JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari wadau, kama kuna mtu anamjua au ana husika na usafirishaji wa magari madogo kwa njia ya mizigo (kulipakia kwenye gari kubwa) kutoka DAR mpaka MWANZA, naomba aniunganishe naye. NB...
1 Reactions
74 Replies
13K Views
Wakuu kwema? Nina gari yangu toyota runx natumia battery ya maji n40 sasa inanisumbua sana. Kila baada ya siku 4 lazima nipeleke chaji masaa 12. Nimebadilisha maji lakini bado. Naomba kujua bei...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Suzuki Jimny Wakuu naombeni msaada wenu kwa mwenye uelewa kuhusu hii gari maana binafsi ilichonivutia ni kuwa juu na pia utumiaji wa mafuta sifahamu kuhusu gharama za spare pamoja na uimara wake...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Nilikuwa naendesha gari yangu ghafla gari ikazima, nilijaribu kuwasha ikagoma ikaleta hii taa kwenye dashboard. Baadae ikawaka lakini hii taa bado ipo. Naombeni kujua nini shida hasa? Nimejaribu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mambo vipi wakuu, Jamaa yenu hapa ninayo shauku kubwa ya kujifunza kutengeneza magari pamoja na pikipiki kwani maisha niliyo nayo mara baada ya kutoka chuo hayasomeki hivo nimeona ni vema zaidi...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Specs: 1. 310 HP 2. 295 lb-ft 3. Top Speed 250km/h
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu niaje Moja kwa moja kama ww ni mpenzi wa magari na movie bhas nakushauri usisite kuitafuta movie ya ford vs ferrari bonge moja la drama kuhusu racing na magari. Theme ya movie ni kuna...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
German automotive marque and, from late 2019 onwards, a subsidiary (Mercedes-Benz AG) of Daimler AG. Mercedes-Benz is known for producing luxury vehicles and commercial vehicles. The headquarters...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Dah! Mazoea hujenga tabia yaani nilishajizoesha kuendesha gari na mkono mmoja leo nimejaribu kushika usukani kwa mikono miwil bado kidogo nifanye blanda dahhh Hivi ni mimi tu nimekuwa hivi?
2 Reactions
49 Replies
6K Views
Nimemaliza chuo kimoja hapa nchini. Nia yangu kwa sasa nataka nisomee ufundi wa magari makubwa( scania) swali langu naweza pata wapi short course za huo ufundi. Kwa sasa nipo Arusha
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wasalam wandugu, nataka kununua gari kwa mtu ana kadi OG ila hana importation documents za hiyo gari. Nae kanunua kwa mtu bila hizo hati. Je, vitanizuia kua mmiliki halali wa hiyo gari?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF, Nataka kununua gari ya juu, isiyokula sana mafuta na ambayo matumizi yake ni ya mizunguzo ya biashara zangu mjini. Katika pitapita zangu kwenye mitandao nimeona gari ya Toyota Voltz. Hii...
0 Reactions
235 Replies
92K Views
Naomba kufahamishwa namna ya kubadili lugha katika radio (Japanese to English ) au kama kuna program ya ku change vile vile naomba kufahamu oil nzuri ya gear Box kwa IST car
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu, kama vijana tunavyozidi kupambana na msoto wa maisha ya mtaa, naomba msaada wa kujua utaratibu wa kumiliki bajaji kwa kutoa kianzio unakuwa unapeleka kidogo kidogo. Nimejichangaa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Ndugu wana JF. Hivi karibuni nitaanza kujifunza kuendesha manual car! Msaada wenu tafadhali kwenye vitu muhimu vya kuzingatia hasa C-B-A (Clutch-Brake-Accelerator). Nawasilisha.
0 Reactions
104 Replies
26K Views
Wale wamiliki na wanaopenda kumiliki magari ya Mzungu tukutane hapa kwa ushauri na kubadilishana mawazo. Najua ni changamoto sana kumiliki haya magari hapa Tanzania kuanzia mafundi, spare na...
14 Reactions
190 Replies
49K Views
Wadau kwema naomba kujuzwa kata ya hizo gari mbili twajwa hapo juu toyota crown royal na subaru regance b4 na gari zenyewe ni hizi ktk picha na hpi nziri ktk ulajiji wa...
2 Reactions
38 Replies
17K Views
Habari za humu wakuu, wadogo marhaba na wakubwa wote shikamoni. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina gari yangu inasumbua ni automatic. Yaani ukiwa unaendesha unasikia kama inakuvuta nyuma...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Watahalamu wa hizo gari naomba kujua tofauti kati ya hizo engine 2 faida zake na hasara zake. Ushauri wenu.
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Wadau hii gari HAPA vp kwa mazingira ya Tanzania? 1. Upatikanaji wa spare 2. Matatizo yake ya mara kwa mara 3. ...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Back
Top Bottom