JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wadau kwema, Nina gari aina ya Nissan sasa nimepata engine mpya ya Toyota Corola je body ya Carri Nissan na Engine Toyota kuna kosa kisheria? Na je inawezeka kubadilisha card ya gari ikaruhusiwa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujua kati ya izo gari mbili ipi ina ubora zaidi? Kwa upande wa kula mafuta na usafiri wa umbali mrefu. Vilevile ni gari ipi inayo weza kudumu kwa mda mrefu. Ni hayo tyu Wakuu...
0 Reactions
85 Replies
24K Views
Naomba mwenye kujua vizuri haya magari, hasa model za 2004 kurudi nyuma. Uzoefu wa spare parts, fuel consumption, kuhimili mikiki ya njia zetu nk.
1 Reactions
48 Replies
18K Views
Check mnyama huyu tako la nyani linasubiri sana
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau naomba kujua sababu kubwa inayosababisha gari yangu aina ya noah sr40, tatuzo oil inaingia kwenye rejeta na kuyafanya maji yote kuwa oil, lkn maji hayaendi kwenye sampo ya oil. Tatizo hili...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Wakuu nimefuatilia kwenye mtandao inasemekana tairi likipata pancha yeyote kwenye sidewall sio vizuri kuiziba. Wajuzi hebu tusaidie pancha ya kama kwenye picha hapo tunatupa tairi.
1 Reactions
25 Replies
8K Views
Kuna magari aina ya Toyota lakini Yana nguvu na speed sana. Mfano, Toyota landcruiser V8 lina nguvu imara na speed Sana BMW akasome , Subaru zote hapa zinakaa keti kwa huu mnyama. Lakini kumekuwa...
3 Reactions
38 Replies
6K Views
  • Closed
Wakuu msaada, Kuna toyota probox inavuma sana utafikiri unaendesha tandam, yaani ikichanganya kuanzia 80 kuendelea kelele nyingi sana. Nini inaweza ikawa shida? MREJESHO Mrejesho: Shukrani kwa...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Long Range Identification Tracking system ni mfumo ulioanzishwa kwa ajili ya kufuatilia mienendo ya meli ikiwa pwani ya bahari na nje ya eneo la nchi husika. Huu mtambo hufungwa na nchi husika na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii antenna inaitwaje na pia ina Kaz gani
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Sielewi kabisa binafsi hii physics imenishinda, inakuaje Tairi la Gari normal Cars upepo wake kwa kutumia ile geji huwa zinaingia 30, 35 na nyingine kubwa kama cruser huingia 40, Baiskeli tairi...
5 Reactions
63 Replies
17K Views
Asalaam aleikum wanafamilia wa Jamii Forums. Leo na mimi nina swali kidogo naomba mwenye uzoefu wa Scania anijuze kidogo. Kuna tofauti gani kati ya hizo Scania hapo juu? Na je kwa kusafirisha...
1 Reactions
9 Replies
12K Views
Wakuu kwema. Baada ya kujichanga changa nimeamua sasa nitafute usafiri. Hii Nissan Dualis nimeielewa sana japo siijui kiundani sana kutokana sio nying mtaani. GARI INA CC 1990 NAOMBENI USHAURI...
2 Reactions
15 Replies
8K Views
Kila nipitapo hapa temeke mwisho asubuhi nakutana na pilika pilika za uchinjaji wa haya magari, kinacho nishangaza jinsi ya magari muonekano wake wa nje unaona kabisa body imenyooka haina shida...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
salam wakuu, gari iliserereka mtaroni, ikalalia ubavu ikiwa on, kwa maelezo ya fundi ikawa imevunja jino la switch, mkono ukapinda, akabadili piston na ring. hadi hapo engne ikawa imesambazwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikipitia katika jukwaa hili kama msomaji ila changamoto nilioiona wengi wamekuwa hawafahamu aina mbalimbali za model za mgari, mfano nimeona kuna uzi unauliza tofauti ya...
11 Reactions
25 Replies
10K Views
Wakuu naomba msaada kuna rafiki yangu anataka kununua gari, bahati mbaya hiyo gari chasiis yake hajaonekana, kwa kile kibati kinachoonesha kila kitu kinachokaa pembezoni mwa mlango wa dereva...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Nimenunua Battery mara mbili ndani ya miezi mitatu, zote zimekufa bila taarifa wala kudumu. Nimechunguza huwa si mchoyo wa kuboost Gari kama nikikutana na mdau aliye na low voltage, jirani yangu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hello wakuu Nataka kuagiza X-Trail new model 2007, ila tatizo ni kuwa ina kM zaidi ya laki 2. Sasa nakuwa na wasiwasi, je inaweza ikawa engine yake haijachoka. Kuna mtu kaniambia road za wenzetu...
1 Reactions
35 Replies
10K Views
Habari wanabodi. Kwa wale madereva wenzangu wa magari naomba muongozo wenu namna ya kupata leseni mpya au ku-renew baada ya niliyonayo kupita muda wake wa matumizi. Hii niliyonayo ilitolewa...
0 Reactions
46 Replies
38K Views
Back
Top Bottom