili aina zote za barabara. Ni kweli kuna aina na makampuni mengi ya ndani na nje ya nchi...
1 Reactions
40 Replies
16K Views
Habari mkuu, Gar langu aina ya Vitz old model lina tatizo la kutochanganya kuondoka linachukua sekunde kadhaa ndio linakubali nikiweka gear D, nikilazimisha kukanyaga mafuta linafanya kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wakubwa kwa wadogo? Heshima zenu. Kama kichwa kinavyosomeka; ninamiliki chombo cha usafiri ( Toyota harrier) model zinazotamba kama tako la nyani. Seat covers zake kwakweli haziendani na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar zenu Wadau Baba mkwe wangu kaniagiza kuwa anahitaji kununuwa gari ya family car ana bajeti ya milion 14 tu. Sifa za gari hiyo ni; 1) Iwe ni 4 cylinder 2) Haili mafuta mengi 3) Imara 4) Spear...
0 Reactions
61 Replies
47K Views
Habari wandugu. Mwezi wa kumi mwaka huu, nakusudia kuchukua usafiri. Bajeti yangu haizidi 10M. Nimejaribu kupita kwenye yard na website za kampuni zinazouza used cars hapa Tz kuangalia bei za...
2 Reactions
29 Replies
16K Views
Wakuu habari za weekend! kuna tatizo naliexperience kwenye ist toleo 2003 cc 1290, nikiwa kwenye foleni za kawaida nikaweka breki(sio handbrake) ikizidi dk 1 gari inajisogeza kidogo mpaka...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Sijamaliza hata miezi mitatu tangu nimiliki funguo ile watu wanaichomekaga kwenye ruksi za suruali inaonekana kwa nje hivi, nishaanza kuona 'joto ya jiwe' ya kumiliki usafiri! Juzi Jumatano...
15 Reactions
34 Replies
5K Views
Hapa ndani mwenye uzoefu wa radio za magari anisaidie, maana gari yangu frequency zinaishia 90.0 nimeshindwa kupata station zingine naombeni msaada jamani ni toyota spacio mwaka 2002.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom