Habari za "Usiku huu wa Manane" Naomba msaada wa garage makini na ya uhakika iliyopo barabara ya Bagamoyo ambayo naweza kufanya service kubwa ya gari langu nina safari ndefu next week.
Ahsanteni.
Nahitaji shock absorber used ya left ya toyota IST new model (NCP-110) part no TOYOTA 48520-59425
Mwenye kujua wap nitapata anielekeze au anipatie no ya simu asanteni.
Habari zenu ndugu wana jf,naomba kuuliza ktk matoleo mbalimbali ya toyota vitz 1.3 L,model ipi imesimama zaidi kuliko mengine nazungumzia ktk ubora wake zaidi
Wadau,kama somo tajwa hapo juu linavyojieleza,naombeni msaada kwa mwenye uelewa;,gari yangu PASSO kwenye dashboard inawasha taa ya EPS na uskani unakua mgumu,naweza nikaendesha hivyohivyo lakini...
Wakuu Salaam !!
Ushauri wa kiufundi as far as upatikanaji wa spare unahusika kwa hayo magari tajwa hapo juu, kati ya Toyota Ractis, Toyota Vitz ama Toyota Will VS zote zenye Engine Capacity CC...
Tafadhali wataalamu na wazoefu wa jukwaaa letu pendwa
1.Gari yangu ilianza kutoa moshi mwingi kama wingu kubwa na ilikuwa inaonyesha engine check baada ya hapo nikabadilisha oil s40 na baada ya...
Wakuu mambo vipi?
Natumia BMW E90 2007 (3 Series) sasa nikiwa mjini uwa najaza unleaded ya Total au Puma.
Sasa nipo njiani na nilipo sahivi usiku huu hakuna kituo cha karibu cha Puma wala Total...
Nauza rims size 17 ambazo zinafunga kwa Toyota ist,ractis,raum,sienta,porte, na Gari zingine jamii hizo,ni strong nauza 400000/= tu,nipo bukoba ila Monday zitakua mwanza so kazi kwenu,,0689211494...
Msaada wa sehemu naweza pata spare za Nissan Tiida, (bumper la mbele na bearings) zinapiga kelele wakuu,
Locatioy: Dar/ Pwani
Tuzidi kujikinga na Corona.
Habari wananzengo, ninahitaji kujua aina ya Pikipiki inayoweza kunisaidia kwenye shughuli za shamba (kwa maana ya njia ya vumbi na kubeba mizigo ya wastani kilo zisizozidi 100 (uzito wa dereva...
Habari wataalamu,
Naomba mwenye ufahamu anisaidie kutofautisha hizi engine mbili za Harrier ili nifanye maamuzi yaliyo sahihi.
ACU35 - hii ni engine ya 4wheel drive. Nachohitaji kujua ni vitu...
Wakuu,
Kwanza Eid Mubarak!
Naomba kujifunza kutoka kwenu Wakuu kuhusu additives za kuweka kwenye engine au gear box kwenye gari. Kwenye kausafiri kangu, naona kitu kama leakage kwa mbali kwenye...
Kama miaka miwili au zaidi kidogo kulikuwa na maswali mengi kuhusu magari ya Nissan X-trail, wengine wakiyaponda na wengine wakisema ni magari mazuri.
Kwa siku za karibuni maswali yamepungua na...
Habari zenu wakuu.
Naombeni msaada wenu kujua kama upatikanaji wa spare za BMW MIN ni rahisi kama wa gari nyingine za Toyota. Ninavutiwa sana na gari hii, nafikiri siku yoyote naweza kutimiza...
Habari za majukumu wakuu,
Gari tajwa hapo juu ni kampuni ya BMW
Mwenye uzoefu atupe maana ina bei sawa na Toyota tu.
Sent using Jamii Forums mobile app