JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu natafuta amrest box ya toyota Isis, kimsingi hii gari haiji nayo ila nimefuatilia zinapatikana china kwenye online market shida ni shipping cost iko juu sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya jioni wanabodi? Ni matumaini yangu nyote mu wazima wa afya njema. Naombeni msaada, tatizo langu gari yangu inameza oil isivyo kawaida. Yani kwa mfano nimeweka oil jumanne ya wiki...
1 Reactions
41 Replies
19K Views
Heri ya Mwaka Mpya. Namshukuru Mungu ni mzima wa afya sana, Mimi ndio nimemiliki gari kwa mara ya kwanza kabisa kwenye maisha yangu haya, sasa mambo mengi nakua siyaelewi na nazidi kujifunza...
2 Reactions
30 Replies
10K Views
Wanajamvi naombeni kujuzwa oil filter ya gari tajwa hapo juu ipo sehemu gani make mda wa kufanya service na nataka nimalizane nalo hakuna cha fundi
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari... Kwa wale wanaohitaji Oil filter za Toyota Passo naomba tuwasiliane: Bei 8000/= Unaletewa mpaka ulipo. Office: +255 769 341321 +255 655 341321 +255 789 341321
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Engine ya Nissan: Code: QG18 Gearbox yake: Code:N16 Applications: Nissan Almera, Nissan Sentra, Nissan Sunny, Nissan Bluebird/Sylphy Mwenye clue na bei ya engine ndogo za Nissan, hio engine...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina gari ndogo ambayo nimepata idea ya kuibadili mwonekano iwe na mwonekano ambao ni manly and off road. Ni Toyota Rush. Je naweza kuifanya tyres zake zitoke kwa kuvimba pembeni pasipo kubadili...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Habar wana jf, Nataka kununua simu ya samsung mwaka huu ila hisiwe chini ya ram gb4 na internal storage gb64 ila iwe nzur kimuonekano na bei hisizidi 500k naombeni mnishauri kwa kunitumia picha...
0 Reactions
5 Replies
720 Views
Wakuu habari ya hapa jukwaani. Binafsi sina gari ila natamani sana kua na gari, mwaka 2017-2018 nilijaribu kufanya biashara ndogo ndogo na kuweka pesa ili angalau ninunue hata gari used ilipofika...
8 Reactions
66 Replies
11K Views
Ndugu wana habarini, inawezekana body ya Honda CRV third Generation ( Hiyo Red) kuivisha kwenye Honda CRV First Generation ( RD1)( Hiyo White)? Kwa upande wa dimensions: Height (Kimo) zipo sawa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wapigaji wamekua wengi hivyo nikijua bei itanisaidia.
0 Reactions
53 Replies
10K Views
Nataka kuagiza Engine mpya ya Scania 113 Pamoja na ya Toyota Cruiser. Wadau mnaojua wapi wanashughulika na hii issue ikiwezekana mnijuze na bei kabisa. Uzi tayari
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu habari za majukumu huko mlipo. Kama ilivyo kawaida kupeana elimu juu ya vyombo mbalimbali vya usafiri hapa JF na kweli na kiri kujifunza mambo mengi sana hapa JF. Sasa wakuu miezi kadhaa...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
kama upo dar unaweza nipatia gari aina ya Toyota Iwe Imeundwa Mwaka 2007 na kuendelea. Isiwe tu Passo. ila aina nyingine za Toyota Kuanzia CC 1000 - 2000. namba iwe C au D. Rangi sijachugui. isiwe...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wadau na wanajf naombeni msaada hasa kwa wataalamu wa magari katika matumizi,uimara na ubora kwa magari ya vokswageni kama bora,passat, polo ambayo kwayo yamekuwa yakitangazwa kwenye mitandao ya...
3 Reactions
14 Replies
7K Views
Hizi bei ndio huwa nachoka
4 Reactions
52 Replies
8K Views
Natanguliza salamu , Nataka kufahamu swala fulani hususan kwa hizi ndege zenye engine za propeller .kama Cessna ,pilatus 12 n.k. Je, hizi ndege zinapokuwa zinaruka angani futi kadhaa mlio wa...
1 Reactions
2 Replies
824 Views
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa magari ya Toyota na Nissan kwa hapa Tanzania. Ambayo kwa kiasi kikubwa yamefanikiwa kuteka soko la magari kwa nchi yetu kwa kiasi kikubwa. Kama kichwa kinavyojieleza...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Mwenye uzoefu na tairi za gari kuagiza nje..ni zipi nzuri.kampuni gani na nchi gani? Soko lake kwa Tanzania limekaaje
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Wakuu, nataka niweke back camera kwenye ndinga, naomba kujua fundi wanapatikana wapi kwa Dar es Salaam , na bei ya kuinstall hiyo kitu ni kiasi gani nijipange.
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom