JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Kluger V Harrier Wakuu, nimejipanga kwa muda wa kutosha na sasa naona naweza kujipatia usafiri wangu wa kueleweka. Kuna gari hizi mbili zote nazipenda sana. Naomba kushauriwa na wenye uzoefu na...
8 Reactions
77 Replies
49K Views
{Tafsiri nyepesi} "Autopilot" ni mfumo unaoruhusu chombo cha moto kama ndege, meli, gari n .k kujiongoza yenyewe pasipo mwendeshaji kugusa kitu. Kwa upande wa usafiri wa anga zipo baadhi ya...
9 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari wataalamu, Kuna jamaa yangu ana verosa, tatizo la gari hii Ni kuwa inatoa mlio mbaya kwenye injini. Ukiwasha kwa mara ya kwanza, let say asubuhi inakuwa na muungurumo mkubwa sana, baada ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wana ndugu, kwa muda sasa nimekuwa na idea ya kutengeneza Aircraft sasa hapa nimepata dola 785,000 katika biashara zangu sasa nataka nikamilishe hii idea sasa ninaomba ufafanuzi kuhusu...
1 Reactions
5 Replies
711 Views
Habari wanaJF, Naomba kujua kuna faida ipi na hasara ipi ukitoa thermostat kwenye gari yako hasa ikiwa iko maeneo ya Pwani. Maana kuna fundi alinishauri nitoe kutoka na hali ya joto kwa mikoa ya...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari wakuu, kuna ndugu yangu anatafuta Subaru forester au impreza (manual) ya 6mil. Ambayo iko na condition nzuri. Good service history. Kama uko nayo au unamjua alienayo, tuwasiliane. Asante
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii ni koti la kujiokoa (Life jacket/ Life vest) ambalo mfumo wake ni tofauti na life jacket nyingine. Hili lina umbo la kawaida na mtu akivaa huwa kama mikanda ya reflector. Lina kuwa na vyumba...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Nimekuja hapa tupeane ushauri na experience za kweli na sio mawazo ya ramli juu ya hii gari. Mimi binafsi nimeipenda na natamani kufanya mchakato wa kuiagiza nipate yangu. Hii...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba ushauri wadau nina mpango wa kusoma mojawapo kati ya hizo kozi, ni ipi kozi nzuri katika soko la ajira? Natanguliza shukrani!
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Gari yangu nikiwa road inaonesha kuchezacheza sana tairi za mbele na kupelekea gari kukosa balance kabisa tatizo ni nini?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari Wakuu, Leo nimekuja hapa na ishu moja. Katika harakati zangu za kujichanga nategemea kupata kahela kidogo kama 9 - 10 m hivi. Sasa nimeona sio mbaya kama nikawa na kausafiri kangu...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habarini wadau, katikapitapita zangu nimekutana na hii bidhaa kama ionekanavyo pichani. Inaotwa injector cleaner. Zipo za diesel engines na petrol. Je ni kweli hizi injector cleaner zinasafisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wakuu na wale wazoefu mjini Dar, ni wapi nitapata spare parts za Toyota Noah, Corrola na RAV4 pia ningependa kujua wapi walipo mafundi wa kutengeneza Auto Transmission zinapokorofisha?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu! bila shaka mambo yako sawa! naombeni msaada ni Injini gani naweza kufunga kwenye VW Passat ya Mwaka 2002 na ikafanya Kazi vizuri? Hii gari kwa sasa inatumia Injini Yake AZX -V5 lakini...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Pikipiki aina ya SANLG nyekundu yenye namba.T 672 CED imeibiwa baada ya mwenye nayo kuipaki nje ya benki ya NMB BUNDA MJINI na kuingia ndani. Alipomaliza shida yake benki kutoka akakuta...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi Katika mihangaiko yangu leo asbhi niko na drive mara kwenye dashboard taa ya AT OIL TEMP ikawaka (ilitoke baada ya kuweka sport mode kipindi na overtake). Nikawasiliana na...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Naomba msaada kwa anajua sehemu wanazouza spare Mpya za hii gari, Nimekaa na hii gari kwa mda wa Miaka 2, na ndani ya miaka miwili nishatembea zaidi ya Km 100,000. Udhaifu niliyougundua kwenye...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Naishi maeneo ya riverside naomba kuelekezwa driving school ya Karibu na ninapoishi ,nzuri na isiyo na gharama kubwa sana.
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Wadau, Nataka niingie shule ya udereva kwa sasa naomba mnijuze ni 'driving school' ipi ni nzuri na inatoa huduma ya uhakika nipo maeneo ya tegeta na ningefurahi kama isingekuwa mbali sana na...
0 Reactions
23 Replies
15K Views
Wakuu salaam na heri ya Jumapili, Naomba kueleweshwa juu ya matumizi ya chassis number kwenye magari pale ambapo unakuwa hujapata plate number ya gari husika /japo siku hizi watu wengine wanakuwa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom