WanaJamii vipi hali?
Leo nimeona niwajuze kuhusu kupima kiasi/ujazo wa mafuta kwenye gearbox za automatic. Hii ni kwa miundo ya hapo awali inayokua na dipstick ya kupimia. Cha kustajabu ni kua...
Upangaji wa ndege (flight plan) ni mchakato wa kutengeneza mpango wa ambao rubani anaufuata kuelezea safari ya ndege inayopendekezwa kufanyika ni vitu izingatie ili kufanikisha safari nzima kutoka...
Ndugu wadau
Toyota Carina has a Ti zipo juu sana hapa bongo kwa sasa./ Nimezijaribu naona ni gari nzuri pia hasa kwa ugumu na fuel consumption.
Nataraji kununua moja hivi siku za karibuni....ila...
Habarini. Nina pikipiki ndogo ya HonLg 110,
Kwa Sasa nataka kusafiri kwa takribani wiki 1 au 2.
Hivyo nitaipaki ndani, haitoendeshwa kwa hizo wiki, kwani sijapata mtu mwaminifu wa kumwachia...
Habarini wakuu!
Bila kupoteza muda naomba tujadiri kwa pamoja juu ya aina izi mbili za mabasi
Tuanzie kuanzia performance je neobus anaweza mkalisha 95 scania kwa mwendo?
Vipi kuhusu nguvu za...
Habari zenu wana JamiiForums,
Nimejikuta nashindwa kuamua kwani mimi nilikua na mpango wa kununua Altezza, lakini najikuta nashindwa kwa sababu ukijarbu kufatilia resale ya hzo gari inakua ni...
Wadau habari ya Majukum? Naombeni ufafanuzi juu ya gari hii ya Suzuki swift Old Model, fuel consumption, matengenezo (spair) ipi gharama kuitunza katiya Swift, au vits old model?
Habari wapwa na natumahi tunaendelea kunawa mikono kama ilivyo ada.
Kwa thread hii tuzungumzie service inayohitajika kufanyika kwa magari yetu mara kwa mara. Wengi wetu tumekuwa tukitengeneza...
Yapo magari mengi yanayouzwa ilakwa siku za karibuni nimeona watu wengi wakiuza Toyota Altezza kwa bei nafuu tena yakiwa ya hivi karibuni.
Nini tatizo la hili toleo?
Nahitaji kufahamu bei na sehemu ya kupata jembe la trekta (disc plough) hp 45. Pia na gurudumu (tairi) la nyuma lenye vipimo 13:6-28 on 12" rim. Nipo mkoa wa Kagera.
Sent using Jamii Forums...
Habari wana jamii!,
Ni hivi nahitaji kushare uzoefu kwa wale waliowahi au wanaotumia Nissan caravan kwa ajili ya Daladala,sababu nami nataka kuachana na Toyota kabisa!
Habari wakuu!
Mimi ni mgeni kwenye haya maswala ya magari na nilitaka nitolewe tongotongo! Kuna hizi Vitz muundo mpya wa kuanzia 2005 nilitaka kujua uwezo wake kwa mizunguko ya hapa DSM na ulaji...
Wakuu nilivutiwa na idea ya kufanya Vinyl Wrap business about 3 years ago ila sikuendelea na hii plan kutokana na mambo kadhaa yaliokuwa nje ya uwezo wangu.
So far nataka kufanya comparison kati...
Wakuu,
Naomba kufahamishwa
1. Je airbag inaweza isifunguke kama dereva hukufunga mkanda wakati ajali inatokea?
2. Je abiria wa mbele nae kama hakufunga mkanda pia airbag haitafunguka?
3. Na Je...
Sana sana yamekuwa left hand au right hand kulinga na nchi husika.
Lakini magari kama yale ya shughuli za ujenzi au kilimo steling imewekwa katikati je kwani haya ya kawaida yalishidikana nini...
Wadau wa tunaomiliki hizi gari Toyota Harrier matoleo yote tujuane tuelezane changamoto mbalimbali na faida za kumiliki, ufundi, upatikanaji wa spear na ulaji mafuta.
Mi mdau mmoja wapo hii gari...
Inside The New KQ Boeing 777-300ER 4 hours ago
Dubbed Masai Mara, the new Kenya Airways first B777-300ER is one of a kind. One of the most outstanding feature...
Ni mara ya kwanza kuuguliwa na kukatika shock-up za mbele HONDA CR-V toka niinunue.
Niko Tokyo (Tukuyu) naomba msaada anayejua bei nijipange shs ngapi? Ikiwezekana nielekeze na duka kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.