Habari za jion, naomba kupewa ufahamu juu ya hili,
Leo nilienda garage flani kwa ajili ya kubadilisha shockup gari ni crown athlete na ni shockup za rear wheel, sasa baada kumuelezea fundi na...
Hizi Toyota Noah za namna hii watu wamekuwa wakilalamika sana kuhusu body yake kuwa si imara. Actually hii ni gari ya mizunguko ya town si ya kwendea shamba.
Ukiacha malalamiko ya kuwa Body...
Mabingwa Salama?
Naombeni msaada wataalamu; nina Rav4 "mpya" (Kili Time ya 2005 ODO reading 63K) inakaribia miezi miwili tangu niitie mkononi kutoka Japan. Ni 4WD; haina gear ya 4WD ila naambiwa...
Wakuu mambo vipi naomba mnipe sifa za hii gari ya toyota ist 4 wheel drive kwenye spea, utumiaji wa mafuta, service na ubora wake barabarani. Je na kati ya ist 4WD & 2WD ipi ni best?? Wajuzi wa...
Wataalamu wa pikipiki ninaomba kujuzwa je ni service gani ambazo natakiwa kuzifanya mara kwa mara kwenye pikipiki ili kuhakikisha chombo kinakuwa salama muda wote.
Moja ya mambo unayohitaji kujua...
Wakuu Habari.
Nimetembelea tovuti za kampuni maarufu za kuagiza magari kutoka Japani kama Beforward, SBT, AUTOCOM na AUTOREC.
Kote huko nimeona miongoni mwa magari ya kampuni ya BMW (X3 naX5)...
H1 toleo la kwanza la hammer ( Mwaka1992 - 2002) chini ya kampuni ya kimarekani AM General baadae GM.
Gari hili lilitengenezwa mahususi kwa matumizi ya kijeshi, pia zilitoka models kwa ajili ya...
Nimeona mahali haka kagari kanaitwa daihatsu mira. Kako na Cc 660 ila kama body shape kali sana kama porte flank hivi au Toyota aqua. Naomba kujua kuusu hizi gari maana nadhani ni same like terios...
Juzi fundi aliniuliza mara ya mwisho kufanya service gari langu. Nikamwambia mie tangu niagize nikaanza kutembea nayo sijawahi kufanya intensive service mpaka ipate tatizo ndio naileta kwako...
Wataalam wa magari, naomba kuuliza maswali machache.
Nasikia watu wanaweza kuchezea Odometer reading za magari kwa kurudisha nyuma ili gari ionekane iko na mileage chache
Ukikuta gari kwenye...
Wakuu, naombeni mwenye uzoefu na hicho kigari.
Nimeangalia beforward nikaona kwa mazingira ya sasa ambayo nahitaji kufanya heavy investments, nahitaji kuwa na gari ndogo yenye gharama ndogo za...
Kwema wakuuu.
Gari yangu ni toyota corsa tatizo ni kuchelewa kuwaka asubuhi au ukiipaki kwa muda mrefu,nimefanya engine overhal, nmebadili plug, nmebadili, idle control valve lakini hakuna...
Ndugu wadau naomba kwa wale wenye uelewa juu ya aina hii ya magari, ubora wake, matumizi ya mafuta, na chochote kizuri kuhusiana na magari haya.
Pia naomba kujua mapungufu yake kwa wale wenye...
Kumekua nakamsemo mtaani haka kamsemo kamezoeleka sana Et V8 ni gari za Serkali
hapana hata wewe unaweza kumiliki tutafute pesa wakuu
Siku moja moja unaingia Showroom unaupiga mkwara umskini...
Habari wanajukwaa naomba kufaham pikipiki nzuri mpya kwa matumizi binafsi ya kwenda ofisini na mizunguko ya kawaida weekend. Hasa pkpk za kijapan ambazo nadhani ni durable bajeti yangu ni 3.2-3.5...