Juz nilienda marangu na gari sasa usiku wakat narudi kulikuwa na baridi gari ikawa inaweka ukungu kwa nje nimejaribu kuwasha heater ta kioo haikubali ilichosaidia ni wiper inafuta kidogo but...
Habari wakuu,
natafuta Car Diagnostic Machine English version.
Au kama unawajua wauzaji toka nchi za nje nisaidie contacts zao.
Nataka inayo toa taarifa za mfumo wa gari kwa Kiingereza
Wadau,
Natafuta chuo kinachofundisha kuoparate mitambo kama scavator, caterpillar, na mitambo mingine, mwenye kufahamu anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikipaki eneo lenye baridi kama masaa 4 nikiwasha gari nikiwa na zungusha usukani ina lalamika ngiiiiiii nikirudi upande wa pili hivyo hivyo . Inabidi niache gari ingume kama dk 10 mpaka 15 ndio...
Shikamoni waheshimiwa,
Mimi sijawahi kumiliki gari tangu nizaliwe.
Kazi yangu ni kuuza duka la Mangi. Kipato changu ni wastani wa Laki 5 kwa mwezi (hakiko imara kabisa; kinaweza kupungua au...
Hello JF
Karibia miongo miwili baadaye ulimwengu unakaribia kuwa na ndege ya abiria inayoweza kusafiri kwa kasi zaidi ya kasi ya sauti.
Mwezi Huu , kampuni ya ndege ya Boom Supersonic ilianza...
Ninataka kuagiza gari aina ya Suzuki jimny, ikifika niikate iwe kama pick up.
kwa yeyote mwenye uzoefu na garage nzuri inayoweza kuniundia anisaidie mawasiliano.
Habari ndugu
Nina gari yangu vitz imeanza kuishiwa maji na kuchemsha unaweza ukaweka maji ukaenda umbali flani ukicheki maji unakuta yameisha kabisa na kupelekea kuchemsha
Na pia ukiwasha ac...
Hutopata acceleration na pia hutopata fuel economy.
Mie naona ni bora kununua gari yenye 1,500 cc kushuka chini ili upate fuel economy au ununue gari ya Petrol yenye 3,000cc kwenda juu upate gari...
Nahitaji kununua kwa mtu lakini imeonelea ni pate ushauri kuhusu changamoto zake, ubora wa engine yake maana muuzaji ameniambia inatumia vvti, sasa mm si mzoefu
Amphibious Vehicles ni magari yaliyotengenezwa Kwa ajili ya kutembea nchi kavu na majini.Magari haya yalikuwa yakitengenezwa kabla ya vita kuu ya pili ya dunia, mengi yalitumika katika jeshi...
Habari wakuu..
Brevis ni gari nzuri sana na kwa anaejua magari ukimpa choices za gari tatu ambayo moja yake itakua kuna brevis bas hatosita kuichagua brevis.
Ni wazi kuwa juzi nilikua natafuta...
Toyota hapa walitoa chuma chakiume kabisa hiki unaweza kwenda nacho barabara yoyote ile.
Kilimo kwanza ambacho kipo kwenye muonekano wakibaba sana.
Unaweza ukafunga Jembe nakulima heka.
Huwezi...
Baada ya muda mrefu kuteseka na daladala hatimaye Nimeagiza chuma , chombo ipo kwa bahari unakuja inavuka bahari kutoka Japan
Nimenunua manual ili kuepuka kuazimwa ovyo .
Chombo iyo 14m lazima...
Nahitaji kuweka shock ups full set (mbele na nyuma).
Wengi wanarecommend KYB brand, wanasema ni soft shocks zinafaa kwa rough roads.
Nahitaji KYB shocks original genuine and new. Kwa jiji la...
Kwanza nitangulize shukrani zangu za pekee kwa wanajukwa hili kwa kuwa nimejifunza mengi
Naombeni msaada hapa gari yangu ni spacio new model 1zz imekuwa na tatizo la kuzima nikiwa naendesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.