Serikali na watu binafsi wanazitumia hizi gari. Binafsi naludia binafsi zinanivutia machoni japo sijui chochote kuhusu hizi gari
Napenda mnijuze sifa za hizi gari ziwe mbaya au nzuri zote kwa...
Hbr za humu ndani wanajamvi poleni kwa majukumu mbalimbali mm ni mpenzi sn wa pikipiki kubwa. Kuna pikipiki nimeiona eBay nimeipenda ningependa kujua gharama za kusafirisha hadi inanifikia ni...
IPI INAFAA FOR PERSONAL USE BEI NAFUU JE?
BUDGET NI 2M MPAKA 3M
Matumizi hapa hapa Dar na daily rote kazini na kurudi..mfano Segerea to Kinondoni na Masaki?
Rough road na lami pia. NOT FOR...
Tatizo limeanza kitambo nilionana na mafundi ila huku bariadi gari hizo ni chache na mafundi wanafanya kama kubahatisha tu.
Ni wiki mbili nilipitia mitandao mbali mbali ya nagari walishauri...
Habari wandugu!
Naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu. Nimekuwa nikisikia kuwa ukinunua gari ambalo lina miaka zaidi ya kumi kuuoka nje. Kunakuwa na kodi ya uchakavu (Excise duty due to...
Wakuu mimi sio mtaalam sana wa magari ila hua naona kuna haya magari ya harrier 240 na Lexus rx 300 kama yanafanana kwa kila kitu.
Ila kwa kua hili jukwa lina wataalam wengi wa magari ningepemda...
Wakuu samahan kwa kuandika huu uzi usiku usiku... Nina jamaa yangu Kapatwa na matatizo ya Kuyumba kiuchumi. Anataka aniuzie Brevis yake ambayo kimsingi engine yake ni 2.5L na mimi kwa kweli Hapa...
Habari wakuu,
Nimebadilisha engine kutoka 1GFE na kuweka 2JZGE non VVTI. Hii nimeitoa kwenye lexus gs300.
Sasa tatizo lilokuwepo ni kwanza, engine imekuja juu zaidi, yaani inakaribia kugusa...
Habari wandugu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, Nina uhitaji sana wa usafiri na nimefanikiwa kupata milioni 4 hivyo nataka kununua gari.Kuna magari mengi naona yanapostiwa mitandaoni kama vile...
Habari za asubuhi,
Je, hii gari nani mwenye uelewa nayo atupe detail na je kwenye showroom za hapa utakuwa na ngapi na ukiagiza itarange kiasi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari Wana Jf
Leo katika pitapita zangu nimekutana na chombo cha usafiri aina ya piki piki hii wauaji wanasema ni made in korea Nataka kujua upatikanaji wa Spare, ulaji mafuta ukoje na Je...
Habari zenu wadau
Kuna taa imekua ikiwaka kwenye dashboard ya hii gari yangu corola runx na muda mwingine inazima. Nimeuliza kwa baadhi ya mafundi wanasema hizi gari ndo huwa ziko hivyo...
wakuu kwema? jamani nahitaji ushauri juu ya hizi ndinga, nataka kuichukua,mwenye uzoefu naomba anipe ushauri anazionaje? itanifaa kwa misele ya mjini na vijijini?naihitaji as a family car...but...
Salamu wana bodi,
Nina shida na gear box ya nissan caravan. Natafuta used. Msaada tafadhali.
Hata kwa asiye nayo ningeoenda nipate mchango kuwa bei zake zikoje.
Asanteni
Wana JF nilikuwa nahitaji kununua noah yenye engine ya 1AZ naomba kujua inakuwa na matatizo gani mara kwa mara wakati wa kutumia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello wakuu.
Ninahitaji spare part - housing ya redio ya Carina SI. Je, huwa zinapatikana kwenye maduka ya spare parts? Bei yake?
Naambatanisha na picha ya sehemu husika hapo chini.
Aksanteni sana.
Every year, the Los Angeles Auto Show hosts a challenge among automotive designers to concoct far-flung ideas about the future of transportation. This year's theme asked what the law...