Suzuki Carry
Habari zenu!
Naomba kujulishwa uwezo wa suzuki carry a.k.a kirikuu:
1. Uwezo wa kubeba(maximum weight).
2. Nguvu yake kwenye mchanga,matope,utelezi,miinuko n.k. (pulling).
3. Je...
Kipato changu cha hali ya chini, bodaboda naogopa sana, nataka ninunue suzuki every wagon, used, kwa ajili ya kwenda kibaruani na kurudi nyumbani,home ni chanika na kibaruani ni kkoo.
Naomba...
Mwenye ujuzi ninaomba kufahamu tofauti ya switch ya kuwashia gari kati ya ile ya kutumia ufunguo na ile ya kubonyeza. Kwa kuzingatia uimara wake, matengenezo, kwenye suala la usalama.
Habarini wakuu!
Kwa wazoefu kwenye biashara ya uber, gari aina ya Carina T.I cc 1490 namba C je inaweza kuleta faida ikiingia kwenye biashara ya uber? na je hii gari wanaichukulia kama uber ya...
Jamani mimi ninapikipiki ila imeanza tatizo ambalo silielewi asubuhi nikiiwasha haiwaki tena ukilazimisha hadi betri linakuwa kama limeisha nguvu, ila ukiiicha kwa mda wa dk kama 25 ukiwasha...
Habari wadau,
Naombeni kufahamu je, kwa 4,000,000 nitaweza kupata gari ya kutembelea? Kama ndio, itakuwa na ubora gani, aina gani na namba gani?, kama sio, nianzie bei gani kupata gari kutoka kwa...
Ivi! nilikuwa nataka kufahamu kwa details za kiufundi kuhusu hizi gari mbili kati ya Toyota Land Cruiser zinazoitwa Hardtop na hizi vigari vidogo vinavyoitwa Altezza
ni gari gani hapa inayoweza...
5 s engine ya Toyot harrier yenye km 189 k inachemka balaa,na inakula oil kama jini.system zote zs cooling na lubricating zimefanyiwa kazi lakini bado haifanani,pumps z water na oil zinafanya...
Kuna dogo kaniambia nikimnunulia Raum au Ist tunaweza kufanya biashara ya uber na akalaza hesabu fresh bila wasiwasi sasa kuna jamaa yangu mmoja ana Funcargo anataka aniuzie ila mm sio mzoefu...
Leo tarehe 9/3/2020 nilikuwa nina ratiba ya kubadili Spark plugs kwenye kausafiri kangu..
Niliponunua nikarejea nyumbani, nikachukua vifaa vyangu nikaanza zoezi la kutoa plugs za zamani na kuweka...
Wakuu habarini za mida na pia poleni na mishe mishe za hapa na pale katika harakati za kulijenga Taifa letu.
Bila ya kupoteza muda, naomba mwenye uzoefu au ufahamu wa ni kiasi gani cha pesa "za...
Wakuu naomba msaada wa wa magari hayo manne ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya Kijana wa kileo, namaanisha ipo multipurpose kwa kutoka nayo out, Speed ikiwezekana unapotaka kutembea Mkoa hadi Mkoa...
Tazama hapa tu ni mfano wa gari bei yake (CIF) halisi kutoka Japan na ile unayopewa na TRA kwenye System yao...... Gari unanunua milioni saba kodi milioni tisa.
Aiseer something has to be done...
Nataka kuifanya gari yangu IST kuwa ya biashara ya UBER ilikuwa ni 'Private' lakini sasa nimeshaibadili, kila kitu kuwa 'Commercial'
So kitu ambacho sijui ni namna ya kujiunga na hii huduma ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.