JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari zenu wakuu Kumiliki gari Tanzania inabidi ujipange na uwe una biashara inayokuingizia pesa ya uhakika au mshahara mnono but kama unajua haupo vizuri sana basi tarajia kukutana na mambo...
4 Reactions
7 Replies
4K Views
Hawa wajerumani wanasema oil yao ni nzuri na inaweza fikisha 10.000 km. Kama kuna mtu ameshawahi itumia hii oil, Tupeane uzoefu.
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Naomba msaada kwa gari tajwa model ya 2006 kushuka chini hasa katika uimara,vifaa na ulaji wa mafuta.
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Habari, Naomba kujua nasikia gesi kama mafut katika gari ni Bora zaid kuliko petrol/ diesel(mafuta). Je, kuna uzuri wa hii kitu haina madhara? Kiuchumi na kiusalama? Msaad wadau.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu,kama kuna yeyote anaitumia hii Surf yenye ingine code 2TR - FE,naomba taarifa zake kwa ujumla!uwezo wake,uzur na ubaya wake,offroading,utumiaji wa mafuta etc
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Natumia gari langu dogo Toyota rav4 lakin limeanza kula mafuta vibaya, naitaji ushauri wa kiufundi kwani nalipenda sana gari langu, nicheze na mfumo gani ili iwe inakula vizuri, gari lenyewe lina...
1 Reactions
74 Replies
24K Views
Nataka nichukue Toyota mark x VP ubora wake ktk matumizi ya mjini kuanzia mafuta na spare gharama ipoje , matumizi ya mafuta ulaji wake?
0 Reactions
19 Replies
7K Views
habari zenu wakuu! nimekuwa nikifuatilia mjadala wa tofauti kati ya unleaded petrol na super/premium unleaded petrol nikagundua super unleaded ni nzuri kutumia kwa gari yoyote huku ikiwa na faida...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Naombeni tofauti ya aina hizo mbili za vitz tafadhali, yaani ubora wake na udhaifu na ipi ni mzuri kuliko nyingine. Vitz Rs Vitz Clavia
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Habari wana jamvi, Naomba kufahamu gari aina ya toyota passo. Kama mnavojua hali ya sasa ni vyema kuwa na gari za kwenda na hali zetu Naitaji kununua passo lakini sifahau uimara wake Maana...
0 Reactions
44 Replies
18K Views
Niliona Matangazo yao kuhusiana na mafuta yenye kemikali ya Excellium.wakisema kuwa ni mafuta ambayo yanasafisha engine na kuifanya gari iwe nyepesi. lakini zaidi zaidi wamekuwa wakisema kuwa...
4 Reactions
19 Replies
5K Views
Wakuu hii gari nimeenda nayo mkoani, muda wa kurudi ikaanza kuvuta upande wa kushoto. Last week kuna garage nilipeleka nikakutana na fundi mbabaishaji sijapata ona, kifupi ni kwamba tatizo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wandugu habari, naombeni mnipe ushauri juu ya hayo magari apo juu kabla sjanunua. ushauri wenu nautegemea sana katika kutafuta gari ya kuazia maisha yaani gari yangu ya kwanza. Hata kama kuna...
0 Reactions
26 Replies
12K Views
Habari ya muda huu wadau, gari yangu aina ya subaru legacy manual transmission inahitaji kubadilishwa clutch master cylinder, kwa wale wajuzi hii kitu naweza kuipata kwa bei gani? Natanguliza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini Wanajamvi. Naombeni ushauri wenu kwa wale walioisha watumia be forward Tanzania kama clearing agent wao wa magari vipi huduma zao zikoje maana kunawanao wasifia na engine wanasema hawapo...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
habari za weekend Wataalam wa magari, na wazoefu wa matumizi ya magari, naomba ushauri, nimeona gari ya ubalozi inauzwa aina ya vitz new model, CC 1290. ya 2007. Imeingia nchini 2014. Mimi...
3 Reactions
32 Replies
12K Views
Gari yangu aina ya Altezza, ilikata timing belt, hii ilipelekea kupindisha Valve za exhaust Please kama Kuna mtu ambaye anaweza kunisaidia kuzipata. Natafuta 4 tu. Aina ya injini ni 3S-Yamaha. 4...
0 Reactions
2 Replies
667 Views
Habari zenu. Kwa dunia inavosonga mbele, siku izi tunashuhudia uwepo wa honda zinazotumia umeme zikiwepo nchini kwetu Tanzania. Na magari pia yapo yanayotumia umeme. Mimi ningependa kujua kuhusu...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
WanaJamii mko poa? Leo nimeona niwajuze kidogo kuhusu hii mitambo, automatic gearbox. Kwanza gearbox ni nini? Gearbox in mashine ya kubadilisha(kupunguza ua kuongeza) nguvu inayohitajika kufanya...
2 Reactions
5 Replies
7K Views
Wataaalamu naomba nijuzwe operating system ya hizi aina ya Scania, mpangilio wa Gia uko vipi? ASANTE.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Back
Top Bottom