Wakuu habari za majukumu ya siku nzima?
Wadau ningependa kujua ubora wa hizi gari katika nyanja tofauti tofauti kama vile:-
1. Ubora wa engine, body na gear box.
2. Upatikanaji wa spare...
Habarini wataalamu,
Naomba ushauri kati hizo mbili gari ipi ipo vizuri katika vipengele vifuatavyo:
1. Uimara wa bodi
2. Gharama za spare zake.
3. Inaweza kwenda safari ya km 600 (mara moja kwa...
Makampuni ya kutengeneza magari hutengeneza Engine au Gear box mpya kwa ajili ya spare kwa magari yatayoharibika?
Biashara nyingi hufanyika kwa engine na gearbox used! Kama hawatengenezi ni...
Habari
Kwa mkoa wa Dar es Salaam, ni zipi kampuni best kwa kukodisha magari?
Na je mtu anaweza kupata choice ya magari yafuatayo:
- Range Rover
- Audi
- Landcruiser V8
Natanguliza shukrani...
Pikpiki yang nkiwasha inaonyesha alama nyekundu picha yake hapo chini hii alama kila ninapoiwasha hali ambayo mwanzo haikuwepo naombeni msaada wa kujua kama kuna kitu kimeharibika ama service ya...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema!
Nimenunua gari kwa mtu ambaye naye alilinunua kwa mtu na hakuwa amefanya mabadiliko ya kadi.
Nia yangu ni kuwa na kadi ya gari kwa jina langu. Kadi bado...
Zimepita siku 515 toka Kampuni ya Tesla kutangaza kuwa gari yao aina ya Tesla Roadster imeanza safari kuelekea Mars.
Mpaka kufikia Mwaka jana gari hio ilikua ishatembea maili milioni 179 Kwa...
IST/Vitz/Swift/Honda Fit
Ninamiliki moja kati ya hizo babywoka.
Nachotaka kujua ni je: Gari yangu itakua na matatizo sehemu ama ndio kawaida ya hizi babywoka.
Siku za weekend demu wangu huwa...
Gari ukiendesha vizuri inatumia mafuta vizuri hadi unashangaa. Kuna kipindi huwa unaweza kupata hata km20/lita kwa gari ya CC2000. Ila haichukui muda inarudi kwenye 10-12km/l.
Kuna sehemu huwa...
Habari wanajamvi,
Nimetokea kuipenda sana gari toyota IST. Kilichonifanya niipende ni ulaji wake wa mafuta, haina gharama kwenye mafuta. Sasa swali langu je mtu akiamua kusafiri na IST kutoka...
Ninaomba msaada wa hili neno maana huwa linajitokeza kwenye dash board ya gari yangu kila mara lakini nikizima gari hilo neno hupotea je tatzo linakuwa wapi.(Visibility system malfunction)
Toyota Is Canceling The Land Cruiser In 2022 And It's About Time
Sasa Mawaziri, ma Katibu Wakuu, Wabunge, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, Wenyeviti wa Halmashauri, maDED, maDAS...
Wadau habar
Nataka kujua unaponunua pikipiki i mean be forward,hivi inapofika bandarin ushuru wake unakuwa vipi?maana nimechek tra website kwenye calculator yao haijielezi kuhusu pikipiki,je kodi...
Hizi beby walkers ni kavu mno wandugu.
Kuna namna yoyote (mechanically) ya kufanya ili kuboresha ride quality kwenye Toyota IST? Kwenye suspension system.
Hizi gari ni kavu mno kuendesha kwenye...
Habari zenu Wakuu,
Naomba kuuliza. Je sports rims size 20 ikiwa na tyres size 225/35/R20 unaweza kufunga ktk gari aina ya Toyota Mark X baada ya kuiinua kwa kuweka 'spacer mm10' na iwe vema...
Wakuu msaada katika kupita pita kwenye mtandao, nikakutana na hii gari na kujaribu kuiquote price ikaja hivi
Je hizo bei maana yake nini na ninaweza ipata kwa gharama mpaka mkononi mwangu msaada...
Je! Android Auto ni nini? Hapa kuna kile Unachohitaji Kujua
Hivi ndivyo unahitaji kujua kuhusu programu ya Google ya ndani ya gari ambayo hukuruhusu kutumia simu yako ya Android unapoendesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.