JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
wadau naombeni ushauri kati hizi gari 4 ipi ni nzuri... uimara, ulaji mafuta,show nzuri mbele ya jamii
0 Reactions
49 Replies
11K Views
Msaada kwa anayejua kampuni nzuri ya basi Dar to Arusha, inayosafirisha mizigo kwa usalama na kwa muda sahihi, na ofisi zao zinapopatikana, nina mzigo kama kilo 10 unahitajika haraka sana ufike Arusha
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimetoka Airport nikawa nimeingia mandela road nimekamata hii barabara mpka riverside mbele yangu Kilikuwepo kigari kidogo aina ya Suzuki Swift. Aiseee huyu jama kakiwekea Uongo fulani hiki kigari...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa tofauti ya Ford Ranger double cabin na Ford ranger 2.2, Toyota hilux na Toyota hilux sport. Tofauti ya Engine 3RZ na 2RZ
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau.. Naomba kwa wajuaji wanijuze gari gani inafaa apo kwa ss watu tunaohitaj kumiliki gari kwa mara ya kwanza. NB: Nataka kununua kwa mtu mkononi so ukinambia na maelezo ya kuzingatia...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Kama kichwa kinavojieleza, mwenye uzoefu na hizo gari naomba msaada kujua 1.fuel consumption 2.upatikanaji wa spea 3. Uwezo wa kuhimili barabara ya vumbi
5 Reactions
46 Replies
29K Views
Wadau, nina Toyota Hilux model KUN125 ya mwaka 2015. 4WD ilikuwa haijatumika kwa zaidi ga mwaka, then siku ilipotumika, iling'ang'ania kwenye 4LO, Baadae ikanasuka but kkawa ina blink 4LO MIL, na...
0 Reactions
4 Replies
935 Views
Habarini wakuu? Kwa kufahamu kwamba baadhi ya wateja wetu wamekua na majukumu mengi jambo linalosababisha kukosa mda wa kutosha kupata msaada wa karibu katika hatua za kuagiza gari, na kwa...
1 Reactions
47 Replies
45K Views
Hello Wana JF. Naomba kuuliza mbona hii Gari aina ya Toyota Rush Ni ghali sana kuanzia ushuru wake na kununulia pale Japan? Cc zake Ni 1300 na Ni Gari kadogo sana sana. Naomba mwenye kujua...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Wakuu naomben msaada gari yangu inamisi sana mbaka mliman inashindwa kupanda ata kimlima kidogotu inataka tambalale na mtelemkoni nilijalibu kwenda garage mafundi wakalekebisha ila baada yawikitu...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wana Jamii Forum, naomba wenye kujua hili wanisaidie. Nimebadirisha rejeta ya gari yangu baada ya iliyokuwepo kuwa inavuja sana, niliunga sana na ikachoka kabisa, na hii niliyoweka ni mpya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu? Napenda hili gari Toyota RAV4 1998 ila nimeshindwa kutofautisha kati ya RAV4 J V na RAV4 L V. Naomba mwenye uzoefu wa kujua tofauti ya hizi gari ni nini, nataka kujua ili nikanunue...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Ndugu zangu habarini Nataka kununua gari lakini nipo dilemma lipi nichague kati ya hizi mbili kulingana na maisha yetu, uimara ,upatikanaji vifaa pamoja na uzuri. Baada ya kuchuja nimepata gari...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Wakuu, Naomba Mdau yoyote mwenye User Manual (Mwongozo wa Mtumiaji) gari ya aina ya Toyota Probox anisaidie. Nahitaji soft copy ya mwongozo huo. Waweza attach hapa. Asante
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Toyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga...
2 Reactions
119 Replies
22K Views
Ndugu zangu habari zenu nyote... Mimi natafuta garage au mafundi bora kabisa wa bodi kwa ujumla wake kwa maana ya kunyoosha na kupiga rangi upya + engine katika jiji la Mwanza.... Nimepata taabu...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu salama? Kuna gari nataka ni import imesimama sana nmeipenda ni toyota ist ila hapa sijapaelewa kwenye picha. Mafundi nielewesheni shida ni nini? Nisije nunua gari kumbe mbovu. Kwenu mafundi.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu leo asubuhi, gari iliniletea usumbufu, tatizo ni steering kuwa ngumu sana kama naendesha fiat, na kwenye dash board likatokea neno P/S hapo tatizo nini. Nifanye nini?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, naagiza gari hapa kutoka Japan, Harrier tako la nyani ya 2008 kwa usd 5700, km 61k, je nilipie ama napigwa. Naomba uzoefu wenu kwenye hili. Ahsante
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu nawasalimu katika jina la jukwaa hili.Nina changamoto fulani ambayo ningependa mnisaidie katika haya masuala ya uendeshaji wa magari ya automatic. Mimi sina mda mrefu tokea nijifunze...
5 Reactions
48 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…