Salam kutoka Kimomwe Motors waagizaji wa magari kutoka Japan na Ulaya!
Watanzania tulio wengi tumekua tukiamini na kuaminishana kua gari zenye Cc ndogo kama vile Pajero Mini na Terious Kid...
Habari zenu ndugu zanguni? Mimi nataka nihamie Tabata Segerea karibu na kituo cha Oil Com. Ofisi zangu zipo Posta Ohio Street.
Nina gari Toyota Crown nataka iuza ninunue Toyota Brevis. Matumizi...
Habari wakuu,
Naombi msaada wa jinsi au mtu anayeweza kuondoa error ya kwenye redio ya gari aina ya eclipse avn-g04.
Ambayo inaonesha kama vile inataka sd card
[UPDATE]
Kulingana na mawazo ya...
Samahani wakuu gari yangu inanisumbua sana ina tatizo ukiwasha inaandika EPS kwenye darshboard alafu steering inakuwa ngumu sana na huwa inatokea mara kwa mara sometimes ukizima ukatingisha...
Habari wakuu
Nina gari yangu ilipiga mzinga Run Aux ikaharibika rejeta,show airbag na bull joint ya upande was dereva ilikatika..
Sasa mafundi wakatengeneza gari ikakaa sawa gari ikatembea mwezi...
Habari wakuu naomba kuweka kwenu huu mjadala mtu anayetumia cc 2000 lakini four cylinder na anayetumia cc 2000 lakini six cylinder.
Hapo tofauti ni nin
Guys Nina gari aina ya HOWO kipisi Kuna liquid pembeni ya tank ya mafuta imeandikwa Adblue Only na imeisha iko empty kwa Dar hapa ntaipata wap maana gear tayari zimeanza kua ngumu tofauti na...
Imezoeleka wakati mwingine kwenda benki ukiwa umeshachenji hela zako kuw amadafu (USD).
Sasa kama nina hela kwenye akaunt ya benki CRDB, nikihitaji niende kwao wanibadilishie (waniuzie dola) kwa...
Habari za humu ndugu zangu
Baada ya kujikusanya kwa miaka kadhaa hatimaye na Mimi nitaanza kutembea nimekaa Kama wengine
Nimefikisha million kumi net
Nataka ninunue gari ,Ila Sina kabisa idea...
Wakuu wakati nauliza uliza kuhusu kampuni gani niitumie kuagiza gari, nimekutana na shutuma kuwahusu hawa jamaa!
Wapo wanaodai jamaa huwa wanaleta magari mabovu au muda mwingine unaletewa gari...
Wadau nawaletea huu uzi kwa mambo mawili,kwanza elimu na kujua kinachoendelea kwenye ulimwengu wa magari,wajuvi wa mambo tunaomba mtuletee mnachojua na fact kamili ikiwa na picha itapendeza zaidi.....
Wakuu habari, exhaust ya gari yangu inapumua kwa pressure kubwa sana ya upepo, pia mafuta inatafuna sana kuliko kawaida, ranging 5km/litre na gari ni honda cr-v 1998, tatizo linaweza kuwa kwenye...
Wakuu ninataka nianze mafunzo ya driving ( usafiri wa kawaida, sio mabasi wala magari makubwa) hapo VETA chang'ombe mwezi wa saba mwishoni, je gharama zake zikoje na muda mpaka kuhitimu? Na je...
Leo alfajiri wakati natoka kwangu kuelekea kibaruani niliona Benz aina ya saloon lime-park pembeni huku dereva akifuta ukungu uliokuwepo kwenye windscreen. Yawezekana aliamua kufanya hivyo kwa...