Hili jambo huwa linanichanganya sana. Tuchukulie una Scenario 2 za Model Moja lets say BMW M50d na BMW x40i.
Scenario 1: Una gari ya Petrol ina 400HP na 300 lb/ft Torque.
Scenario 2: Una gari ya...
Tuitazame hii ni SUBARU forester wengi wanaijua kama gari za vijana ila sasa mawazo hayo naona yameanza kupotea baada ya kuja hii Forester ya 2007 na kuendelea mwanzo zilikuwa bei juu sana ila...
Habari zenu,
Nataka kuagiza gari naona hata hao makampuni ya kuagiza wanacwanachukua picha za beforwad na Japanese autocom.
Sasa si heri ninunue tu huko beforwad au autocom!
Ushauri wenu...
Wana wema wa MUNGU, ninahitaji kununua kati ya Spacio au IST second generation (almaarufu new model) kwa ajili ya mizunguko ya kawaida ya kwenda kwenye shughuli zangu ambazo ni takriban km tisa...
Habari wakuu!
Kwa kipato hicho tajwa hapo juu, ni gari aina gani itanifaa na nitaweza kuimudu kwa pesa niipatayo cash kwa mwezi?
~Passo siitaki
~Gx100 siitaki.
~porte siitaki
~stalet siitaki...
Naomba mwenye kujua ni gari gani kali yenye sifa hizi naweza pata kwa pesa hiyo?
1. Muonekano (iwe na mvuto kwa macho)
2. Economy (ulaji wa mafuta)
3. Space (iwe na nafasi)
4. Yakuendeshwa na...
Wapendwa Nina milioni 12, ila nashindwa kufanya maamuzi, ninunue aina ipi ya gari na rangi ipi nzuri, wenye uzoefu mnaojua ambalo halili mafuta na siyo la kuchoka haraka.
Asanteni.
Habari wanajamvi nina pikipiki yangu Boxer 150, naitumia matumizi binafsi imebadili muungurumo na kupoteza nguvu. Shida Itakua kitu gani?
Kwa anaejua tafadhali kwenye injini
Wasalaam wanajukwa,
Naomba mwenye uzoefu na Gari aina ya Tata Vista naomba anipe ufafanuzi juu ya Uimara, upatikanaji wa spare, udhaifu wake.
NB: Hii gari ni manual.
Marine Salvage ni kitendo cha uokoaji meli na mizigo endapo meli inataka kuzama, imepata hitilafu kwenye hali mbaya ya hewa baharini, meli imekwama au kupatwa na janga lolote.
Kwanini inafanyika...
Wadau naomba kuuliza, sijawahi kuendesha gari automatic ila leo nimekutana na tukio la kuogopesha sana kiasi cha kuja omba ushauri.
Gari automatic ikizima ghafla inapoteza uwezo wa brakes na...
Wakuu Kwema,
Nataka Kununua Gari. Naombeni Ushauri Kati hizi Gari which is the best of all in term of Fuel Consumption, Durability as per our roads environment i.e Rough roads, and Price...
Jettisoning ni kitendo cha hiari cha kutupa mizigo baharini wakati meli inaendelea na safari ili kutoathiri usalama wa meli na wafanyakazi endapo kuna hali mbaya baharini na kuweka sasa stability...
Habari wana JF,
lengo kubwa la huu Uzi nikujulisha walipo mafundi wa kufanya services na kutengeneza magari hasa brand tajwa apo BMW na AUDI pindi technical problems.
Brand tajwa apo juu, ni...
Wakuu habari za majukumu?
Hopefully kila mtu anatumia nafasi yake kujikinga na COVID19.
Gari yangu ni Toyota Vitz ya mwaka 2004 yenye 1290 CC. Juzi nikiwa katika mizunguko yangu ilinionesha taa...
Nahitaji kuwa na Pikipiki mpya ya kununua kwa ajili ya kutembelea. Hvi ni aina gani nzuri kwa maana ya ubora life span, na bei nafuu kati boxer na SNLG au Pikipiki nyingine (bodaboda).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.