JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari zenu wadau! Je, magari haya yana soko Tanzania (Mercedes, BMW, Volkswagen, Opel na Audi)? Kama hayana, magai yenye soko sana ni yapi? Asanteni
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu Bila Shaka Mtakuwa Mnaendelea Vyema Na Mchakato Wa Kusukuma Gurudumu La Maisha. Kwa Upande Wangu Namshukuru Mwenyezi Mungu Naendelea Vizuri Kabisa. Uzi Huu Nimeuleta Kuhitaji Ufafanuzi...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Msaada nataka kununua gari isiyozidi 10m,ila gari ambayo inatumia mafuta kidogo, pia iko juu kwani barabara yangu ya kila siku ni rafu na iko vibaya sana mawe mingi.
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari za Mihangaiko wandugu, Nimekuwa nikisikia shuhuda mbalimbali toka kwa watu kuhusu Bima Kubwa ya Gari ila nimeshindwa kupata muunganikano mzuri wa faida na hasara za Hii Bima. Je, ni kweli...
1 Reactions
11 Replies
15K Views
Habari wanajamvi, naomba ushauri na maelezo juu ya gari tajwa hapo juu (Toyota Sienta) ..... changamoto zake, uzuri, ulaji wa mafuta na maelezo yoyote juu ya hii gari. Asanteni
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Wadau naomba kuuliza kama quad bikes zinaruhusiwa kisheria kutumika kama chombo cha usafiri Tanzania.
4 Reactions
29 Replies
5K Views
Wadau kama mada inavyojieleza hapo juu. Naomba kupata msaada wa kufafanuliwa kiufundi changamoto za starlet carat maake naitaji kuifufua kutoka kwa jamaa angu kaitelekeza kitambo ingawa...
1 Reactions
58 Replies
14K Views
Naomba kufahamu ni sehemu gani Arusha naweza kupata Oil Seal ya Clean Shaft ya Subaru Forester New model ya mwaka 2009. Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya kuhangaika na Noah voxy ambalo kwa muonekano wa nje linaonekana jipya (pamba) au wanasemaga in mint condition ila ilitaka kunifirisi. Jamaa wamenipatia mil 6.5 inanitosha kabisa maana...
31 Reactions
54 Replies
8K Views
Wakuu nlikuwa naomba kujuzwa huu mfumo wakutumia Comp kutatulia matatizo ya Magari yetu haya ya Kijapan. Je, wapi naweza pata training fupi nzuri na safi na pia kuingia mtaani kusaka ugali? Na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina spare parts za jaguar s type,kama unahitaji nipigie kwa namba 0784447944 Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
997 Views
Wakuu habarini naombeni msaada wapi naweza kupata distributor au coil ya subaru impreza cc 1490 gari ni ya mwaka 2005 sent from HUAWEI
0 Reactions
20 Replies
4K Views
inakuaje wazee.nina shughuli ya ujenzi hivyo nataka kununua tipper Isuzu direct injection kwa ajili ya kubeba mawe, mchanga, tofali, cement mbao na bati.Pia nina mpango wa kuikodisha kwa shughuli...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Wakuu kwema Nataka kuvuta mchuma kati ya Subaru Impreza na ist naombeni ushauli wenu juu ya hayo magari ili nifanye chaguzi sahihi. Subaru Impreza Toyota IST
2 Reactions
20 Replies
14K Views
wanajamvi nataka kununua toyota noah old model, ambayo ni used ,kwenye kupatana mtandaoni, kwa ajili ya ruti za hapahapa mjini,na weekend naenda beach na familia, nasikia kuna old model za aina...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kama mada inavyojieleza, naomba maoni yenu kutokana na uzoefu wenu kati ya VTZ, STARLET na SUZUKI SWIFT ipi ni kagari imara na affordable kwa mazingira ya barabara mbovu, fuel cosumption, spare...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
ALLEV vsRUN X HIMO vs COASTER VAUGUARD vs RAV4 Baadhi ya magani ya Mjapan yanatumia injini aina moja kwa magari tofauti Mfano injini ya 1G FE unaikuta kwenye:- GX100 GX110 VEROSA ALTEZA
5 Reactions
72 Replies
11K Views
Habari wakuu, Kwa wenye uzoefu wa magari naomba mnisaidie, nina bajeti ya shilingi milioni sita na ninafikiria kununua gari ya Suzuki kei. Nimechukua uamuzi huu kwa sababu kwa sasa ninafanya...
0 Reactions
18 Replies
13K Views
Tunajua ili gari ifanye kazi vema na ihimili mwendo ni razima kuwe na difu madhubuti. Naomba msaada kujua tofauti ya difu ya kawaida na difu yenye reduction
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Salam ndugu wana bodi. Imekuwa ni kawaida yetu sisi Watanzania tulio wengi kununua gari jipya na kutumia kwa zaidi ya miaka 2. Sisi kama waagizaji wa magari kutoka nje tumeshuhudia wamiliki...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom