Hii ni gari ambayo nimekuwa mara nyingi naifatilia tu mtandaoni.... Gari hii inatengenezwa japan na ilianza kutengenezwa kati ya mwaka 2005 hadi 2012 production yake ikasitishwa. Model ya mwaka...
Wakuu,
Naomba kupewa ufafanuzi wa tofauti kati ya Leaded na Unlead petrol/Fuel.
Na nini tofauti yake katika matumizi ya gari au chombo cha usafiri.
Asante.
AIS-Automatic Identification System hiki ni kifaa kinachotumika kutoa taarifa za meli na huwa kinafungwa katika meli au mnara wa mawasiliano au kuongozea meli (Vessel Traffic Services).
Ufanyaji...
Wasalaam Wanajamvi,
Sina Mengi naomba mwenye Kujua kuhusu gari aina ya Belta Kiujumla Msaada kwa Ufafanuzi.
Je, Belta na IST ipi gari bora katika kila Nyanja?
Nawakaribisha kunitoa Tongotongo...
Habarini wana jamvi,
Naomba msaada wenu kujuzwa ni wapi naweza kupata spare za pikipiki aina ya mahindra. Kwangu imekua changamoto kupata spare za pikipiki hii hivyo kwa yeyote ambae anaweza kua...
Wanajamii kuna ufanano gani kati ya CC za gari na ulaji wa mafuta?
===
Majibu
Kiasi cha mafuta kitumikacho huendana na kiasi cha CC.
Gari yenye CC kubwa huchoma kiasi kikubwa cha mafuta...
Wadau, gari yangu exhauster inapiga kelele kama imetoboka. Nimefungua fundi gas alipoiona na kukagua kote akasema haina shida yoyote. Anasema sababu ya hiyo sauti ni kwa kuwa haitatembea muda...
Miezi kadhaa nilienda pale Azam Tazara, nika weka gari sawa nikazima . Ile nafunga mlango na “remote” naona haikubali nika angaika mpaka nifangua remote ndani labda “battery” imekaa vibaya wapi...
Habari, nahitaji Porte CC kuanzia 1280, plate number ianzie D ofa yangu ni milioni 5 cash, nione inbox kwa maongezi zaidi. Isiwe imerudiwa rangi wala kupata ajali.
Habari wana jamvi
Naomba kufahamu kuhusu Toyota Duet
Inafaa kumiliki kwa sisi wa hali ya chini
Na kama inafaa ina kipi special
Lakini pia kama haifai
Tatizo lake ni lipi?
Sent using Jamii...
A- Leseni ya kuendesha pikipiki lenye au lisilo na sidecar na ambao uwezo unazidi 125cc au 230kg.
A1- Leseni ya kuendesha pikipiki lisilo na sidecar na ambao uwezo ni chini ya 125cc au 230kg.
A2...
Nimejaribu kufuatilia ubishano wa gari ipi nzuri kibongo bongo kwa mtu wa kipato cha chini, kati ya Diesel na Petrol. Nimekuta watu wanabishana tu.
Wengine wanasema Diesel inatumia fuel kidogo...
Wadau mwenye ufahamu na hii gari atujuze mana nategemea baadaye mambo yakikaa vizuri basi nione mchongo wa kuimiliki. Naona ni gari ya juu halaf cc 1590 tu.
Wazoefu na wadau msaada please.
Habari wanaJF
Nakuja kweni naomba ushauri wa gari aina ya Mistubishi Pajero Mini.
1.Upatikanaji wa 'spare'
2.Matatizo ya hizi gari
3.ushauri wa bandari bila kuhusisha kodi ya TRA
Habari za leo,
Ndugu zangu naamini kuna mafundi wazuri tu humu na wazoefu wa masuala ya magari
Nina tatizo ktk gari yangu aina ya Toyota Grand Mark 2 (Gx 110 injini ni 1G kavu). Kwa masiku kadhaa...
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key).kwa magari aina zote yaani TOYOTA,VW,BMW,FORD nk. Kama unahitaji funguo ya...
wakuu hembu naomba mm mnijuze kidogo nafikiria sana juu ya watu wanao sema kuwa gari yenye cc kubwa ndio hula sana mafuta.kwa mbali na kubali na kwaukubwa nakataaa.
kukataa kwangu kuna ambatana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.