Wakuu kwema humu.
Naomba mwenye kujua gari nzuri kwa rafu road aina yoyote na ambayo spea zake za kutosha lkn pia matumizi mazuri ya mafuta.
Nitashukuru sana
Helo wana jf habarini za muda huu. Mtu kaniachia gari lake kwa kua tu najua kuendesha. Ila sasa nimeendesha mpaka limeishiwa mafuta. Nataka kwenda kuweka mafuta ila sijui ni petrol /aina gani...
Baada ya kuishi na bby walker miaka kadhaa sasa nmeamua kupata gari ya offroad na safar kwa budget yangu naona nissan xtrail itanifaa sana, kwa mwenye experience nayo hasa katika fuel consumptions...
Habari zenu wakuu!
Katika pita pita zangu za mtaani nilifanikiwa kununua Harrier 3.0 FOUR kwa rafiki, gari ni nzima kabisa ilikuwa ya kuwasha na kuondoka. Changamoto ni kwenye fuel consumption...
Habari wana JF!!..... kama title inavyojieleza, nimepata gari aina ya Pajero (old) naomba kujua kama spear zake bado zipo, pia uzur na ubaya wake.............karibu wajuvi wa mambo ya magar...
Nahitaji kununua pikipiki ya kutembelea ila siyo mtaalamu wa hizi mashine na sijawahi kumiliki hiki chombo lakini nimepata ushauri na mtu flani kuwa angalau HERO ina ubora ukilinganisha na BOXER...
Wadau wa magari na vyombo vya moto mtakubaliana na mimi kwamba kwa sasa kasi ya engine za magari na machine kuharibika kutokana na tatizo la oil fake limekuwa kubwa na likiongezeka kwa kasi kila...
SALAAMU WANABODI,
NAOMBENI USHAURI KWENYE MAGARI HAYO MATATU YAANI LADA NIVA,ISUZU TROPPER,DAIHATSU ROCKY.KWA BARABARA MBOVU ZA VIJIJINI AU SEHEMU AMBAZO NI NYIKA HAKUNA BARABARA RASMI.
PIA...
waku naomba wenye ujuzi na hivi vitu waelezee wanayoyajua kwa faida yetu sote,,nimeona nianzishe uzi huu ili tupate elimu ya hayo mambo
1,,kampuni gani nzuri inayotengeneza mashine imara pia...
Habari za jioni wakuu
Nipo Safarini kwenda Songea nimepanda kampuni ya Newforce,,tumekwama hapa Madaba ni umbali wa saa 2 kufika Songea tairi zinataka kuwaka hii ni mara ya pili sasa na kumekuwa...
Kwa mwenye uelewa juu ya hizi engine naomba msaada hususan kulinganisha matumizi yake katika magari yanayofanya shughuli za Daladala.
Ningependa kujua na kuzilinganisha juu ya Uimara...
Habari wakuu...
Naomba mwenye uzoefu na gari tajwa hapo juu tushirikishane juu ya mambo yafuatayo:
1. Uimara wake (Reliability & durability)
2. Ulaji wa mafuta(fuel consumption)
3. Gharama za...
SALAAM WANABODI
NINA NISSAN CARAVAN AMBAYO NI AUTOMATIC NA INATUMIA PETROL NA IMEKUA IKIPIGA KAZI ZA DALADALA .
KUTOKANA NA UZEMBE FLANI INJINI ILIPATA TATIZOIKAZIMA GAFLA ...FUNDI AKASHAURI...
Wakuu habari?
Mda umefika sasa na mimi nataka kuvuta ndinga. Sina uzoefu wa magari ila nimepitia forums na site nyingi na pia kuuliza uliza kwa watu angalau nipate mwanga. Nimefika conclusion ya...
Habari wanabodi,
Kama heading inavyojieleza, nahitaji msaada wa fundi mzuri wa Suzuki, Hapa Dar, kwa mwenye jina, alipo na contacts za fundi, please post here
Meli kabla ya jina lake kuna kuwa na kifupisho kama MV, MT, RV, SS na MFV na kisha kuandikwa jina la meli husika.
Hizi ni maana ya vifupisho hivyo
MV-Motor Vessel
MT-Motor Tanker
RV-Research...